Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Sijaelewa Kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa Kiongozi
Alipataje confidence ya kulala jamani.Kijiji kimoja mkoa X, mzee mmoja alipowaona kuku wa jirani wanashambulia mahindi shambani mwake akaamua kuwatimua kwa kuwapiga na mawe.
Alipoamka asubuhi akajikuta mguu mmoja umetoka uko pembeni hakuna damu wala nini, akiwa katika taharuki nini afanye akalala tena kuamka kesho yake mguu wa pili pia umetoka uko pembeni.
Mpaka leo huyo jamaa yuko na ameshakuwa mzee haelewi nini kilimkuta anatumia wheel chair, uchawi upo.
Hilo ni swali la kuulizwa anayesema uchawi upo.
Dawa unayo tayari Ni jina la Yesu,hutakufa Bali utaishi ili usimulie Matendo makuu na makubwa ya MunguKwa jina la Yesu sifiiiii. Ninakataa.
Dawa ni nini
Haaaahaa aiseee nimecheka sana, kama namuona mamdogo alivyochanja mbuga.Nakumbuka kipindi hicho nikiwa na umri wa miaka 6. Usiku wa saa saba, mkojo ukanibana sawa sawa, ikabidi nimwamshe Mamdogo anitoe nje ili nitoe hiyo haja ndogo
Kwasababu Mamdogo alikuwa na usingizi kwa kutosha, ikabidi anipige biti la hatari na kufoka sana. Tukatoka, yeye akasimama mlangoni mie nikasogea kama mita nne hivi ili nijisaidie. Zile kelele za mother kufoka usiku akiwa mlangoni, tulisikia sauti ya kike kutoka nyuma ya jiko ikisema "MUACHE AKOJOE NAWEWE". Hahahahah!!! Sikutambua Mamdogo kaingia ndani sangapi maana kugeuka nyuma sioni mtu mlangoni. Kwakuwa nilikuwa mdogo niliendelea na haja yangu then nikarudi ndani......
Dawa unayo tayari Ni jina la Yesu,hutakufa Bali utaishi ili usimulie Matendo makuu na makubwa ya Baba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kufanya tafiti ya kuprove uchawi ?ikiwa upo au ni jambo la kusadikika?Hilo ni swali la kuulizwa anayesema uchawi upo.
Mtu atajuaje huu ni uchawi, na hii ni chemistry, physics, biology au psychology tu?
Habari kama hii haithibitishi uchawi.Kisa changu ilikuwa mwaka 2007 ilikuwa sumbawanga maeneo ya kizwite tulikuwa tunatengeneza matrass ya chuma sasa ikifika jioni tunatoka kwenda kula monde town sasa kulikuwa na pub moja maarufu lakin haina hamsha kbsa kuliko zingine ambazo ni lock sasa tukaona acha tukajiachie ile tunaingia tunashangaa mmliki wa ile anatukaribisha lkn anacheka sana tukaingia kula monde kula monde tukienda chooni yule mwenye pub anacheka mbaya ikafka mda wa kuondoka tukasepa kesho yake tukaanza kuwapa habari Wana kuwa kuna kiwanja kizuri lkn hkna watu c ndio tukaambiwa kuwa pale ukiingina unakuwa uchi mipango yoote inakuwa wazi maamaae tangia cku ckukanyaga kbsa sumbwanga noma sana
Uchawi ni nini kwanza?Ulishawahi kufanya tafiti ya kuprove uchawi ?ikiwa upo au ni jambo la kusadikika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite katika nadharia ya vitendo ili upate majibu ya maswali yako.Uchawi ni nini kwanza?
Na unajuaje huu ni uchawi, na si physics, chemistry, biology au psychology usiyoijua tu?
Unaondoka kidogo kidogo masikiniDecember mwaka Jana pumzi ilitaka kutoka ghafla tu sema nilikuwa na waombaji karibu na kupakwa olive oil
Hujajibu swali.Jikite katika nadharia ya vitendo ili upate majibu ya maswali yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee zitto anajimwambafai kumbe alipikwa akapikika shenzii sana😀😀Hii ni zaidi ya noma mzee. Kweli Kigoma mwisho wa reli. Na ndo maana Mwami Zitto Kabwe anajiamini sana.
Uchawi ni nini?Nakuuliza,Ulishawahi kufanya tafiti yoyote kuhusiana na existing ya uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwepo live pale.
Uchawi ni nini?
Yani unaniuliza kuhusu mimi kufanya utafiti wa kitu ambacho hata wewe mwenyewe huwezi kukielezea ni kitu gani?