warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mkuu nimekucheki pm fanya km unaiangalia kidogo
Nimeona nimekujibu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimekucheki pm fanya km unaiangalia kidogo
Wewe amini unachoamini tu ila usiseme kua wachungaji wote wanaenda huko na unaposema lusifa wenu ndo Mungu wa dunia hii ni kwako na hao wengine wanaoamini hilo tu usigeneralize kua ndo ipo hivyo tu kwa wote.Shetani na mawakala zake wana operate kwenye ulimwengu wa giza / Roho ambao sisi binadam wa kawaida hatuna uwezo huo . Na shetani ni mjanja na ana akili sana .
Kama umeamua kupambana na shetani , hakikisha una imani dhabiti iliyonyooka, don’t understimate the devil [emoji49]. Usifikiri unaweza kumchallenge shetani kipumbavu, remember shetani Ana uwezo wa kiungu, Ana Uwezo kama Mungu .
Inshort Shetani pia ni mungu, ingawa kazi zake nyingi ni uharibifu, lakin Shetani pia kuna mambo mengi tu mazuri anayafanya kama Mungu , kuponya watu , kuwapa watu utajiri na Mali , shetani Ana uwezo wa kufanya yale Mungu anayoyafanya so wewe binadamu wa kawaida usifikiri unaweza kupambana nae au kum oppose kirahis kama wengi wanavyofikiria.
If you can’t fight them , join them .
Mimi sio mpinga kristo , na wala sina nia ya kuingiza watu kuzimu,
the truth is , the best coffee is always DARK and BITTER .
Hata hao wachungaji mnaokimbilia kuombewa na kuponywa na kuchukua miujiza, wanaenda kuchukua nguvu kwa Mkuu wa ulimwengu huu ( lucifer)
Tena wanaenda kujinadi kabisa kanisan na kulitaja jina la Yesu bila aibu yeyote , na kupitia hilo hilo jina, watu wanaponywa. That’s how the devil operates .
Warumi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shetani na mawakala zake wana operate kwenye ulimwengu wa giza / Roho ambao sisi binadam wa kawaida hatuna uwezo huo . Na shetani ni mjanja na ana akili sana .
Kama umeamua kupambana na shetani , hakikisha una imani dhabiti iliyonyooka, don’t understimate the devil [emoji49]. Usifikiri unaweza kumchallenge shetani kipumbavu, remember shetani Ana uwezo wa kiungu, Ana Uwezo kama Mungu .
Inshort Shetani pia ni mungu, ingawa kazi zake nyingi ni uharibifu, lakin Shetani pia kuna mambo mengi tu mazuri anayafanya kama Mungu , kuponya watu , kuwapa watu utajiri na Mali , shetani Ana uwezo wa kufanya yale Mungu anayoyafanya so wewe binadamu wa kawaida usifikiri unaweza kupambana nae au kum oppose kirahis kama wengi wanavyofikiria.
If you can’t fight them , join them .
Mimi sio mpinga kristo , na wala sina nia ya kuingiza watu kuzimu,
the truth is , the best coffee is always DARK and BITTER .
Hata hao wachungaji mnaokimbilia kuombewa na kuponywa na kuchukua miujiza, wanaenda kuchukua nguvu kwa Mkuu wa ulimwengu huu ( lucifer)
Tena wanaenda kujinadi kabisa kanisan na kulitaja jina la Yesu bila aibu yeyote , na kupitia hilo hilo jina, watu wanaponywa. That’s how the devil operates .
Warumi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo ndio watu wanapokosea this is forbidden yan kuna muda nawaza nasema haya mambo ya viongozi wa dini feki haya yametoka mbali sana hatukugutuka tu na ndio hao mashehe feki, uislam hautambui albadir.
Wewe amini unachoamini tu ila usiseme kua wachungaji wote wanaenda huko na unaposema lusifa wenu ndo Mungu wa dunia hii ni kwako na hao wengine wanaoamini hilo tu usigeneralize kua ndo ipo hivyo tu kwa wote.
