mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hahahaha,duh Kuna watu wanakufuru yaani Kama dunia wameitengeneza waoKijiji kimoja mkoa X, mzee mmoja alipowaona kuku wa jirani wanashambulia mahindi shambani mwake akaamua kuwatimua kwa kuwapiga na mawe.
Alipoamka asubuhi akajikuta mguu mmoja umetoka uko pembeni hakuna damu wala nini, akiwa katika taharuki nini afanye akalala tena kuamka kesho yake mguu wa pili pia umetoka uko pembeni.
Mpaka leo huyo jamaa yuko na ameshakuwa mzee haelewi nini kilimkuta anatumia wheel chair, uchawi upo.
Ukipata namba nitag na mm huyo anaweza kukubadilisha ukawa Mo dewji maana si kwa viwango hivyo.
Jombaaa hii ilikuwa bangi zenu mlizovutaMiaka ya nyuma tunatoka mererani usiku wa manane tuko na pikipiki almaarufu baja tullikutakana na moto mkubwa ukiwa umetanda barabarani kama vile unavuka ,tulikuwa sita tukajishauri sana lakini kwasababu tulikuwa wengi tulipata ujasiri wa kupita ila cha kushangaza tulivuka na hatukuungua wala kuhisi chochote kuangalia nyuma baada ya kuvuka moto uko vile vile
Hata Mimi natamani kujua hilo,pia napenda kujua alivyorudi alikuwa na mawasiliano na kuwatambua ndugu zake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina maswali
1. 1992 ulikuwa unafundisha shule X ila field ya kuwa mwalimu ukifanya mtwara sijui 2006...ulienda kujiendeleza?
2. Huyo aliyerudi na kuishi kwa wiki mbili aliokelewaje na familia yake na kijiji kwa ujumla?kwa hiyo aliwekewa tanga mara mbili?alizikwa mara mbili?
3. Huyo mwalimu mwenzio mlimchukuliaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa wanaosema hamnaUjue watu wengi husema hakuna ushirikina,but utasena hivyo ikiwa hsujawahi kushuhudia .ila in short nguvu za Giza zipo sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ilitokea Tanga wilaya M. Kuna mganga fulani alikua mganga akaona akatoe huduma za kiganga wilaya M akitokea wilaya K. Basi alifikia nyumba ya jamaa mmoja na kumueleza kwamba amekuja hapo kutoa huduma kama kuna mwenye tatizo lolote aje. Basi mganga akapewa chakula akala na kupewa mahali pa kulala. Muda kufika akaenda kulala na mikoba yake. Kulipokucha adibuhi mganga alijikuta yuko nyumbani kwake wilaya K na mke wake na mikoba yake
Subiri nishuke kwanza, naona unaanza kuongeza kasi.Kuna kisa kimoja nilikisikia kuna jamaa alikuwa anahutubia wananchi akiwa juu ya gari lake,mara moshi ukaanza kufuka ukimzugnguka
Dah, hii ni hatari sana.Hii niliambiwa na jamaa yangu na ilimtokea Dar miaka ya hivi karibuni.
Jamaa waliitwa kwenye interview ya driving! Wakapita, wakaitwa kwenye second interview ambayo ndio angepatikana dereva sasa!
Jamaa akawapoteza wenzie yaani siku ya interview kaenda alone, wenzie hawajaja! Jamaa akapata kazi
Sent using Jamii Forums mobile app