Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Ilikuwaje mkuu? Eleza kwa kina tupate kufahamuhuyu jamaa wa kuitwa alawido kwa sasa Kiminyio 01 ana kautapeli ndani yake
alinipa namba ya mganga yuko huko mkoa wa Pwani, mganga anaitwa Kimbunga
nikashawishika kwenda huko kumbe ni bure tu nikaishiwa kutapeliwa
Aeleze nini.?Ilikuwaje mkuu? Eleza kwa kina tupate kufahamu
Acha kamba.Mungu atusaidie maana nikikumbuka nilivyotupiwa pepo. Dah, ningekuwa nimelala mauti toka 2005.
habari za mtu azijua aliyekaribu nae, je wewe upo karibu na raisi?Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
Gwajima mwizi na tapeli tu.Mfano Gwajima alisema kwa mamlaka aliyopewa na Mungu,amemfuta katika ulimwengu wa siasa, na leo kawa katibu mwenezi na itikadi CCM...
Anaweza kujibu hiyo mamlaka ilikuwa imetoka kwa Mungu yupi na mbona mambo yameenda tofauti.
Wacha weeeeee, umejiona mwenyewe umeandika pointiiiiiiii. Kwanza nini maana ya Tajiri? Unapimaje utajiri? Kwa umri wangu, hakuna anayeweza kunidanganya kuhusu Mungu, Uchawi na Ulimwengu wa Roho kwa ujumla. Huniwezi wewe, wala hunipotoshi.Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
🤣🤣🤣🤣Wacha weeeeee, umejiona mwenyewe umeandika pointiiiiiiii. Kwanza nini maana ya Tajiri? Unapimaje utajiri? Kwa umri wangu, hakuna anayeweza kunidanganya kuhusu Mungu, Uchawi na Ulimwengu wa Roho kwa ujumla. Huniwezi wewe, wala hunipotoshi.
Wacha weeeeee, lichawi na liwakala la Ibilisi linatuset huku JF kuwa hakuna uchawi wala Mungu ili litushughulikie. Hunipati ng'ooooooo🤣🤣🤣🤣
Naona umeianza weekend mapema na chibuku ya mbagala.
Nini nimeandika na nini wewe umejibu.
Yaani mimi naongelea vyuma we unaleta story za matango na bamia
JF Kazi kweli kweli 🤣
Achana na hao matajiri, hata mwalimu tu je amewahi muona akiwa kashikwa mapepo!? Lakini haya yanasababu zake kirohoAcha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
Na nguvu za nuru ni stori tuNguvu za giza ni stori tu
Yeah, dhana ya nguvu za giza inategemea dhana ya nguvu za nuru, they are two in one, and therefore they are one.Na nguvu za nuru ni stori tu
That's all in poor man's headYeah, dhana ya nguvu za giza inategemea dhana ya nguvu za nuru, they are two in one, and therefore they are one.
There is no dogding this conclusion.
But, they dont exist, and if they exist, it is only in the thoughts of people.
Hayo ni mafuta ya alizeti yaliochanganywa na ya nazi kisha wanaweka madawa ya kulevya ndani yake.Hii yangu sina hakika ni nguvu gani au nini kilitokea. Nikiwa chalii tulikuwa tuko ktk mchakato wa kupata Kipaimara. Sasa baada ya kupakwa yale mafuta kwenye paji la uso na Askofu, nikaanza kuhisi mwili mzito nilipoenda kukaa. Kila nikisikia harufu ya yale mafuta kichwa kinakuwa kizito na kuhisi kama kizunguzungu.
Ikafika muda wa kwenda kupokea sakramenti. Tulipokuwa kwenye mstari kujongea altareni kila nikisogea nanihisi mawenge. Sasa ilipofika zamu yangu kupokea nikaachama mdomo. Nilihisi kutapika na nikabaki vile nikihisi kutapika na msimamizi akanitoa nje nikijisikia mgonjwa, na wiki iliyofuata niliumwa sana. Hadi leo huwa najiuliza nikikumbuka
Tuma salamuHayo ni mafuta ya alizeti yaliochanganywa na ya nazi kisha wanaweka madawa ya kulevya ndani yake.
Kaa mbali.
Hakuna kitu kiitwacho mafuta ya baraka.
Huo ni utapeli wa miaka mingi mno.
Nimekwenda mpk Vatican.
Na hio kitu kwa wazungu hakuna. Waafrika ndio wanaotapeliwa kila siku kwa jina la kanisa na kupenda kupata hela mapema.
napigilia misumariHayo ni mafuta ya alizeti yaliochanganywa na ya nazi kisha wanaweka madawa ya kulevya ndani yake.
Kaa mbali.
Hakuna kitu kiitwacho mafuta ya baraka.
Huo ni utapeli wa miaka mingi mno.
Nimekwenda mpk Vatican.
Na hio kitu kwa wazungu hakuna. Waafrika ndio wanaotapeliwa kila siku kwa jina la kanisa na kupenda kupata hela mapema.
We hao woote unawajuaa ama unawasikiaa!!!Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
Endelea kudanganywa.We hao woote unawajuaa ama unawasikiaa!!!
Nenda Mtwara ama Zenji kaone wanavyopishana kwa maustadhi na wataalamu
Usidanganywe na suti wazivaazo hao wanaoga dawa kama kawaa tena hawa ndio hatari zaidii