Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Baada ya mauzauza Mimi nilikua nasali kuanzia saa 8 usiku mpaka saa 10 ila naona kasi imepungua kabisa.
Kwani inasemekana kwa usiku huo muda wachawi wanga nandugu zao ndio muda wanakua kazini katika mambo yao ya giza.
Naamini by that time walikua wakija wanakutana na moto mkali wa yesu. . pia kwa ndugu yangu huyo alikua anatokewa muda wa usiku hivo niliazimia maombi kwamuda huo ila naona kasi imepungua kabisa sasahivi ikifika muda wa kuamka kusali nakua mvivu kuamka nakosa nguvu kwa usingizi mkali sana najikuta nasali juu juu asubuhi nikiamka.

Ee yesu nitie nguvu

Cc Smart911
karatasi unaweza iweka mbele yako au ukawa umeishika na unaweza kupiga magoti (hii inanguvu sana nimeshuhudia) pia inategemea unasali siku ngapi ukimaliza hizo siku za kusali utaichana tu.... mfano mimi nilipanga kuomba siku 7 mfululizo kuanzia saa 5 ila siku ya 3 nikapata baraka zangu nilimalizia siku 7 then nikaiweka tu sehemu ila kama unataka unaichana baada ya maombi kama siku 1 sawa ichane

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni kweli Aiseee! ! Ushangae sasa kuna binti mmoja kanisani huwa a naimba sifa yani ana kipaji cha kusifu sijawahi ona akishika maiki kusifu ni hatariiiiii ila sasa si huyo housegel pindi anaombewa na kupandwa na hayo madude yao aliweza
ni kweli unavyosema wachawi wana alama zao, nilihadithiwa na binti wa kike aliekuwa housegirl kwenye nyumba moja kbl hajaombewa na kurudi ktk hali yake ya kawaida. Ni kwamba, mtu anapopelekwa uchawini kwa mara ya kwanza huwa wanachanjwa, na hizo chanjo zinawafanya watambuane hata ktk maisha/dunia yetu hii ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumtambua kuwa huyo nae ni mwenzao ila kwa matendo yake machafu yaliyojificha kwenye ulokole. .yani housegal alimuumbua huyo binti aibuuuuu. ..

Pia kuna wachawi wana pepo za utambuzi. .anakuambia vitu/ mambo yako yooote na ukiwaza na kuyatafakari ni ya ukweli kabisa.
Alimuumbua mnooo mnooo.
Kanisani kuna mambo mengi ya ajabu sana tunafanya waumini

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Smart911
 
mahondaw na Tanayzer natamani muendelee kuandika...
Nikikua bize kidogo mamy ndo nimepata muda ngoja niendelee

