Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

mbu wa dengue, Uchawi ni stories tu na kucheza na saikolojia za watu.

Hakuna uchawi kama inavyosemwa.

Mababu zetu ambao hawakuelewa redio zinafanyaje kazi, waliwaona wazungu wana uchawi kwa uwezo wao wa kutumia redio.

Wazungu walivyoweza jutaburi kuoatwa kwa jua, mababu zetu waliwaona wachawi.

Ukiamini uchawi, hata kitu kinachielezeka bika kuhitaji uchawi, utaona kinaenda kwa uchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo Wacha kujizima daya
 
Kwenye saikolojia kuna kitu kinaitwa projection.

Projection ni tabia ya mtu kuchukua tabia yake, halafu akawabandika wengine tabia yake.

Kwa mfano, kama yeye ni muongo, basi atasema "wewe muongo". Kama yeye ni mwizi, basi atasema "wewe mwizi".

Ndicho akichofanya huyu jamaa hapa.

Kajizima data yeye, halafu ananiambia "umejizima data".

Kwa zaidi soma hii AI overview kwenye somo hili.

AI Overview



+12
Psychological projection is a defense mechanism where individuals attribute their own unacceptable or unwanted thoughts, feelings, or impulses to others. It's a way of avoiding confronting these internal issues by placing them outside of oneself and onto someone else.

Here's a more detailed explanation:

Core Concept:

Unacceptable Feelings:
Projection involves unconsciously attributing negative or uncomfortable feelings, impulses, or traits that are personally experienced to another person or object.

Defense Mechanism:
It's a way the mind protects itself from anxiety or guilt associated with these internal conflicts by externalizing them.

Distorted Perception:
Projection can distort an individual's perception of reality, leading them to misinterpret others' actions and motivations based on their own internal states.

Examples:

Attributing Jealousy:
A person who is struggling with feelings of jealousy might accuse their partner of flirting with others, even if there's no evidence of such behavior.

Projecting Insecurity:
Someone who feels insecure about their intelligence might accuse their colleagues of being incompetent.
Accusing Others of Dishonesty:
A person who is considering cheating on their partner might project this desire onto their partner and accuse them of infidelity.

Impact:
Relationship Problems:
Projection can strain relationships as it can lead to misunderstandings, conflicts, and distrust.

Impaired Emotional Maturity:
When used frequently, projection can indicate a lack of emotional maturity and difficulty in taking personal responsibility for one's feelings and actions, according to ELISABETTA FRANZOSO.

Social Conflict:
Projection can contribute to social conflict and misunderstanding as people may misinterpret others' behaviors based on their own internal projections, according to Psychology Today.

Recognizing Projection:

Self-Reflection:
Recognizing projection requires self-awareness and a willingness to examine one's own thoughts, feelings, and behaviors.

Identifying Patterns:
Paying attention to recurring patterns in interactions with others can help identify potential instances of projection.

Seeking Feedback:
Seeking feedback from trusted individuals about how one's behavior is perceived can provide valuable insights into potential projection.

In therapy:
Psychological projection is a common topic explored in psychotherapy, as it can significantly impact an individual's relationships and well-being.
Therapists can help individuals become more aware of their projection patterns and develop healthier coping mechanisms, says Newport Healthcare Resources.

In summary: Psychological projection is a defense mechanism that can distort perception, strain relationships, and hinder personal growth. Developing self-awareness and seeking professional help when needed can help individuals manage projection and improve their relationships with others.
 
Namjua Mchezaji soka alieumwa Mguu mpk kufanyiwa Upasuaji..... akatolewa "Betri" kubwa la Radio maeneo karibu na Ankle ya Mguu wa Kushoto!
 
