Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuandika mkuu.Dah uchawi uacheni tu kuna mtu juzi kigoma kapigwa na "radi" yetu ile yenye kimvua cha kusulisuli huku akiwa anasima Biblia
Jongea Songea ukajionee.Aaaaaa brother eh,,,mbona km hvyo sasa.?
poa acha nijaribu kuamini hyo kitu.
Nini tofauti kati ya sayansi na uchawi (najua hapa huna jibu kwakuwa unajidai huamini kuwa kuna uchawi)Sasa wewe unanijibu swali kwa swali halafu hapo hapo unanisema nina maswali?
Sayansi imethibitishwa kwa mantiki isiyokanushika katika majaribio yanayoweza kurudiwa na wengine kwa uthibitisho zaidi.
Wewe uchawi unauthibitishaje huu ni uchawi na si kitu kingine usichokijua?
Mazingaombwe ni nini, hufanyika vp.Uchawi ni nini?
Unajuaje huu ni uchawi na si physics, chemistry, biology, psychology au mazingaombwe ya kukuchuuza kiakili usiyoyajua tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi ni nini?Nini tofauti kati ya sayansi na uchawi (najua hapa huna jibu kwakuwa unajidai huamini kuwa kuna uchawi)
Mazinga ombwe ni tricks za kukufanya uone kitu tofauti na kilivyo, kama mchezo wa karata tatu.Mazingaombwe ni nini, hufanyika vp.
Unaamini uchawi upo?
Unaweza kujaribu trick mojawapo?Mazinga ombwe ni tricks za kukufanya uone kitu tofauti na kilivyo, kama mchezo wa karata tatu.
Sasa unaposema huu ni uchawi, unajuaje si mazingaombwe tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata muda mchafu wa kujifunza sanaa ya chini ya aina hiyo.Unaweza kujaribu trick mojawapo?
Unazungumziaje mtu anayeota usiku analima shamba na asubuhi akiamka anakuwa na matope na uchovu mwilini.