Ndo mama mchungaji kuanza kumuombea dogo sasa omba ombaa ombaa dogo alikua kama amepandwa na mapepo alikua anajirusha rusha mara ajigalagaze mara kama anajikunjaaa kama mtu anaetoka kuamka vile anavojinyoosha ila kwa nguvuuu huku ananyanyua mikono juu ... Badae akawa kama amelegeaaa kisha kutulia na kushtuka kama mtu aliyekuwa usingizini.
Mama mchungaji akamwita jina deshi deshi. ...akaitika abee. akamwambia hebu niangalie machoni. .akamuangaliaa ( make mapepo hayawezi kuangalia mtu machoni moja kwa moja never ) ma mchungaji akamuuliza kuna nini Kwani ulikua wapi ? Dogo1 akajibu mimi sijui ila nachokumbuka tu ulipoanza kuniombea niliona giza gafla zaidi ya hapo sijui chochote. Sasa wakati mama mchungaji anaendelea kuongea na dogo kwenye cm yangu ikaingia meseji mamdogo njooni haraka chumbani kwa mtoto tumeona moto unawaka sisi tumeogopa tumetoka nje na mtoto ( ikumbukwe mtoto ndokwanza alikua anatimiza siku 30 yani mwezi mmoja )
Nikamwambia ma mchungaji Nikamuonesha na hio meseji ma mchungaji akasema tu msiogope hio ni nguvu ya mungu inafanya kazi. Najua saivi ma mtoto ameshaogopa anawaza mwanae sasa Cha kufanya nendeni nyumbani ila leo usiku msilale kesheni kwenye maombi. Jitahidini wote msilale.
Tukarudi nyumbani sasa tukawakuta wote wapo nje ( hapa hom naishi na huyo mdogo wangu aliezaa pamoja na watoto wa ndugu zangu mmoja anasoma form 3 mwingi la pili nahuyo binti wakazi ) nikamuuliza yule wa form 3 kumetokea nini Kwani Akaniambia kuna muda binti wakazi alikua chumbani na mtoto badae huyo houseg akamwita huyu wa form 3 akimwambia akae na mtoto yeye anaenda chooni maramoja. .Wakati houseg yupo chooni huku chumbani mtoto alikua analia sanaaa huku anajikunjakunja na kujinyonganyonga huku kama ananyanyua mikono juu( yani the way alivokua anafanya mtoto nikama vilevile alivyokua anafanya dogo kule kanisani wakati anaombewa na mama mch. Kumbe yalikua ni madawa na mavitu waliyolishwa na kufanyiwa nahuyo houseg yalikua yanatoka kwayale maombi) badae aliona moto unawaka kitandani juu ya maeneo ya kichwani alipo Kachanga yani kilipoishia kichwa cha mtoto kwa juu sasa. Uliwaka kama mlipuko fulani hivi puuu puu puuu mara tatu. . Yani mara ya kwanza Uliwaka ukazima ukawaka ukazima ukawa ka tena ukazima. .Wakati huo kitanda chote kilikua kinatetemeka kwa nguvuuu ndio akambeba mtoto na kukimbia nje ambapo badae houseg nae alikuja nje walipokimbilia
Tukaingia ndani wakaandaa chakula tukala tulivomaliza Kula tu nikawaita wotee sebuleni. Nikawambia leo hatulali tunakesha kwenye maombi ila ya hapa hapa nyumbani . Haya njooni hapa tuanze ( ilikua kama saa 4 usiku)
Nikamwambia huyo wa la pili aanzishe wimbo wa kuabudu trooooobaaaaah! Ile ameanzisha dakika 5 nyingi tunaona mtu huyoo anayumba tulikua tumesimama tunaona mwenzetu a naenda mbele na kurudi nyuma nenda mbele rudi nyuma ..watoto wote wakaogopa wakasogea kwangu Nikawambia msikimbie tuendelee na kuabudu msiogope wala kukimbia. .ipo nguvu yamungu mahala hapa nothing bad will happen to us. ..tukaendelea kuimba mara mwenzetu puuuuuu chini anatoa mimacho huku anatukodolea mmoja baada ya mwingi . ..ikumbukwe Hapo usiku mungu wangu. ..niliogopa sana ila nikajikaza pale ndo nilikua mkubwa sasa nafanyeje mimi na mama mchungaji hayupo? ?

Yasikie kwa mtu kama huna imani aseeee utapambana nayo physically make yananguvu mnoooo yana vitisho mnoooo. Ni njia tu za mapepo za kuogopesha na kukutisha ili uyaogope Inahitaji imani na ujasiri. .

Nitaendelea
Numbisa Saint anne @Ambiele kiviile

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mpaka Sasa hivi Kuna mtu keshamloga kiranga,Ili Kiranga amlipe Lile dau aliloahidi kwenye huu Uzi au mshana Jr anakwama wapi tupige ela?
 
Aisee yani nilikuwa naimagine nipo kwenye hiyo scene nakosa hata pozi. Lakini as you said; mambo ya kiroho huna budi kudeal nayo kiroho tu. Msichoke wala msije mkathubutu kuacha kudumu katika maombi; pepo likimtoka mtu huwa wanarudi na wengine na nguvu zaidi kuangalia kama bado wana nafasi/makazi kwenye maisha ya mtu huyo. You have to be spiritual...

