Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Nini kilitokea sasa mkuu mbona unakua nusu nusu na story
 
Duh pole ngekujua huenda nkikuwa sababu ya kupata msaada juu ako.
 
Nimeishi huko sumbawanga pakawaida sana.
Japo sumbawanga na kigoma huwa wanatumia uchawi wa radi unaofanana.
kwa hio uchawi wa swax na kule kgt wa kawaida sana?

maana wanasema ukitaka zindiko kali nenda kigoma.

mapenzi nenda tanga..
 
duh,,, huu
uongo.
 
duh ya leo kali
 
ni simple tu aliajiriwa baadae akaenda kuendeleza Elimu mkuu
 
Mkuu kama vipi si umalizie kulitokea nini?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kimbiliq kwa Mwamposa haraka utolewe gundu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…