Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Usifungue sana CodesHotel hiyo ndio Swiss farm cottage au? Maana ndio hotel iliyopo close na mkapa....tofauti na hiyo ni mulas hotel....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifungue sana CodesHotel hiyo ndio Swiss farm cottage au? Maana ndio hotel iliyopo close na mkapa....tofauti na hiyo ni mulas hotel....
Madanga wanaumizana kwa ajili ya mashamba ya mihogo, Sakura na mkwaja hakuna wakali siku hizi. Nenda mkalamo, kwa msisi au poza utakutana na mafundiNitamuuliza kuna mzee yeye ndio anajua nani mkali kama Messi na Ronaldo.
Huko Madanga,Kwa Chaga,Kwa Mkomba,Sakura na Mkwaja kuna mafundi haswa.
Madanga wanaumizana kwa ajili ya mashamba ya mihogo, Sakura na mkwaja hakuna wakali siku hizi. Nenda mkalamo, kwa msisi au poza utakutana na mafundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu madam mahondaw ni dada angu huyo pia ni mkubwa kwangu same kwa mkuu smart911....
Sent using Jamii Forums mobile app
karatasi unaweza iweka mbele yako au ukawa umeishika na unaweza kupiga magoti (hii inanguvu sana nimeshuhudia) pia inategemea unasali siku ngapi ukimaliza hizo siku za kusali utaichana tu.... mfano mimi nilipanga kuomba siku 7 mfululizo kuanzia saa 5 ila siku ya 3 nikapata baraka zangu nilimalizia siku 7 then nikaiweka tu sehemu ila kama unataka unaichana baada ya maombi kama siku 1 sawa ichane
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikipata mda nitakuja na kisa cha binti yangu wa kazi , kweli shetatani ni mharibifu ,alaaniwe shetatani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtambua kuwa huyo nae ni mwenzao ila kwa matendo yake machafu yaliyojificha kwenye ulokole. .yani housegal alimuumbua huyo binti aibuuuuu. ..ni kweli unavyosema wachawi wana alama zao, nilihadithiwa na binti wa kike aliekuwa housegirl kwenye nyumba moja kbl hajaombewa na kurudi ktk hali yake ya kawaida. Ni kwamba, mtu anapopelekwa uchawini kwa mara ya kwanza huwa wanachanjwa, na hizo chanjo zinawafanya watambuane hata ktk maisha/dunia yetu hii ya kawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikua bize kidogo mamy ndo nimepata muda ngoja niendelee
Nikikua bize kidogo mamy ndo nimepata muda ngoja niendelee
Ndo mama mchungaji kuanza kumuombea dogo sasa omba ombaa ombaa dogo alikua kama amepandwa na mapepo alikua anajirusha rusha mara ajigalagaze mara kama anajikunjaaa kama mtu anaetoka kuamka vile anavojinyoosha ila kwa nguvuuu huku ananyanyua mikono juu ... Badae akawa kama amelegeaaa kisha kutulia na kushtuka kama mtu aliyekuwa usingizini.
Mama mchungaji akamwita jina deshi deshi. ...akaitika abee. akamwambia hebu niangalie machoni. .akamuangaliaa ( make mapepo hayawezi kuangalia mtu machoni moja kwa moja never ) ma mchungaji akamuuliza kuna nini Kwani ulikua wapi ? Dogo1 akajibu mimi sijui ila nachokumbuka tu ulipoanza kuniombea niliona giza gafla zaidi ya hapo sijui chochote. Sasa wakati mama mchungaji anaendelea kuongea na dogo kwenye cm yangu ikaingia meseji mamdogo njooni haraka chumbani kwa mtoto tumeona moto unawaka sisi tumeogopa tumetoka nje na mtoto ( ikumbukwe mtoto ndokwanza alikua anatimiza siku 30 yani mwezi mmoja )
Nikamwambia ma mchungaji Nikamuonesha na hio meseji ma mchungaji akasema tu msiogope hio ni nguvu ya mungu inafanya kazi. Najua saivi ma mtoto ameshaogopa anawaza mwanae sasa Cha kufanya nendeni nyumbani ila leo usiku msilale kesheni kwenye maombi. Jitahidini wote msilale.