Nilipata hekima ya yakutokujudge watu wanaoshinda makanisani; wengine ni vile maisha yao yametawaliwa na vita; kanisani ni mahali pekee wanapoweza kupata msaada. Haya mambo usimuliwe tu; yasikukute
 
Ndio kuanza kukemea sasa mimi na hao watoto hadi wa la pili masikini yupo tu toka kwa jina la yesuuu ..nikawa nawambia watoto wengine waendelee kuimba nyimbo za kuabudu huku wakubwa tunakemea kemea kemea badae tukaona yule binti akiwa bado yupo kwenye hali ya kupandwa na mapepo akawa anamnyooshea kidole Kachanga akiwa ameshikwa nahuyo wa form 3 huku anacheka sauti kubwaaa anamnyooshea huku anacheka ha ha ha Haa hapo watoto mbioooo nyuma yangu nawambia hii ni vita msiache kuimba na kusali pia msiogope mnaona Mungu ametuonesha vitu tulikua hatuvijui siku zote tulikua tunaishi nae dada wa kazi bila kujua haya yote.
Baada ya kuona hivo ananyooshea Kachanga na kusema shangazi unaona umeniponza sasa shangazi umeniponza nikaanza kumemea huku namuamuru aseme yeye ninani. . na anataka nini akawa kafumba mdomo kwa nguvu namuamuru aseme wapiiiiii. .amuru wapiiiiii. .Badae akasema tu ametumwa na shangazi yake Kachanga huku akitaja jina lake halisi ( dada wa mume wa dogo ) .tukaendelea kukemea badae akawa anasema ana njaa na amechoka anaomba chakula na maji ( sasa nikawaza njaa imetoka wapi wakati tulikula kabla ya kuanza maombi? ? kumbe pale hakuwa katika hali ya kibinadamu bali alikua na hali ya kishetani / kichawi ambayo walimpa kazi hio ya kuja kuua Kachanga usiku huo ambao tulikesha kwenye maombi ila ndio akakutana na moto wa yesu maombi makali na songombingo hizo na kuishiwa nguvu hivo kudondoka )
kwahiyo ile njaa na kiu ni kutokana na nguvu ya mungu iliyokua ikifanya kazi hivo aliishiwa nguvu. na mtu wa hivo au pepo ukimpa maji au chakula tu unamuongezea nguvu upyaa .. hatukumpa chochote na baadae aliishiwa nguvu kabisa akawa kama anasota kuelekea ukutani kwenye kona ya sebule na kisha kushtuka kama mtu aliyekuwa usingizini akiwa na akili ya kibinadamu huku akitushangaa na kulalamika mbona a najisikia amechoka sana viungo vyote ??

