Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Alipataje confidence ya kulala jamani.
 
Kisa changu ilikuwa mwaka 2007 ilikuwa sumbawanga maeneo ya kizwite tulikuwa tunatengeneza matrass ya chuma sasa ikifika jioni tunatoka kwenda kula monde town sasa kulikuwa na pub moja maarufu lakin haina hamsha kbsa kuliko zingine ambazo ni lock sasa tukaona acha tukajiachie ile tunaingia tunashangaa mmliki wa ile anatukaribisha lkn anacheka sana tukaingia kula monde kula monde tukienda chooni yule mwenye pub anacheka mbaya ikafka mda wa kuondoka tukasepa kesho yake tukaanza kuwapa habari Wana kuwa kuna kiwanja kizuri lkn hkna watu c ndio tukaambiwa kuwa pale ukiingina unakuwa uchi mipango yoote inakuwa wazi maamaae tangia cku ckukanyaga kbsa sumbwanga noma sana
 
Haaaahaa aiseee nimecheka sana, kama namuona mamdogo alivyochanja mbuga.
 
Habari kama hii haithibitishi uchawi.

Inatuambia habari za kuwapo kwa uchawi, kwa speculations.

Speculations mtu yeyote anaweza kusema chochote.

Inawezekana anayesema hapo kun uchawi ana maslahi yake kusema hivyo, labda ni mshindani wa kibiashara, au ana uhusiano na washindani wa kibiashara.

Huyo mtu anayecheka anaweza kuwa na sababu nyingi sana za kucheka.

Umeamini uchawi, umeamini bila hata kuuliza wala kuchunguza.
 
Ulishawahi kufanya tafiti ya kuprove uchawi ?ikiwa upo au ni jambo la kusadikika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi ni nini kwanza?

Na unajuaje huu ni uchawi, na si physics, chemistry, biology au psychology usiyoijua tu?

Mababu zetu waliwaona wazungu wachawi, kwa sababu walikuwa na redio, waliweza kutabiri kupatwa kwa jua.

Leo tunajua huu si uchawi, ni vitu vinavyoelezeka kisayansi.

Muandishi maarufu wa Science Fiction, Arthur C. Clarke, alisema, "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

Sasa wewe utajuaje this is magic from some technology/ trick you don't know?

Wewe utajuaje vitu unavyoita uchawi leo, ni uchawi kweli, au ni vitu vinavyoelezeka kisayansi tu, ila wewe hujajua vinaendaje?

Unajuaje kwamba haupo katika position ile ile waliyokuwa mababu zetu ya kuwaona wazungu wachawi, kwa sababu wanatumia redio na kutabiri kupatwa kwa jua?
 
Jikite katika nadharia ya vitendo ili upate majibu ya maswali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali.

Muandishi maarufu wa Science Fiction, Arthur C. Clarke, alisema, "Any sufficiently advanced technology is indistinguishable from magic".

Sasa wewe utajuaje this is magic, and this is some technology/ trick you just don't know?

Uchawi ni nini?

Hujajibu swali.
 
Hii story kuna mtu kanisimulia juzi tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo live pale.

Kichekesho ni kwamba baada ya tukio hilo, hawa jamaa walitambiana hapo hapo kila mmoja akimuhakikishia mwenzake kumkomesha kwa kumloga. Nkonkeye baada ya siku chache aliugua kikohozi alichokuwa anakohoa kwa kuunganisha hata saa nzima, Mwisho alikufa na alizikwa kwa kusukumizwa na kuanguka kwenye kaburi. Hakuna alieingia ndani ya kaburi kumzika licha ya watoto, wakamwana na wajukuu kuhusika kwenye mazishi. Ilijulikana kwamba alishasema yeyote atakayeingia kwenye kaburi siku ya kuzikwa kwake hatatoka, akimaanisha atazikwa nae. Ndonkeye alipata masaibu hayo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…