Tukarudi nyumbani sasa tukawakuta wote wapo nje ( hapa hom naishi na huyo mdogo wangu aliezaa pamoja na watoto wa ndugu zangu mmoja anasoma form 3 mwingi la pili nahuyo binti wakazi ) nikamuuliza yule wa form 3 kumetokea nini Kwani Akaniambia kuna muda binti wakazi alikua chumbani na mtoto badae huyo houseg akamwita huyu wa form 3 akimwambia akae na mtoto yeye anaenda chooni maramoja. .Wakati houseg yupo chooni huku chumbani mtoto alikua analia sanaaa huku anajikunjakunja na kujinyonganyonga huku kama ananyanyua mikono juu( yani the way alivokua anafanya mtoto nikama vilevile alivyokua anafanya dogo kule kanisani wakati anaombewa na mama mch. Kumbe yalikua ni madawa na mavitu waliyolishwa na kufanyiwa nahuyo houseg yalikua yanatoka kwayale maombi) badae aliona moto unawaka kitandani juu ya maeneo ya kichwani alipo Kachanga yani kilipoishia kichwa cha mtoto kwa juu sasa. Uliwaka kama mlipuko fulani hivi puuu puu puuu mara tatu. . Yani mara ya kwanza Uliwaka ukazima ukawaka ukazima ukawa ka tena ukazima. .Wakati huo kitanda chote kilikua kinatetemeka kwa nguvuuu ndio akambeba mtoto na kukimbia nje ambapo badae houseg nae alikuja nje walipokimbilia
Tukaingia ndani wakaandaa chakula tukala tulivomaliza Kula tu nikawaita wotee sebuleni. Nikawambia leo hatulali tunakesha kwenye maombi ila ya hapa hapa nyumbani . Haya njooni hapa tuanze ( ilikua kama saa 4 usiku)
Nikamwambia huyo wa la pili aanzishe wimbo wa kuabudu trooooobaaaaah! Ile ameanzisha dakika 5 nyingi tunaona mtu huyoo anayumba tulikua tumesimama tunaona mwenzetu a naenda mbele na kurudi nyuma nenda mbele rudi nyuma ..watoto wote wakaogopa wakasogea kwangu Nikawambia msikimbie tuendelee na kuabudu msiogope wala kukimbia. .ipo nguvu yamungu mahala hapa nothing bad will happen to us. ..tukaendelea kuimba mara mwenzetu puuuuuu chini anatoa mimacho huku anatukodolea mmoja baada ya mwingi . ..ikumbukwe Hapo usiku mungu wangu. ..niliogopa sana ila nikajikaza pale ndo nilikua mkubwa sasa nafanyeje mimi na mama mchungaji hayupo? ?
Yasikie kwa mtu kama huna imani aseeee utapambana nayo physically make yananguvu mnoooo yana vitisho mnoooo. Ni njia tu za mapepo za kuogopesha na kukutisha ili uyaogope Inahitaji imani na ujasiri. .
Nitaendelea
Numbisa Saint anne @Ambiele kiviile
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajisumbua tu kubishana na wewe!Kuna mtu alinipa siku chache, nikawa namuhesabia.
Naona alikimbia mwenyewe.
Nilimwambia mmoja anitumie uchawi nishindwa kuandika hapa JF.Wanajisumbua tu kubishana na wewe!
Si wathibitishe au wakufanye uwe kichaa tuamini maneno yao
Mkalamo ipo wilaya ya Pangani mkoani Tanga.
Madam mahondaw pole sana mkuu kwa mapito ya mdogo wako binadamu tunapitia mengi sana.....naomba umwambie mdogo wako kwanza afunge hata siku 1 huku akitamka mda wote Yesu naomba niguse, pia awe na nyimbo za kuabudu karibu nae mfano nyimbo 2 nilizoshuhudia ukuu wa Mungu ni HAUFANANISHWI wa Boaz danken NA NIGUSE (UKINIGUSA WEWE NITAKUWA SALAMA) YA glorious celebration......
Siku za kusali asubiri muda kutakako kuwa na utulivu kama sio muoga basi iwe usiku.....aandike mahitaji yake kwenye karatasi tu then awe anapiga magoti anavyosali karatasi aiweke chini mbele yake au akisimama awe ameisimamia karatasi yenye mahitaji yake...
basi atafute Luka 1:37, Yeremia 33:3 na mathayo 7:7-8..... asome hii mistari 3 na moyoni ajisemee Mungu naomba uniguse nahitaji kuona ukuu wako.... asali kwa mfano huu huku nyimbo ya kuabudu unaomba taratibu aanze kwa kuabudu kwanza
Asante Mungu wa rehema kwa upendo wako kwangu, najua mimi mkosefu na sistahili mbele zako Yesu wangu, naomba unisamehe dhambi zangu....nanyunyizia damu ya Yesu ya agano jipya ikanitakase dhambi zangu, mwili wangu, nafsi na roho yangu......