hapo saa 11 asubuhi nikawaambia wote tulale. .tulilala hapohapo sebuleni tulitoa magodoro ila watoto walikuwa wanamkimbia na kumuogopa sana houseg hata kama yupo kwenye hali ya kawaida ya kibinadamu wakimuona mbioooo.
kesho yake Nikamwambia twende kanisani tukaenda.
Huko sasa alikuwa na mapepo kama 7000 hivi. .kumbe huyo houseg nae kwao ni wachawi. .wale wachawi nuksiiii walimuombea akasema yoooote aliyowafanyia . .( aliweka dawa na hirizi chini ya kitanda anacholala mama na mtoto kilasiku , aliwalisha dawa kwenye chakula nyingine alimuwekea kachanga kwenye kiganja cha mkono wa Kushoto usiku kiuchawi -hii usiku huo alikuja kuelekezwa na shangazi mtoto wakamuwekea mtoto ili atakapotimiza mwezi mmoja kamili waje kumchukua kiuchawi kwa urahisi )watu aliowaua watano Kachanga alikua wa 6 ila ameshindwa. .ilichukua wiki nzima akiwa kanisani huko huko alikua na madude mengi sana. .ambayo wakati anaombewa kila mmoja alikuwa anaongea sasa upande wa kwao binti na shangazi Kachanga. ..
yaliyotushangaza ni ya wifi mtu upande wa ukweni kwa dogo huko aliyetaka kumuua kwa kumchukua kiuchawi mtoto wa kaka yake kwakua kaka yake huyo ( baba Kachanga )alikataa kushirikiana nao katika mambo yao ( ya kichawi )
Muda mrefu sana walimwambia kuungana nao lakini alionekana kutovipenda / kuchukia hayo mambo ya kichawi na hataki hata kuvisikia wakati kwao ukoo ulimchagua na kumuona yeye ndiye mwenye nyota na anafaa kuwaongoza lakini alikataa hivo watawasumbua mke na watoto wake ..
pia sababu nyingine ni kwakua Kachanga alikua mtoto wa kwanza ..wachawi wanaita watoto wa kwanza nikama lango sijui lango la wapi hata ndiomana huenda kuchukua watoto wakwanza..... pia mtoto huyo Ana nguvu sana lakini pia watoto na vijana wa kiume wanapendwa na wachawi kwakua wana nguvu nyingi tofauti na wanawake hivo husaidia kazi nyingi huko kuzimu pia husaidia kunyanyua wazee wasio na nguvu huku kuzimu hivo angemchukua Kachanga angemlea mpaka angetimiza miaka 13 au 14 ( sikumbuki vizuri )angeanza kumtumia

itaendelea
Cc Smart911
 
Kumbe wachawi hupenda kupitia kwenye kona za nyumba. .pale alipokuwa anasota kuelekea kwenye kona nikwamba alikuja kusaidiwa kuondoka na shangazi mtoto aliemwagiza na wachawi wengine Kwani yeye alikua hana nguvu pale ziliisha kabisa. ..

usiku huo wakati tuko kule nyumbani tunakesha katika maombi tukikemea na kusali mbwa wengi sana walikua wanalia na kubweka kumbe wale mbwa waliona wachawi hao walikuwa nje ya nyumba yangu wakisubiri Kubeba mwili wa Kachanga ..

GLORY BE TO GOD

Cc Smart911
 
Amina mkuu ubarikiwe sana. ..yalipotokea hayo tu nikawa usiku namwamsha tusali kuvunja madhabahu ya Shetani wifi zake huko ambayo ilionekana muda mwingi hufanya kazi yakuja kuwafanyia hayo usiku so ikawa namwamsha saa 8 tunasali ila sikuhizi kasi nguvu imepungua kabisa. ..
Pia mimi nikama huwa naonyeshwa mambo mengi hadi ya ukweni kwa kwa dogo kupitia ndoto ndiomana nikaamua kumchukua nikae nae kwanza I believe mungu anena nasi kwa njia tofauti.
Mimi huwa sometimes huwa naota naona watu wa ukweni kwake kabisaaaa namuona mama mkwe wake nawaona wifi zake wengine wanamuonea huruma wengine wakatili, nawaona wajukuu wao wengine
Kuna siku niliota kama namuona mkwe wake amekuja kwa dogo akawa kama amamvuta mashavu kwa hasiraaaa nakwa nguvuuu. .Kuwa wewe kwanini mwanangu amekataa kumuoa mdada niliyemtafutia ambae ndie tungeelewana vizuri. .kwaniniiii anakung'ang'ania weewee ambae hatuelewani hata kidogo? ? Kwaniniiii Tungekua tunaelewana ningefurahi sana tungekufundisha vitu vyetu. .Asubuhi dogo anaamka ananiambia dada naumwa mashavu utadhani yamepigwa pigwana mchi. ...Siku nyingine niliota watoto mabinti wa miaka 13 au 14 hivi wamekuja nyumbani kwangu nikawa nawakemea eehh nawao wakawa kama wanarusha nguvu zao ila tukapambana nao mpaka wakaishia nguvu wakakimbia. .yani sura nazoona ndotoni ni zile zile halisi za ndugu zake na mume wa dogo. . Ndoto nyingi sana za kwao huko naziota na sura zile zile Sasa sijui kuna nini yani hata mimi sielewi. ..

