Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Mfano Gwajima alisema kwa mamlaka aliyopewa na Mungu,amemfuta katika ulimwengu wa siasa, na leo kawa katibu mwenezi na itikadi CCM...
Anaweza kujibu hiyo mamlaka ilikuwa imetoka kwa Mungu yupi na mbona mambo yameenda tofauti.
Gwajima mwizi na tapeli tu.
Uongo mwingi sana kasema wazi.
Alionyesha kwenye kanisa lake eti anafufua mfu.
Wakapanga na mjinga mmoja eti "asante Gwajima nimefufuka. Nilikuwa nimekufa" manina zake.
Mamake mzazi kafa na kamzika.

Lkn cha ajabu Ana watu wanaomuamini.
Hapo ndio huwa nashindwa kushangaa.
 
Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
Wacha weeeeee, umejiona mwenyewe umeandika pointiiiiiiii. Kwanza nini maana ya Tajiri? Unapimaje utajiri? Kwa umri wangu, hakuna anayeweza kunidanganya kuhusu Mungu, Uchawi na Ulimwengu wa Roho kwa ujumla. Huniwezi wewe, wala hunipotoshi.
 
🤣🤣🤣🤣
Naona umeianza weekend mapema na chibuku ya mbagala.
Nini nimeandika na nini wewe umejibu.
Yaani mimi naongelea vyuma we unaleta story za matango na bamia
JF Kazi kweli kweli 🤣
 
Wacha weeeeee, lichawi na liwakala la Ibilisi linatuset huku JF kuwa hakuna uchawi wala Mungu ili litushughulikie. Hunipati ng'ooooooo
 
Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
Achana na hao matajiri, hata mwalimu tu je amewahi muona akiwa kashikwa mapepo!? Lakini haya yanasababu zake kiroho
 
Hii yangu sina hakika ni nguvu gani au nini kilitokea. Nikiwa chalii tulikuwa tuko ktk mchakato wa kupata Kipaimara. Sasa baada ya kupakwa yale mafuta kwenye paji la uso na Askofu, nikaanza kuhisi mwili mzito nilipoenda kukaa. Kila nikisikia harufu ya yale mafuta kichwa kinakuwa kizito na kuhisi kama kizunguzungu.

Ikafika muda wa kwenda kupokea sakramenti. Tulipokuwa kwenye mstari kujongea altareni kila nikisogea nanihisi mawenge. Sasa ilipofika zamu yangu kupokea nikaachama mdomo. Nilihisi kutapika na nikabaki vile nikihisi kutapika na msimamizi akanitoa nje nikijisikia mgonjwa, na wiki iliyofuata niliumwa sana. Hadi leo huwa najiuliza nikikumbuka
 
Hayo ni mafuta ya alizeti yaliochanganywa na ya nazi kisha wanaweka madawa ya kulevya ndani yake.
Kaa mbali.
Hakuna kitu kiitwacho mafuta ya baraka.
Huo ni utapeli wa miaka mingi mno.
Nimekwenda mpk Vatican.
Na hio kitu kwa wazungu hakuna. Waafrika ndio wanaotapeliwa kila siku kwa jina la kanisa na kupenda kupata hela mapema.
 
Tuma salamu
 
v

napigilia misumari
 
Acha kamba.
Nani Ana uwezo wa kutupia mtu pepo?
Hizi kesi utasikia kwa watu maskin tu tena waliokulia vijijini.
We umewahi kusikia Rais au waziri au tajiri mkubwa katupiwa pepo?
We hao woote unawajuaa ama unawasikiaa!!!
Nenda Mtwara ama Zenji kaone wanavyopishana kwa maustadhi na wataalamu
Usidanganywe na suti wazivaazo hao wanaoga dawa kama kawaa tena hawa ndio hatari zaidii
 
Endelea kudanganywa.
Nyie ndio mnaambiwa albino analeta utajiri mkaenda kuua wanyonge .

Waafrika tuache imani za kipumbavu.
Tufanye kazi kwa bidii na uaminifu. Iko siku na sisi tutatoka kimaisha.
Vinginevyo tutaua mpk wazazi wetu kwa kudanganywa tutakuwa matajiri.
Ushenzi mtupu.
 
Back
Top Bottom