Neno lako katika luka 1:37 linasema hakuna linaloshindikana kwako nanyunyizia damu ya Yesu ya agano jipya juu ya maisha yangu na juu ya vifungo vyote vya kishetani nilivyofungwa damu ya Yesu ikanifungue na kuniweka huru.... Nanyunyizia pia damu ya Yesu kristo ya agano jipya juu ya familia yangu nikiomba ulinzi e Yesu wangu roho zote chafu juu ya familia yangu na mtoto wangu hazifananikiwa neno lako katika mathayo 7 linasema tuombe nasi tutapewa naomba ulinzi juu ya familia yangu Yesu...
Nanyunyizia damu ya Yesu kristo ya agano jipya iliyoamriwa na Mungu inene kwa ajili yangu juu ya nyumba nzima damu ya Yesu ikatupe ulinzi na kinga dhidi ya roho chafu na kama ilivyoandikwa katika ufunuo 12:11 kuwa nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo basi natumia damu ya Yesu kristo kushinda hila zote za shetani na nguvu za giza...Amen
Ila kama anataka KUNENA kwa lugha hata kama hajaokoka ila anadhamiri ya kutaka kusema na Yesu(Mimi nilinena kwa lugha nikiwa sijaokoa)
basi atafute nyimbo ya kuabudu nashauri iwe Haufananishwi aiweke afatishe nyimbo yote aimbe akijisemea moyoni nahitaji uniguse Yesu....
then aianzishe alafu nyimbo inavyoendelea kuimba aseme tu Asante Yesu mara nyingi asiache akiona unaanza kuishiwa kama pumzi vuta pumzi na endelea kusema asante Yesu mara nyingi awezavyo ndani ya dakika 5 ataanza kunena kwa lugha( kwenye kunena kwa lugha japo atakuwa anaongea lugha ya kipekee moyoni mwake aendelee kusema mahitaji yake)
mfano mimi siku niliyonena kwa lugha sikuacha kusema Mungu nahitaji uponyaji wako na hapo sikuwa nimeenda kanisani kama miezi 5,
nilisali hivyo kwa hiyo njia ya kunena kwa lugha it happened nilinena kwa lugha muda mrefu sana na miujiza nikapata... kwa mtu mmoja mmoja namshauri asali kwa kunena kwa lugha ataona kazi ya Mungu inavyotendeka na hata kama muoga, akianza kunena tu Mungu atakupa ujasiri wa ajabu (Ninauhakika na hii fanya leo usijaribu Mungu atakuonesha ukiulizwa wake)
naimani itawafaa katika kusali Stopper3 Antonio de Guzman
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Sana.
Mnahitaji maombi Sana..
Napendekeza muanze wenyewe kuomba..maana hakuna mtu atakuombea vizuri kuzidi unavyojiombea mwenyewe.
Maombi Ni silaha.
Mimi sijawahi shuhudia hayo aisee na sitamani kushuhudia,huwa najitahidi Sana kusali
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee..hapo Ni mtihani.Amina best mwanzo nilikua naogopa sana ila sasa nina ujasiri siogopi chochote kwani mungu yu pamoja nasi. .mpaka wakati huu ni kwa upendo wake tu .
Pia kingine baba mtoto nae ( shemeji) anasali sana kuombea familia yake Kwani hataki michanganyo ya waganga mara kanisani. .kuna kipindi dogo alikata tamaa akataka kwenda kwa waganga mumewe akamwambia akikanyaga kwa waganga tu wamewapa nafasi maadui ... anasisitiza wasali sana . ..sasa huyo kijana anataka amchukue mkewe ndo balaa lililopo kwasasa je kama ndugu yenu mtafanyeje ? ? Ukoo hauelewi cha ndoa wala nini. ..mtatuulia mwanetu. . Huyo mtoto tutalea vizuri tu binti yetu Harudi ng'o ..
Ukweni wanataka mjukuu wao akakae kwao kwa bibiyao mzaa baba ambao wajukuu wengine wote wapo huko eti damu yao haiendi mbali. Mpaka mtoto alelewe kwao .baba mtoto hataki mtoto akakae kwao anaenda kinyume na wakwao. . Kama ndugu yenu mngefanyeje? ?
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app