Cc Smart911
Madam mahondaw pole sana mkuu kwa mapito ya mdogo wako binadamu tunapitia mengi sana.....naomba umwambie mdogo wako kwanza afunge hata siku 1 huku akitamka mda wote Yesu naomba niguse, pia awe na nyimbo za kuabudu karibu nae mfano nyimbo 2 nilizoshuhudia ukuu wa Mungu ni HAUFANANISHWI wa Boaz danken NA NIGUSE (UKINIGUSA WEWE NITAKUWA SALAMA) YA glorious celebration......

Siku za kusali asubiri muda kutakako kuwa na utulivu kama sio muoga basi iwe usiku.....aandike mahitaji yake kwenye karatasi tu then awe anapiga magoti anavyosali karatasi aiweke chini mbele yake au akisimama awe ameisimamia karatasi yenye mahitaji yake...

basi atafute Luka 1:37, Yeremia 33:3 na mathayo 7:7-8..... asome hii mistari 3 na moyoni ajisemee Mungu naomba uniguse nahitaji kuona ukuu wako.... asali kwa mfano huu huku nyimbo ya kuabudu unaomba taratibu aanze kwa kuabudu kwanza

Asante Mungu wa rehema kwa upendo wako kwangu, najua mimi mkosefu na sistahili mbele zako Yesu wangu, naomba unisamehe dhambi zangu....nanyunyizia damu ya Yesu ya agano jipya ikanitakase dhambi zangu, mwili wangu, nafsi na roho yangu......

Neno lako katika luka 1:37 linasema hakuna linaloshindikana kwako nanyunyizia damu ya Yesu ya agano jipya juu ya maisha yangu na juu ya vifungo vyote vya kishetani nilivyofungwa damu ya Yesu ikanifungue na kuniweka huru.... Nanyunyizia pia damu ya Yesu kristo ya agano jipya juu ya familia yangu nikiomba ulinzi e Yesu wangu roho zote chafu juu ya familia yangu na mtoto wangu hazifananikiwa neno lako katika mathayo 7 linasema tuombe nasi tutapewa naomba ulinzi juu ya familia yangu Yesu...

Nanyunyizia damu ya Yesu kristo ya agano jipya iliyoamriwa na Mungu inene kwa ajili yangu juu ya nyumba nzima damu ya Yesu ikatupe ulinzi na kinga dhidi ya roho chafu na kama ilivyoandikwa katika ufunuo 12:11 kuwa nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo basi natumia damu ya Yesu kristo kushinda hila zote za shetani na nguvu za giza...Amen

Ila kama anataka KUNENA kwa lugha hata kama hajaokoka ila anadhamiri ya kutaka kusema na Yesu(Mimi nilinena kwa lugha nikiwa sijaokoa)

basi atafute nyimbo ya kuabudu nashauri iwe Haufananishwi aiweke afatishe nyimbo yote aimbe akijisemea moyoni nahitaji uniguse Yesu....

then aianzishe alafu nyimbo inavyoendelea kuimba aseme tu Asante Yesu mara nyingi asiache akiona unaanza kuishiwa kama pumzi vuta pumzi na endelea kusema asante Yesu mara nyingi awezavyo ndani ya dakika 5 ataanza kunena kwa lugha( kwenye kunena kwa lugha japo atakuwa anaongea lugha ya kipekee moyoni mwake aendelee kusema mahitaji yake)

mfano mimi siku niliyonena kwa lugha sikuacha kusema Mungu nahitaji uponyaji wako na hapo sikuwa nimeenda kanisani kama miezi 5,