Njoo pm nikumbe no ya mchungaji wa kkktUsemacho ckupingi Mimi mwenyewe hapa kuna uchawi nimefanyiwa sijui nimetupiwa jini sielewi
Nakumbuka kuna Banda niliwahi kupanga uswahilini, basi katka Ile nyumba nilikua naishi na mama wa kiha ambaye alikua na watoto watatu
Asa cjui kitu gani nilichomkosea Yule mama nakuanza kunitesa nakumbuka kuna siku mjuu wake aliingia ndani kwangu na sikua na mazoa na Yule mtoto basi alipokua mle ndani akaanza kuchezea vitu mara anachukua sabuni anamwaga, bodysray anairusha juu , mafuta anayamwaga nukimkataza anakua mkali kweli mwishiwe nikamuita mama yake akaja kumchukua
Cku nyingine aliingia ndani na kupanda kitandani kwangu then akawa anatambaa kama nyoka pale kitandani kwangu na akawa amekakamaa sana
Basi siku zilivyenda nikawa nikilala pale kitandani naota mambo ya ajabu sana haitoshi kuna kitu nakihisi kinatambaa nikikiangalia sikioni
Ikafika kipindi nikilala pale kitandani mchana naongea peke yangu yaani yanajirudia matukio kibao ambayo niliyasahau na nakua na hasira sana yakutaka kwenda kulipiza kisasi
Inshort mpaka muda huu hilo tatizo linanisumbua mkuu nashindwa nilitatue VP cjui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana msikate tamaaBibi yangu ni mchawi, anamtesa sana Mama yangu, anataka kumuua. Ni muda sasa mama anateseka na maradhi yasiyo pona. Tumezunguka sana... ila basi tu
Kwa mkwara huo hata awe Lucifer angeogopa kukupiga juju lakini usizoee. Mkwara ulikusaidiaHakuna lolote. Nlishawahi kumwambia mtu aliyeogopeka kwa uchawi hana uwezo wakunifanya lolote hata aje na mama yake, akachimba mikwaraeeee hakuna lolote. Uchawi nimaigizp ya usiku tu, kama ilivyo mungu na shetani ni pumbazo la akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeajiriwa lakin mambo yangu hayaendi mpaka Leo, unakopa mkopo wanakukata alafu inafikia kipindi unaambiwa makato hayaendi benk husika, unarudi nyumbani migogoro isiyoisha yaan n tabu tu, nishasema nikija kumfaham mbaya wangu ntamfanyia mbaya sanaWatu wana vifungo vya nguvu za giza , watu wengi wanateseka na kuaribiwa maisha na nguvu za giza it’s not a small matter .
Twende mbele turudi nyuma , Tanzania kuna wachawi wa kutisha, Mabilionea wengi ndan na nje ya nchi wanakimbilia Kwa waganga kuchukua nguvu za kiroho /giza . Na mtu akishaingia kwneye nguvu za giza ni ngumu sana kupambana nae , ngumu sana Sijui uwe na nguvu za Mungu kias gani Ndo Uweze kujinasua
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usilipe kisasi simama na Mungu..muachie Mungu afanye jukumu lake.Nimeajiriwa lakin mambo yangu hayaendi mpaka Leo, unakopa mkopo wanakukata alafu inafikia kipindi unaambiwa makato hayaendi benk husika, unarudi nyumbani migogoro isiyoisha yaan n tabu tu, nishasema nikija kumfaham mbaya wangu ntamfanyia mbaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ulikuwa na wengeSasa kasheshe semister ya 3..nimefanya mitihani vizuri tu..siku matokeo yametoka rafiki kanipigia simu ananipa taarifa ya matokeo ndiyo nastuka namba niliyoandika kwenye booklet hata haina uhusiano wowote na namba tulizopewa katika mtihani dah[emoji3][emoji3][emoji3] ..Kama kawaida jina lipo matokeo NIL..dah! Sasa sijui ulikuwa uchawi au wenge tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo pm nikumbe no ya mchungaji wa kkkt
Mungu atakusaidia
Mimi mkatoliki lkn naamini katika maombi
Sent using Jamii
Forums mobile app
Tatizo ni IMANI HAKUNA hapo
Week iliyopita nimejilalia zangu..Kuna muda nikastuka nikaingia jf usiku wa manane nikachat weeh..muda wangu wa kusali ukawa umefika nikajisemesha sisali leo ngoja nilale..nikazima tochi ya simu nikaweka simu pembeni nikasikia sauti dirishani imeita jina langu Mara 3..weweee..nilipatwa na joto la ghafla nikatoa sonyo huyo nikalala zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app