Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Amina mkuu ubarikiwe sana. ..yalipotokea hayo tu nikawa usiku namwamsha tusali kuvunja madhabahu ya Shetani wifi zake huko ambayo ilionekana muda mwingi hufanya kazi yakuja kuwafanyia hayo usiku so ikawa namwamsha saa 8 tunasali ila sikuhizi kasi nguvu imepungua kabisa. ..
Pia mimi nikama huwa naonyeshwa mambo mengi hadi ya ukweni kwa kwa dogo kupitia ndoto ndiomana nikaamua kumchukua nikae nae kwanza I believe mungu anena nasi kwa njia tofauti.
Mimi huwa sometimes huwa naota naona watu wa ukweni kwake kabisaaaa namuona mama mkwe wake nawaona wifi zake wengine wanamuonea huruma wengine wakatili, nawaona wajukuu wao wengine
Kuna siku niliota kama namuona mkwe wake amekuja kwa dogo akawa kama amamvuta mashavu kwa hasiraaaa nakwa nguvuuu. .Kuwa wewe kwanini mwanangu amekataa kumuoa mdada niliyemtafutia ambae ndie tungeelewana vizuri. .kwaniniiii anakung'ang'ania weewee ambae hatuelewani hata kidogo? ? Kwaniniiii Tungekua tunaelewana ningefurahi sana tungekufundisha vitu vyetu. .Asubuhi dogo anaamka ananiambia dada naumwa mashavu utadhani yamepigwa pigwana mchi. ...Siku nyingine niliota watoto mabinti wa miaka 13 au 14 hivi wamekuja nyumbani kwangu nikawa nawakemea eehh nawao wakawa kama wanarusha nguvu zao ila tukapambana nao mpaka wakaishia nguvu wakakimbia. .yani sura nazoona ndotoni ni zile zile halisi za ndugu zake na mume wa dogo. . Ndoto nyingi sana za kwao huko naziota na sura zile zile Sasa sijui kuna nini yani hata mimi sielewi. ..

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe siku hizi nguvu za kuamka usiku zimepungua mno nilikua hidari sana saa nane... Aisee hongereni kwa ushindi wapendwa
 
Sio hivyo tu niliomba Mungu anifunge kwa mda nisijihusishe na Sex aiseh, kuna siku nimetoka kununua kinga kabisa nikawa nasema Mungu kama unanipenda naomba Nioneshe kitu chochote nisifanikiwe kwenye hili tukio..... akati narudi kutoka kununua kinga nilichokutana nacho kikanifanya niamini Mungu yupo....
Naomba nisimulie ilikuaje mkuu....
Ulikutana na nini??
 
Asante mkuu yote hayo upendo wa yesu. .Naamini anatuwazia mema na maisha marefu that's why. .
Mungu akutie nguvu uamke upya mpendwa ..vita ni kali sana katika ulimwengu wa roho

Cc Smart911
Mimi mwenyewe siku hizi nguvu za kuamka usiku zimepungua mno nilikua hidari sana saa nane... Aisee hongereni kwa ushindi wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu yote hayo upendo wa yesu. .Naamini anatuwazia mema na maisha marefu that's why. .
Mungu akutie nguvu uamke upya mpendwa ..vita ni kali sana katika ulimwengu wa roho

Cc Smart911

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen dear sister yaani ni kweli vita ni kali sana sana, though Mungu ni mwema haijawahi pita siku bila kuonyeshwa yanayojiri rohoni, Mungu amekua akizungumza na mimi sana sana hata katika hali hii ....... Bwana Yesu atuinue kwa upya hakika....
 
Pole sana kwa hayo mambo ya kusingiziwa.Mimi huwa nafuatilia mada zako vizuri sana humu ndani,ni nzuri,na unaonekana ni mtu mwenye akili na muungwana sana.Nakuomba uanzishe thread inayohusu hayo matatizo yako ya kusingiziwa vitu,watu watapata elimu, na utapata mawazo mazuri ya kusolve hiyo mambo.
Mwisho kuna mdau kaomba umwandikie mpango wa kuanzisha mradi,kajuaje kama wewe ni mtaalamu wa mambo hayo? kuna mawili, moja,unaweza kuwa unavutwa na mtu wa mfumo kwa nia mbaya ama njema,mbili au kweli kaona uwezo wako .
Fungua macho yako.kuna namna nyingi za kumnasa mtu.Niliwahi kukutana na mtego kama huo ,niligundua kua ni mtengo.
Ahsante sana mkuu kwa kusoma machapisho yangu. Ngoja mkuu nianze kufikiria kama nitaweza kupata cha kuandika hicho ulichoniambia....
Niliwahi lakini kuandika kuhusu Nature's Caches against Soul's Caches. Zinavyo effect maisha ya mwanadamu. Hope umeusoma..Ila nitafanyia kazi mawazo yako.

Ahsante sana mkuu
 
Hapana sijawahi shuhudia namna anavyochukuliwa zaidi ya kupewa simulizi kwa kiasi chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna dawa ya kichawi ambayo hupewa muhusika kabla ya kuchukuliwa kichawi ..

Kwa Kachanga by the time ilikua hivi. .

Kuna kipindi shangazi yake alikuja kichawi usiku na kumuelekeza huyo binti wakazi ambae tulikua tunaishi nae na alikua analala chumba kimoja na mama Kachanga vitu vya kufanya kwa Kachanga ili shangazi mtu sasa amuwekee dawa ya kuja kumumuua na kumchukua kirahisi mtoto atapotimiza mwezi mmoja kamili. .
Alikuja na kufanikiwa kumuwekea dawa katika kiganja cha mkono wa Kushoto. .( wachawi na washirikina hupenda kuutumia sana mkono wa Kushoto )Na ndiomana hata katika maisha ya kawaida mtu akikupa kitu kwa mkono wa Kushoto inaonekana dizain fulani tofauti. .na hata huko kwenu members muwe makini na kupewa vitu kwa mkono wa Kushoto iwe hela or whatever . ..kataa make mkono wa kushoto una connection kubwa na shetani except kwa wale ambao by nature ni left handed )
Nakumbuka kuna kipindi dogo alikua ananiuliza dada huyu mtoto vidole vikoje? ? Au ni kilema wa vidole? ? Yani muda mwingi anakaa amevifunga vidole. .nikamwambia huyo ni Kachanga wanatakiwa kunyooshwa nyooshwa viungo vilivo vingi kwahiyo hata vidole unakua unamfanya hivi ( namchukua mtoto namnyosha vidole ) unamnyoosha muda huo huo mtoto anavikunja namnyosha hapohapo anakunja. .
Kumbe sababu kubwa ilikua ni ile dawa aliyowekewa na shangazi yake kiganjani anakua kama anaishika .. ulikua ukiangalia mkononi mwa mtoto unaona hakuna kitu chochote ila mtoto anakua anakunja vidole kama ameshika kitu. . Na siku waliyotaka kuja kumchukua mchana mtoto alishinda vibayaa alikua wamotooo kama ana homa. .tulimpa dawa lakini hakuwa vizuri alilia lia sana. . Nakumbuka nilimpigia mama cm kumuelezea kua mtoto anajoto sana mama akaniambia mpeni kwanza panadol muangalie hali ikizidi ndio mumpeleke hospitali....badae jioni kabisa nikakumbuka ndio OMG mchana mzima hatukuenda kanisani ( walikua wametufunga akili ) badae ndio tukaenda wakati mama anaombewa nguvu za madawa yoote zilitoka na mtoto alilia sana wakati mamake anaombewa kule na kureact kama mamake alivokua anafanya kule kanisani wakati madude ya kichawi yanamtoka badae ndo moto ukawaka na chumba kizima kuwa kama kinatetemeka.
Kwahio sisi kikawaida Tungejua amekufa ila kiuhalisia kachukuliwa kichawi kutokana naile dawa kiganjani. ...

Kuna tukio la baba mmoja nilihadithiwaga. Huyo baba mwanae alikufa ila alichukuliwa kiuchawi ..sasa huyo baba alimjua mchawi wake na mtoto alipokufa tu babake akaenda kwa mganga. .mganga akampa dawa ya kupaka ili kuona mizukule mchana
Aliporudi nyumbani baba aliipaka na kwenda sehemu ilipokua maiti ya mwanae akawa anaona mgomba tu. .watu wanaona ni maiti kumbe ni mgomba. . Na hakuweza kumuona mwanae kwakua walikua bado hawajamfanyia madawa yao ya kumfanya mzukule. ( Mtu akiuawa kichawi wachawi hawamchukui siku hio hio au hapohapo mpaka atakapozikwa)Anakua yupo sehemu tu wengine husema eti anakua nyuma ya mlango sijui kuna ukweli gani sasa
Sasa alipoona mgomba alichukua shoka na kwenda ilipokua maiti na kuanza kuikata maiti kama anapasua kuni. .watu wakawa wanaona anaipasua maiti ya mwanae wakawa wanamkataza wengine walikimbia kwa kuogopa pasua maiti pasua maiti. ...badae walishangaa kuona vipande vya mgomba vilivopasuliwa nasio nyama za mtu aliyepasuliwa ...watu walikimbia kila moja na njia yake. ...badae hapohapo msibani huyo baba akamfata mchawi aliyemchukua mwanae na kutaka kumkata naile shoka kwa hasira. .mchawi akakimbia siku ya siku walimuona mtoto karudi

Cc Smart911

Ina maana hao misukule wapo kwenye dunia hii tunayoishi!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye huu ulimwengu kuna viumbe vingi vya ajabu tunapishana navyo kila leo. .majini mizukule nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina kubwa .
Una kipawa cha ufunuo juu ya mambo ya kiroho.

Bila ujasiri pengine asingepata mtoto wake tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom