Hatimaye nimemaliza post zote huu uzi unatisha halafu una wahenga sana
Mkuu umeonaee. Kuna wengine hapa wanasema wameajiriwa miaka ya tisini na semanini aisee.[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitaandika vitu vichache tu
_Nimewahi kuwaona usiku wachawi wakicheza ngoma nje ya nyumba niliyopanga
_Nimeona misukule sana,Sana mingine ilikua inaiba mboga usiku,yenyewe inaiba Nyama &Unga wa ugali ama ulaxe kiporo asubuhi hukuti
_Nimewahi kumshuhudia mzee maarufu mtaani kila siku hua anabeba ndoo moja ya Unga pamoja na madumu mawili ya baiskerli anapeleka ktk nyumba moja hivi kila siku saa 12 jioni kumbe anafuga misukule mingi mno,Sasa niliwahi kumfumania ametoka kuwanga saa 11 jioni kachelewa kurudi kwake tukapishana naenda kuoga ametoka nyuma ya mwembe
_Nimewahi kua karibu na mchawi mkongwe kiasi Cha kutaka kununua Misukule
Bei hutofautiana maximum 3,00,0000per kichwa Bei huzid kutokana na nguvu matumizi na nyota ya msukule
_Nimeshakutana na waganga&wachawi wengi njiapanda wakiwa katika shughuli zao usiku mnene
_Nimefanikiwa kujua lugha za kichawi
Mshirika_Mchawi
Kijakazi_Maukule
_Nimefanikiwa kufahamu viongozi kadhaa was kichawi na kupiga nao stori
_Nimefanikiwa pia kurogwa na kutumiwa jini
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha! Huyo jamaa huwa ananiacha hoi sana! Kuna siku kuna mwanamke alipandisha majini bhana! Wakaja viongozi wa dini kufanya kisomo. Si tulikuwa pembeni tunaangalia picha jinsi linavyokwenda. Yule jini akaanza huyu mwanamke nampenda siwezi kumuacha!
Huyo mshikaji si akanyanyuka bhana akamsogelea huyo mwanamke aliyepandisha majini. Jamaa akaanza; Nyie majini washenzi sana! Kwenu hamna mademu! Unampenda unampenda nani rudi kwenu huko!
Swali lako atalijibu Mshanaqumamaqe watu wanaroga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji3][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
daaah!!!
hivi nazi ina mahusiano gani na ushurikina
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kunitagYaah baada ya pale mkuu kuna mengi nilipitia kwa wife hasa mimba kutoka za kutosha.. oneday ntakuja na uzi humu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa number mbili na tatu vinahusiana vipi na uchawi.... Kipi cha ajabu hapo kuzimia au kuugua uchizi ghafla?
Izo ni imani zako tu... Hakuna iyo kitu.
Alafu unataja kijiji unasema shule x ndio nin... Wakati inaeleweka kijiji kina primary moja secondary moja... Vichache saana vina nyingi.
Tukiamua kukusaka tunaanza na iyo wilaya tu hata hakutokuwa na tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
jerrybanks, Nilisimuliwaga ; Kwamba ukienda kwa mganga labda ili kumdhuru mtu ukitaka auwawe na simba/Nyoka etc dawa ya kuunda simba inakua (labda) kama punje za mahindi unawekewa mkononi unasema maneno basi yule kiumbe anatokea akishaenda kumdhuru mlengwa jukumu lako kama muunda Killing machine yule kiumbe akirudi ukuwekee unga mkononi alambe anabadilika anarudi kama zile punje za awali.
wengi wao wanashindwa wanaishia kufa kwa ajili (unaambiwa) kiumbe kinaporudi huko kama ni Simba basi amefura anahasira na madamu mdomoni ,kitu cha kutisha ule ujasiri wa kukaa utulie aje alambe unga unakutoka ukikimbia ndio anakutafuna na wewe, imagine nyoka anavyofoka vile unaanzaje kukaa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu mwanaume mchawi?dah!pole sana mkuu,.
wife angejua alivoota io ndoto tena angeendelea na maombi na asingeacha.
Na ndo maana biblia inasema usimwache mwanamke mchawi akaishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo walikushughurikia mkuu?Nlikutana na vibwengo laivu bila chenga...nikiwa same secondary...aisee usiombe ukutane na Hawa jamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanga miaka ya 82. Kuna jama alifanya mapenzi na mke wa mtu. Ghafla alipomaliza kitu kikakatikia ndani lkn damu haimwagiki. Alikuja kwa mganga pale Gatundu. Mtu mwingine ukimuangalia mashine unaiona imetulia. Yeye binafsi haioni na hata akipeleka mkono anakuta hamna kitu.
...........,..................
Jamaa mwingine tena alitembea na mke wa mtu. Wakamaliza fresh kila mtu akachukua hamsini zake. Jamaa alikua anakakaa nyumba isiyo na ceiling board. Ghafla wakati amepumzika chumbani kwake ametulia kitandani baada ya kumshuhhulikia mke wa bwege akaona panya amebeba dhakari na pum*** anakatiza nayo kwenye mbao juu
Ukiona Kuna nguvu za GizaUjue watu wengi husema hakuna ushirikina,but utasena hivyo ikiwa hsujawahi kushuhudia .ila in short nguvu za Giza zipo sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Jirani yangu kuna siku alikuwa ananisimulia alikuwa anasafiri na broo wake usiku walikuwa kwenye gari yao. Safari ilivyokuwa inachanganya mbele wakamuona mtu kwa mbali kama anasimamisha gari. Kumuangalia vizuri kumbe ni mwanamke, halafu ni mrembo tu! Dogo akamwambia bro huyu mwanamke atakuwa jini tu haiwezekani usiku huu wote asimame njiani peke yake, tumpite tu.
Brother yake akamwambia usihofu. Akasimamisha gari. Akamwambie ndio mrembo! Yule mwanamke akamwambia naombeni lift nimekwama huu usiku naelekea eneo fulani. Brother yake akamwambia yule mwanamke ingia. Safari inachanja mbuga brother yake akaanza kumwambia yule mwanamke. Inakuaje unatusumbua unasimamisha gari wakati eneo unalotaka kwenda unaouwezo wa kufika?
Yule mwanamke akajibu sielewi unachozungumza. Brother yake akamwambia yule mwanamke, usi' panic! Sisi tuliokupa lift tunajua kwamba wewe ni jini! Ndiyo tunakuuliza kwa nini umetusumbua kusimamisha gari wakati kufika eneo unalotaka uwezo huo unao wewe kama wewe?
Yule mwanamke akawaambia simamisheni gari! Majamaa wakasimamisha. Wakasikia mlango wa siti ya nyuma unafunguliwa. Kugeuka yule mwanamke hawamuoni tena! Brother yake akasema, unatusumbua wakati uwezo wa kufika unao. Wakaendelea na safari.
Nikamuuliza sa mbona huyo jini katumia style ya zamani sana? Jamaa akanijibu, majini ni wapumbavu wapumbavu tu.
aisee