Blackninja
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 378
- 313
Cash Money Forever, bo ..... Alishafarik lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umethibitishaje? Umethibitisha nini?Hili nililifanyia kazi kuna bouncer alikuwa jamaa yangu sana anaitwa sisili kma kuna mtu yumo anakaa swnga basi hyu ndio alinithibitishia hlo kbsa
Hivi nguvu za giza haziwashiki Wazungu? ilikuwaje walitutawala?
Mkuu uchawi ktk mapenzi nakubali asilimia zoteKuna jamaa angu alifumaniwa na mke wake,ugomvi ulikua mkubwa kiasi ya kwamba mwanamke alishaanza kufungasha mizigo yake aondoke,jamaa alichofanya alimpgia mtalaam wake simu aisee,baada ya masaa 5 mwanamke amesahau kila kitu,hali ikawa shwari
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aaaaaa brother eh,,,mbona km hvyo sasa.?Ipo songea hiyo kitu si nyoka tu,kenge,mjusi,mbuzi vyovyote vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa una maswali. Kwan wewe hiyo sayansi ulithibitishaje?
Atakuambia hizo zilikuwa hang over za jamaa. Ama walikuwa wanafanya kazi sana mpaka ubongo unashindwa kufanya utambuzi.
Kuuziwa nyama ya nyani na kujikuta umelala nje, kama kweli hayo yametokea, kunathibitisha uchawi upo?
Sasa wewe unanijibu swali kwa swali halafu hapo hapo unanisema nina maswali?Jamaa una maswali. Kwan wewe hiyo sayansi ulithibitishaje?