Ushuzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushuzi tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unaweza kuzimia hv hv kudadeekiTanga miaka ya 82. Kuna jama alifanya mapenzi na mke wa mtu. Ghafla alipomaliza kitu kikakatikia ndani lkn damu haimwagiki. Alikuja kwa mganga pale Gatundu. Mtu mwingine ukimuangalia mashine unaiona imetulia. Yeye binafsi haioni na hata akipeleka mkono anakuta hamna kitu.
...........,..................
Jamaa mwingine tena alitembea na mke wa mtu. Wakamaliza fresh kila mtu akachukua hamsini zake. Jamaa alikua anakakaa nyumba isiyo na ceiling board. Ghafla wakati amepumzika chumbani kwake ametulia kitandani baada ya kumshuhhulikia mke wa bwege akaona panya amebeba dhakari na pum*** anakatiza nayo kwenye mbao juu
Assume hujawahi muona Magufuli live au Diamond live leo hii ukikutana na mmoja wapo utashindwa kujua huyu ni Magu au Diamond?Unataka kusema ilijuaje kuwa hao ni ndio bundi wenyewe ilihali hukuwahi kuwaona kabla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji kimoja mkoa X, mzee mmoja alipowaona kuku wa jirani wanashambulia mahindi shambani mwake akaamua kuwatimua kwa kuwapiga na mawe.
Alipoamka asubuhi akajikuta mguu mmoja umetoka uko pembeni hakuna damu wala nini, akiwa katika taharuki nini afanye akalala tena kuamka kesho yake mguu wa pili pia umetoka uko pembeni.
Mpaka leo huyo jamaa yuko na ameshakuwa mzee haelewi nini kilimkuta anatumia wheel chair, uchawi upo.
Muda si mrefu nitakuwa na afro kama avatar yako.Wacha na Mimi niwape mkasa niliyoshuhudia katika mahakama moja miongoni mwa wilaya za Tanga.
Nikiwa katika harakati za kutekeleza majukumu ya kikazi nilipanga nyumba moja hivi iko vizuri tu.wapangaji tulikuwa watatu tu, baba mwenye nyumba Ni kijana mwenzetu ana mishe zake. Sasa bhana huyu baba mwenye nyumba kwenye biashara zake akafanya magumashi yaliyompelekea kushatakiwa na kufunguliwa kesi mahakamani. Kesi ilikuwa kubwa ya kumfunga kifungo kirefu tu. Kwa kuwa huyu baba mwenye nyumba tulikuwa tukielewana stori kwa Sana akanambia nimsindikize mahali kwa mganga. Tukaenda aisee tulipofika mganga akatueleza shida tuliyoendea kesi jinsi ilivyo na imebaki shahidi tu kuja kutoa ushahidi siku ya kesi jamaa ahukumiwe kwa namna yoyote jamaa hachomoki. Mganga akasema kanileteeni Nazi moja tu na si kitu kingine duh tukasema hapa hamna mganga. Tukaenda nunua Nazi tukampelekea, mganga akaandika maneno ya kiarabu kwenye ile Nazi kwa juu ikiwa haijapasuliwa ( maandishi yalikuwa ya rangi nyekundu). Kisha akasema saa 8 usiku ile Nazi ikapasuliwe njia panda ya kuelekea mahakamani.
Tuliporudi home tukawa tunasema mganga mzinguwaji kesi kubwa yy anatufanyia mzaha, basi saa nane usiku tukaenda njia panda ya kuelekea mahakamani jamaa jamaa akajifunga kaniki nyeusi Kisha akaipasua kama alivyoelekeza mganga.
Siku ya kesi ikafika ndipo nilipojuwa kuwa dunia no Zaidi ya tunavyoiona. Jamaa kafikishwa kizimbani kasomewa mashtaka kakataa akaitwa shahidi wa Kwanza, hakimu Kila swali akimuuliza shahidi anasema kasahau hakumbuki kitu, shahidi wa pili ndiye was muhimu Sana aisee jamaa alivyopanda kutoa ushahidi alikuwa bubu seriousky kudadeki acheni tu Kila akiulizwa anashindwa kuongea anabaki baaaa...baaaa...mmmm. Hakimu alidata akaahurisha kesi.
Siku tajwa ya kesi kufika hakuna shihidi alokuja Tena na Tena. Hakimu akafuta kesi na jamaa akawa huru.
Hivi vitu vipo aisee Ni mpaka ushuhudie ndiyo utaamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, mimi nimeshuhudia uchawi wa kutisha kwenye nchi moja inaitwa Tanzania.
