Mi ilikua mwaka jana nilsafiri kuja mkoani kwa mama home kbis ,kwa kipindi chote nilikua sio mtokaji sana nilikua nashinda home, sa nilivyo anza kutoka nipo na jamaa angu y ndo mwenyej niliwah cheza nae utotoni, akanipeleka ktk vilabu vya pombe mi mnywaji ,basi bana akaagiza nami mbege, wazee tuliowakuta nikawasalimia wanona sura nggen,
Ndo jamaa kunitambulisha maana babu y alikua maarufu na n mtu wa watu na alikua mtu wa pmbe but ni marehemu,so alivyosema ni mjukuu wa flani basi wote wakanijua
Wwalioniomba niliwanunulia,basi kurudi home vizuri usiku kulala na ninalal peke angu hakuna rangi sikuiona, ule mkoa una barid iilaa usiku nilitokwa jasho mnoo,
Nililal macho nahis kama ywepo wwaakitu chumbani,mara gafla kitu mithili ya nyoka kinanitambalia mi tuliii, kikiwa kinanitambalia moyo unaenda kasi mnoooo na joto linapanda sana,
Mi tulii nasali sala zotee,mara kiondoke kinakuja tena after minute kikinisogelea najua moyo unaenda kasi ajabu na joto linapanda,
Nikahis kama nalishwa kitu nipo macho ila nimefumba macho, yani kwa haraka harak walikua wananiwekea kitu tumboni au wafunge tumbo, maana baadae nillipata Shida ya choo
Siku ingine ivo ivo nikawa nasali mpk hali ikapungua,ikabid nipunguze siku za kukaa kule japo ni home nilipozaliwa,
Nilimsimulia .mama bibi hawakuamini but wakanambia ukitaka pombe sema uletewe nyumbani,au Utke na bibi,
Kuna kisa kilitokea zamani babu alitegewa na ndugu yake upande wa baba ake mkubwa watot wake ,babu alikua na mwenzie alielengwa alikua babu ila rafik yake ndo alikufa, ikabid babu aende kwa mtaalam akatuma kimbola kikapita na mmbay wake chap
Hadi leo nishhaambiwa kuwa makini nikienda kijiji maana historia hujirudia.
Babu alifariki kwa kansa ya koo kwasababu ya pombe kali