Nilipewa dawa fulani nyeupe yakupaka machoni hii dawa inaitwa lubona asee nilioyaona kw bibi yangu wakufikia niliamua niondoke hadi cha leo sijawahi kurudi huko. Niliona vitu hivi
☆Kila mlango juu kuna hirizi kubwa mbili nyeusi na nyekundu
☆ kila kona ya chumba kuna watu wenye nywele nyingi sana na wanamakucha marefu sana wanatoa udelele
☆ Chini ya uvungu wa kitanda kuna watu pia ambao nywele zao ni ndefu sana
Ndugu uchawi upo na unafanya kazi
Siku sio nyingi nitaleta uzi wangu kuhusu yalionitokea
Unitag
 
Kisa kingine nilikisikia kilitokea maeneo ya sumbawanga

Kuna mzee wamakamo alikua ni tajiri sana, pesa zake haweki benk na hata akienda kufanya manunuzi hua haweki kwenye wallet kuzistiri zisionekane yeye hua anazishikilia tu kama wanafunzi wanavyoshika vitini vyao mikononi

Siku moja kuna kosi la majambazi lilijipanga kwenda kumvamia

Walimkuta yuko nyumbani kwake ameshikilia pesa akipata upepo kwenye garden yake

Wakamnyooshea bastola na kumwambia atulie kimya kisha atoe kila kitu alichonacho

Yule mzee akachukua zile pesa akazibana kwenye kwapa lake huku akitetemeka kwa woga

majambazi wakamsisitiza kua anyanyue mikono juu, mzee akatii amri kwa kunyanyua mikono juu kisha pesa alizozibana kwapani zikaanguka chini majambazi wakaziokota

Wakamwambia tena "toa kila kitu ulichonacho"

Round hii unaambiwa mzee alichomoa kichwa chake akakishika mkononi halafu kile kichwa kikiwa mkononi kikatoa sauti ikisema

"sina chochote jamani nina kichwa tu hapa"

View attachment 1323525
Sasa mbona mzungu?
 
Miaka ya nyuma tunatoka mererani usiku wa manane tuko na pikipiki almaarufu baja tullikutakana na moto mkubwa ukiwa umetanda barabarani kama vile unavuka ,tulikuwa sita tukajishauri sana lakini kwasababu tulikuwa wengi tulipata ujasiri wa kupita ila cha kushangaza tulivuka na hatukuungua wala kuhisi chochote kuangalia nyuma baada ya kuvuka moto uko vile vile
😂
 
Kisa kingine nilikisikia kilitokea maeneo ya sumbawanga

Kuna mzee wamakamo alikua ni tajiri sana, pesa zake haweki benk na hata akienda kufanya manunuzi hua haweki kwenye wallet kuzistiri zisionekane yeye hua anazishikilia tu kama wanafunzi wanavyoshika vitini vyao mikononi

Siku moja kuna kosi la majambazi lilijipanga kwenda kumvamia

Walimkuta yuko nyumbani kwake ameshikilia pesa akipata upepo kwenye garden yake

Wakamnyooshea bastola na kumwambia atulie kimya kisha atoe kila kitu alichonacho

Yule mzee akachukua zile pesa akazibana kwenye kwapa lake huku akitetemeka kwa woga

majambazi wakamsisitiza kua anyanyue mikono juu, mzee akatii amri kwa kunyanyua mikono juu kisha pesa alizozibana kwapani zikaanguka chini majambazi wakaziokota

Wakamwambia tena "toa kila kitu ulichonacho"

Round hii unaambiwa mzee alichomoa kichwa chake akakishika mkononi halafu kile kichwa kikiwa mkononi kikatoa sauti ikisema

"sina chochote jamani nina kichwa tu hapa"

View attachment 1323525
Muongo 😁😁
 
Kisa cha kwanza ambacho kinanivutia hadi leo ilikua mwaka 1998, Niko na jamaa yangu, Tunatokea Shule ya Wasichana Kifungilo tunarudi shuleni kwetu Magamba Secondary (now Sebastian Kolowa University)! Usafiri miaka ile usafiri ulikua wa shida sana, tukawa tunasubiri usafiri pale Mkuzi, SAA Tisa au kumi hivi jioni. Mvua ikaanza kunyesha, wenyeji wakasema kuwa Mvua haitanyesha kwa kuwa Mzee Fulani yuko shambani kwake anauza mapeasi yake.

Ghafla yule Mzee akawa anapita, aiseee seriously kwa Mara ya kwanza tangu nizaliwe sijawahi kuona MTU hanyeshewi na mvua! Yaani mvua inanyesha lakini yeye hanyeshewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha basiii 🤣🤣
 
Back
Top Bottom