Kuna li Chama inaitwa CCM, tangu mwaka 1961 hadi leo 2029 watu wanalala kwenye nyumba Kama mabanda ya nguruwe na kula yao ni taabu lakini wanavumilia tu badala ya kutumia nguvu kuyatoa ma CCM, ama kweli uchawi upo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2]jini kaleta uduwanzi akakutana na binadamu mduwanzi vilevile!Jirani yangu kuna siku alikuwa ananisimulia alikuwa anasafiri na broo wake usiku walikuwa kwenye gari yao. Safari ilivyokuwa inachanganya mbele wakamuona mtu kwa mbali kama anasimamisha gari. Kumuangalia vizuri kumbe ni mwanamke, halafu ni mrembo tu! Dogo akamwambia bro huyu mwanamke atakuwa jini tu haiwezekani usiku huu wote asimame njiani peke yake, tumpite tu.
Brother yake akamwambia usihofu. Akasimamisha gari. Akamwambie ndio mrembo! Yule mwanamke akamwambia naombeni lift nimekwama huu usiku naelekea eneo fulani. Brother yake akamwambia yule mwanamke ingia. Safari inachanja mbuga brother yake akaanza kumwambia yule mwanamke. Inakuaje unatusumbua unasimamisha gari wakati eneo unalotaka kwenda unaouwezo wa kufika?
Yule mwanamke akajibu sielewi unachozungumza. Brother yake akamwambia yule mwanamke, usi' panic! Sisi tuliokupa lift tunajua kwamba wewe ni jini! Ndiyo tunakuuliza kwa nini umetusumbua kusimamisha gari wakati kufika eneo unalotaka uwezo huo unao wewe kama wewe?
Yule mwanamke akawaambia simamisheni gari! Majamaa wakasimamisha. Wakasikia mlango wa siti ya nyuma unafunguliwa. Kugeuka yule mwanamke hawamuoni tena! Brother yake akasema, unatusumbua wakati uwezo wa kufika unao. Wakaendelea na safari.
Nikamuuliza sa mbona huyo jini katumia style ya zamani sana? Jamaa akanijibu, majini ni wapumbavu wapumbavu tu.
Huko ndio kuliko wapatia idea Marvel wakatengeneza black panther.Kiboko ya wote nendeni GAMBOSH simiyu.ni kakijiji kadogo lakini ikifika usiku taa za umeme magari utafikiri upo dubai panawaka panachangamka ikifika asubuhi utashangaa nyumba moja moja za majani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishapita huko zama za giza. Nilijuta
Popobawa Ni kweli alikua anakula mzigo?Sitasau heka heka, yaani hofu na mashaka tele ni tafrani.
popobawa ile sitakuja isahau nilikuwa najipaka mafuta ya nguruwe Ila jamaa wengine nilisikia walijiweja bunzi LA mahindi.
popobawa alikuwa anataka kupima oil wanaume tu, aaash aaash hajajaja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi unatembea fasta utazidi ule wa Wala epo kimasihara
Mimi afro ndo style yanguMuda si mrefu nitakuwa na afro kama avatar yako.
Ngoz nyeupe zina akili sana hata bajaji aidia yao imetoka africa na hio wakanda nchi isiyoonekana ni kama hio gamboshiHuko ndio kuliko wapatia idea Marvel wakatengeneza black panther.
Gambosh=Wakanda. [just saying]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi
Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri
Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma
Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie muungurumo wa simba akiwa nyuma yao na vimbwenga vingi lakini walijitahidi kukaza ili kutovunja sharti la kugeuka nyuma
Sasa ulipofika usiku majira ya saa 8 ikabidi waende makaburini kuoga ili kumalizia zoezi lao la mwisho ili wawe mamilionea
Walipofika makaburini wakavua nguo wote nakubakia uchi kisha wakapanda juu ya kaburi ili waoge
si unajua ukiwa katika ile mood flani hivi unaoga halafu umefumba na macho ili maji yasiingie machoni.
wakastukia tu paap! wameshikwa makalio kwa nyuma.
Aaah unaambiwa wote ilibidi wageuke nyuma kwa haraka huku wanakimbia na kupiga makelele
Kesho yake kijiweni wakaanza kulaumiana "aaah wewe ndiye ulizingua, we ungekausha bila kupiga mikelele mi nisingechochora kwani kushikwa tako kitu gani bwana" yani leo nisingekua nakunywa kahawa hapa ningekua nimejikoki huko kwenye hotel zinazotambulika na dunia"
Ndo tabia za wachawi, wachawi hawapati faida yoyote wao wanataka kuona mtu anateseka tu ndo furaha yao. Hicho kisa ni cha kweli na kimetokea Ludewa mkoa wa Njombe ukiweza ulizia wenyeji wa huko watakuambia na jamaa amekuwa tegemezi wa kupewa misaada tu, miaka ya nyuma 2000's hiki kisa kiliandikwa kwenye gazeti fulani, it's a true story.Kweli duniani watu wana roho mbaya sana! Unamnyang’anya mtu miguu yake yote ati kwa vile amefukuza kuku wako shambani kwake? Huyo jamaa mwenye kuku ni “mshamba” sana