Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako


Shetani na mawakala zake wana operate kwenye ulimwengu wa giza / Roho ambao sisi binadam wa kawaida hatuna uwezo huo . Na shetani ni mjanja na ana akili sana .

Kama umeamua kupambana na shetani , hakikisha una imani dhabiti iliyonyooka, don’t understimate the devil [emoji49]. Usifikiri unaweza kumchallenge shetani kipumbavu, remember shetani Ana uwezo wa kiungu, Ana Uwezo kama Mungu .

Inshort Shetani pia ni mungu, ingawa kazi zake nyingi ni uharibifu, lakin Shetani pia kuna mambo mengi tu mazuri anayafanya kama Mungu , kuponya watu , kuwapa watu utajiri na Mali , shetani Ana uwezo wa kufanya yale Mungu anayoyafanya so wewe binadamu wa kawaida usifikiri unaweza kupambana nae au kum oppose kirahis kama wengi wanavyofikiria.

If you can’t fight them , join them .

Mimi sio mpinga kristo , na wala sina nia ya kuingiza watu kuzimu,

the truth is , the best coffee is always DARK and BITTER .

Hata hao wachungaji mnaokimbilia kuombewa na kuponywa na kuchukua miujiza, wanaenda kuchukua nguvu kwa Mkuu wa ulimwengu huu ( lucifer)

Tena wanaenda kujinadi kabisa kanisan na kulitaja jina la Yesu bila aibu yeyote , na kupitia hilo hilo jina, watu wanaponywa. That’s how the devil operates .


Warumi




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe amini unachoamini tu ila usiseme kua wachungaji wote wanaenda huko na unaposema lusifa wenu ndo Mungu wa dunia hii ni kwako na hao wengine wanaoamini hilo tu usigeneralize kua ndo ipo hivyo tu kwa wote.
 
Ndio maaana huwa sipend kudharau watu

Ndugu unafunguka utam Respect sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna lolote. Nlishawahi kumwambia mtu aliyeogopeka kwa uchawi hana uwezo wakunifanya lolote hata aje na mama yake, akachimba mikwaraeeee hakuna lolote. Uchawi nimaigizp ya usiku tu, kama ilivyo mungu na shetani ni pumbazo la akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Week iliyopita nimejilalia zangu..Kuna muda nikastuka nikaingia jf usiku wa manane nikachat weeh..muda wangu wa kusali ukawa umefika nikajisemesha sisali leo ngoja nilale..nikazima tochi ya simu nikaweka simu pembeni nikasikia sauti dirishani imeita jina langu Mara 3..weweee..nilipatwa na joto la ghafla nikatoa sonyo huyo nikalala zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo pm nikumbe no ya mchungaji wa kkkt
Mungu atakusaidia
Mimi mkatoliki lkn naamini katika maombi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mkwara huo hata awe Lucifer angeogopa kukupiga juju lakini usizoee. Mkwara ulikusaidia
 
Nimeajiriwa lakin mambo yangu hayaendi mpaka Leo, unakopa mkopo wanakukata alafu inafikia kipindi unaambiwa makato hayaendi benk husika, unarudi nyumbani migogoro isiyoisha yaan n tabu tu, nishasema nikija kumfaham mbaya wangu ntamfanyia mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilipe kisasi simama na Mungu..muachie Mungu afanye jukumu lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ulikuwa na wenge
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Duh ungemwambia acha usenge fala wewe asingerudia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…