nilisali hivyo kwa hiyo njia ya kunena kwa lugha it happened nilinena kwa lugha muda mrefu sana na miujiza nikapata... kwa mtu mmoja mmoja namshauri asali kwa kunena kwa lugha ataona kazi ya Mungu inavyotendeka na hata kama muoga, akianza kunena tu Mungu atakupa ujasiri wa ajabu (Ninauhakika na hii fanya leo usijaribu Mungu atakuonesha ukiulizwa wake)

naimani itawafaa katika kusali Stopper3 Antonio de Guzman

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina best mwanzo nilikua naogopa sana ila sasa nina ujasiri siogopi chochote kwani mungu yu pamoja nasi. .mpaka wakati huu ni kwa upendo wake tu .
Pia kingine baba mtoto nae ( shemeji) anasali sana kuombea familia yake Kwani hataki michanganyo ya waganga mara kanisani. .kuna kipindi dogo alikata tamaa akataka kwenda kwa waganga mumewe akamwambia akikanyaga kwa waganga tu wamewapa nafasi maadui ... anasisitiza wasali sana . ..sasa huyo kijana anataka amchukue mkewe ndo balaa lililopo kwasasa je kama ndugu yenu mtafanyeje ? ? Ukoo hauelewi cha ndoa wala nini. ..mtatuulia mwanetu. . Huyo mtoto tutalea vizuri tu binti yetu Harudi ng'o ..
Ukweni wanataka mjukuu wao akakae kwao kwa bibiyao mzaa baba ambao wajukuu wengine wote wapo huko eti damu yao haiendi mbali. Mpaka mtoto alelewe kwao .baba mtoto hataki mtoto akakae kwao anaenda kinyume na wakwao. . Kama ndugu yenu mngefanyeje? ?

Cc Smart911
Pole Sana.
Mnahitaji maombi Sana..
Napendekeza muanze wenyewe kuomba..maana hakuna mtu atakuombea vizuri kuzidi unavyojiombea mwenyewe.

Maombi Ni silaha.
Mimi sijawahi shuhudia hayo aisee na sitamani kushuhudia,huwa najitahidi Sana kusali

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina best mwanzo nilikua naogopa sana ila sasa nina ujasiri siogopi chochote kwani mungu yu pamoja nasi. .mpaka wakati huu ni kwa upendo wake tu .
Pia kingine baba mtoto nae ( shemeji) anasali sana kuombea familia yake Kwani hataki michanganyo ya waganga mara kanisani. .kuna kipindi dogo alikata tamaa akataka kwenda kwa waganga mumewe akamwambia akikanyaga kwa waganga tu wamewapa nafasi maadui ... anasisitiza wasali sana . ..sasa huyo kijana anataka amchukue mkewe ndo balaa lililopo kwasasa je kama ndugu yenu mtafanyeje ? ? Ukoo hauelewi cha ndoa wala nini. ..mtatuulia mwanetu. . Huyo mtoto tutalea vizuri tu binti yetu Harudi ng'o ..
Ukweni wanataka mjukuu wao akakae kwao kwa bibiyao mzaa baba ambao wajukuu wengine wote wapo huko eti damu yao haiendi mbali. Mpaka mtoto alelewe kwao .baba mtoto hataki mtoto akakae kwao anaenda kinyume na wakwao. . Kama ndugu yenu mngefanyeje? ?

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh aisee..hapo Ni mtihani.
Ni kuomba hekima ya Mungu iwaongoze Cha kufanya.

Ningekuwa Mimi ningeshauri au kuwaomba kwamba wawape muda.mambo yatakapotengamaa Basi watamchukua mtoto wao.

Nimependa msimamo wa maombi wa huyo shemeji yako,
Watu wengi hukata tamaa Mambo yakiwazonga wanachanganya Na kwa waganga wa kienyeji na Mambo ndipo huanza kuwa mabaya zaidi kwa sababu uchawi hauwezi kutolewa na uchawi.

BTW yote yatapita,hata Hilo litapita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom