Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Post ya 8&10 umezisoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post ya 8&10 umezisoma?
Nimeandika uzi...kuelezea jinsi ilivyotokea..Eti; naomba usimulie kidogo ilikuwaje
Nimeona dear; ahsanteNimeandika uzi...kuelezea jinsi ilivyotokea..
Kuuleta hapa nimesahau vile unafanya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi baba swalehe alikuitaje vile?
Mbona nimesahau [emoji134][emoji134]Hivi baba swalehe alikuitaje vile?
Ngoja niitafute comment nika-like
Nitag kabisa nione [emoji3][emoji3]Ngoja niitafute comment nika-like
Siri za Mshana Jr na wenzie zinafichuka keshafanya yake huko kwenye matunguli ili huu Uzi usiendelee!Uzi umestak gafra...........!!jini huyoooooooo.......Nawatisha tyuuu msiogope
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi unaninyima raha sana katika mkoa niliopo saiv kila mtu namuona kama mchawi,,, duh
Duh hatariDizain ya kuua ( hii nilisoma sehemu sijui kuna ukweli gani )
1.Kwa kusaini hati ya kifo inakua hivi. .
From nowhere mtu anaweza kukupigia cm au hata kukuuliza tu bila simu kuwa kesho utakuepo?? Wewe Bila kujua unaeza jibu hapana sitakuepo ( labda kama hio kesho una ratiba fulani? Unknowingly Utajibu sitakuepo ..pale unapojibu sitakuepo tu tayari unakua umeshasaini hati ya kifo wewe mwenyewe. .mtu akikuuliza hivo unachotakiwa kujibu ni kuwa : ndio kesho nitakua sehemu fulani ( unaitaja hio sehemu mfano kesho saa fulani nitakua kanisani au nitakua sokoni au kwa fulani ) automatic unakua umevunja na kuharibu huo mpango/kapo cha kifo wakukuua kwani watu wakiokufa ndio hawapo na wenye uhai wapo sehemu mbalimbali
2. Kutumia nyoka ( waliotumwa kichawi lakini )
Wachawi pia hutumia sana nyoka katika kutaka kuua. Inakua hivi. Wanamtuma huyo nyoka ( wakiwa wameshafanya madawa yao ) kwenda kwenye nyumba ambayo muhusika wa kuuawa yupo .
Kama mnavojua nyoka akionekana automatic watu hutaka kumuua hapohapo. So mkimuua huyo nyoka tu mnakua mmemuua huyo mtu alielengwa kuuawa kichawi. Kiuhalisia huyo mtu Anaeza asife hapohapo lakini ipo siku atakufa tu mtake msitake. So wengine husema kuwa ili kuepuka hili kemeeni kwanza pia hutakiwi kumuua huyo nyoka kitu ambacho ni kigumu sana na Sidhani kama Inawezekana kumuona nyoka nyumbani msimuue sijui inakuaje hapo na ukiona unaota manyoka nyoka mara nyingi kunakua na roho ya kishetani /kichawi inakufatilia
3. Kutumia vitu hivo vitu wakishavichukua huenda kuvifanyia dawa huku wakinena na kufanya mambo yao ya kichawi
So sometimes hawa wadudu wadudu pia hutumiwa (hii nilishuhudia kwa dogo) japo nyoka hupendelea kutumia zaidi ndiomana wengine wakiona nyoka na kukemea/ kusali / kuomba gafla huyo nyoka hupotea Saint anne
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo zee jinga kweli eti bora angekufa mdogo[emoji1][emoji1][emoji1]Kuna kisa kingine
Hiki kimetokea mwaka 2018
Nilienda huko Kijijini..
Kuna kijana alikuwa anasifika kwa uchawi hapo Kijijini..kijana mdogo Kwenye late 20's au early 30's.
Basi wachawi huwa wanajuana wao kwa wao.
Kuna mzee mmoja hapo kijini Ni mganga wa kienyeji,
Huyo mzee kwake kulikuwa na sherehe Kama tambiko hivi,mtoto wake mkubwa wa kiume alikuwa amenunua gari akalipeleka kwa baba yake ambaye ndiyo huyo mganga wa kienyeji ili walizindike wanasema wao kulitambulusha kwa mizimu.
Sasa kawaida ya hizo sherehe,mwenye gari ananunua pombe za kutosha,wazee wa Mila wanakunywa Hadi waridhike ndiyo wanasema mizimu imebariki.
Mara wanaanza kunywa pombe zikawa na dosari,zimechacha zote.
Yule mzee(mganga)akaenda ndani ofisini kwake.. kuangalia Kwenye kioo akamuona huyo kijana yuko pale(niliyesoma pale juu kwamba kijana mdogo mchawi)
Sasa sijui alikuwa ameenda na dawa chache ,,yule mzee aksmzidi nguvu yule kijana.
Akamtungua..
Asubuhi tunasikia msiba unatangazwa,vijijini huko huwa wanapiga ngoma...Mara yule kijana amefariki.
Homa ilimbana usiku ,akaanza kugaragara chini kupelekwa hospital dk akawaambia mbkna hii Ni maiti tayari.
Hiyo siku amekufa,Jana yake alikuja pale nyumbani nilipokuwa,Kuna Kaka alikuwa anaishi pale alikuja kumuulizia,
Alivyonikuta hakunisemesha kitu nilikuwa nimetoka kusali,sijui kwanini alinipita hata salamu hakunipa,akaondoka
Basi msiba ukapita,kijana akawa ameenda.
Mara usiku wanamuona kwake anazunguka nje.
Mke wake alisema kwamba alikuwa anamgongea usiku.
Aliwatokea marafiki zake..
Nikawa namtania yule kijana wa pale nyumbani kwamba wewe hajakutokea!?
Maana ile siku anakufa mchana alikuja hapa,akasema hapana..ila nimemuota usiku.
Basi haukupita mwezi,mtoto wa yule mzee mganga aliyepeleka Lile gari nyumbani kwao ,,(alikuwa mwanajeshi) akafariki.
Yaani hakuugua chochote alikufa ghafla.
Yule mzee alilia,akasema Bora wangemchukua huyu mdogo.
Alilia Sana yule mzee.
Kuna kiss kingine Cha huyo mzee na mjukuu wake(yaani mtoto wa huyo mtoto wake mwanajeshi)
Nimechoka kuandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Huyo mjeda ndiye alikuwa anamtegemea halafu jamaa alikuwa mpole Sana yaani,kifo chake kiligusa wengi.Hilo zee jinga kweli eti bora angekufa mdogo[emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu tunafanana sana:Nililia msiba wa mzee miezi 7 au 8 before ajafariki ghafla, ilikua mara kwa Mara naota amekufa, tumezika na tumekaa vikao vya familia kujua hatima yetu maana tulikua wadogo, nilikua nalia ndotoni Nikiamka Nna machozi kabisa, ila Nikiamka baba yuko mzima kabisa nilikua sielewi naona Ndoto tu... Ilikua haipiti wiki mbili mfululizo. Now ndio naelewa.
Ni mengi, naweza nika predict kitu kwa usahihi kabisa. Naweza kuona mazingira nitakayofanya kazi hata mwakani ndotoni au kwa hisia
Hahahahaha umenichekesha sana mkuuILE SARE WALIYOTOA YANGA NA SIMBA.WALIIPATAJE!!!