Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

Ndugu wabongo land.
Suala la bandari ni suala la maendeleo ya nchi .
Lkn kuna imani moja hapa imegeuza kuwa suala la dini.
Hio imani kila siku ina mitume wapya wa kila kabila.
Wanadai wanaongea na Mungu.
Jamani msituletee nuksi kwenye nchi yetu.
Nyie endeleeeni kuwapa utume na unabii mnaowataka lkn msituharibie nchi.
Siku kikiwaka nawahakikishia nyie ndio mtakuwa wa kwanza kupanda both kukimbia nchi manake midomo mirefu hali ya kuwa nafsi zenu zinajua kabisa huko kwenu ni usanii mtupu.
 
Ifikie sehemu watu wajue kuwa dini zote katika nchi yetu ni secondary, primary thing ni uananchi na utaifa.

Tena hawa Sheikh mkuu, Askofu mkuu wapunguziwe nafasi zinazowafanya wahisi wana political powers.

Wajulishwe bila kona kona katiba ina sema wananchi wana uhuru wa kuabudu wakiwa ndani ya sheria za nchi, wakivunja sheria huo uhuru hawana na hata hizo dini zinaweza kufutwa pia kama taasisi nyingine na makampuni na wasifanye lolote.

Hili ni taifa secular, halina dini, dini ni yako mwenyewe ukishirikiana na taasisi husika.
 
mh RAIS ameona kweli kuna umuhimu kubadili vipengele, na kiukweli, inaonekana aliingizwa mjini na watendaji wake, siukute ndio maana safari za uarabuni zilikuwa nyingi alienda kuomba poo kwamba hapa niliingizwa cha kike. amebadili vipengele, ninyi mnaopata shida kwanini amebadili vipengele kwa kuwasikiliza TEKU na wengine, hamtakuwa mnawakosoa hao tu mnamkosoa na Rais pia ambaye kwangu mimi naona amefanya jambo sahihi sana, na kwa hili ataongeza imani kubwa sana kwa wananchi.
 
Mfano Gwajima alisema kwa mamlaka aliyopewa na Mungu,amemfuta katika ulimwengu wa siasa, na leo kawa katibu mwenezi na itikadi CCM...
Anaweza kujibu hiyo mamlaka ilikuwa imetoka kwa Mungu yupi na mbona mambo yameenda tofauti.
 
Usanii mtupu. Na anapiga hela kwa usanii huo huo kila siku. Na wanakindoo wanazidi kupeleka fungu la kumi kwa mtume bandia.

Hilo sisi hatulikatai. Hao matapeli watakula hela za wajinga wasio na elimu.
Lkn wasituingilie kwenye Masuala ya Kuendesha Nchi.

Hio sio kazi ya manabii uchwara.
Wao waendelee kutoa pepo na kuuza mchanga wa mtoni wakidai umetoka mbinguni.
Huku kwenye siasa wafunge midomo yao.
 
Mfano Gwajima alisema kwa mamlaka aliyopewa na Mungu,amemfuta katika ulimwengu wa siasa, na leo kawa katibu mwenezi na itikadi CCM...
Anaweza kujibu hiyo mamlaka ilikuwa imetoka kwa Mungu yupi na mbona mambo yameenda tofauti.
gwajiboy hawezi kukosa la kujibu hapo, kwasababu ni kweli kwa miaka kadhaa makonda alifutwa. atakwambia Mungu amemsamehe. ila ukweli, hata makonda mwenyewe amejifunza, hata sabaya akirudishwa sasivi amejifunza kuishi na watu na kuwa na nidhamu. usitegemee makonda yule mwenye kiburi cha kuzimu ndiye atakayekuwa sasaivi baada ya msoto mrefu. atakuwa amejirekebisha.
 
mh RAIS ameona kweli kuna umuhimu kubadili vipengele, na kiukweli, inaonekana aliingizwa mjini na watendaji wake, siukute ndio maana safari za uarabuni zilikuwa nyingi alienda kuomba poo kwamba hapa niliingizwa cha kike. amebadili vipengele, ninyi mnaopata shida kwanini amebadili vipengele kwa kuwasikiliza TEKU na wengine, hamtakuwa mnawakosoa hao tu mnamkosoa na Rais pia ambaye kwangu mimi naona amefanya jambo sahihi sana, na kwa hili ataongeza imani kubwa sana kwa wananchi.
Hakuna kipengele kilichobadilika, tangu mwanzo mkataba ulikuwa hivyo,ila parts nyingine zilikuwa hazijamaliziwa.

Huwa naunga mkono siasa za upinzani, ktk hili mapema tu niligundua ndugu zangu wanaharakati na siasa za upinzani wanaongea uongo.

Hakuna mkataba uliokamilika kama maslahi ya upande mmoja hayaja ainishwa.

Nigg*s run with a part of contract, probably leaked one, then started to make unnecessary noises. Ndio maana hata ktk mauchaguzi tunaibiwa kura na vitu vingine kiurahisi.
 
Kipengele kipi kimebadilishwa?
Au unaona raha tu kubwabwaja km mlevi wa kimpumu.!
😄
 
wewe naona hapo kabisa Tanzania. endelea kukaa gizani.
Jibu swali.
We si umeandika hapo juu kuwa mkataba umefutwa vipengele vitatu?

Sasa Kipengele kipi kimefutwa kwenye huo mkataba?

Acheni unafiki na uongo.
Wacha Serikali ifanye kazi.

Halafu we muuza mihogo hapo Buza bandari inakuhusu nini?
 
kuna mtu ameizuia serikali kufanya kazi? si tumesema tumefurahi jinsi walivyobadili bipengele na kusikiliza maoni yetu? mbona kichwa chako kimejaa upumbavu au unajiona wewe ndio mwenye hii nchi sana kuliko wengine?
 
Ifikie sehemu watu wajue kuwa dini zote katika nchi yetu ni secondary, primary thing ni uananchi na utaifa.

Tena hawa Sheikh mkuu, Askofu mkuu wapunguziwe nafasi zinazowafanya wahisi wana political powers.

Wajulishwe bila kona kona katiba ina sema wananchi wana uhuru wa kuabudu wakiwa ndani ya sheria za nchi, wakivunja sheria huo uhuru hawana na hata hizo dini zinaweza kufutwa pia kama taasisi nyingine na makampuni na wasifanye lolote.

Hili ni taifa secular, halina dini, dini ni yako mwenyewe ukishirikiana na taasisi husika.
Serikali yyt duniani haina uwezo wa kufuta Dini yyt.
Ila iwekwe wazi.
Watu wa Dini wasiingilie masuala ya Serikali na siasa zake.
Muhimu ni kuangalia haki zao na imani zao.
Vingine haviwahusu.
 
Hakuna kipengele kilichobadilika, tangu mwanzo mkataba ulikuwa hivyo,ila parts nyingine zilikuwa hazijamaliziwa.

Huwa naunga mkono siasa za upinzani, ktk hili mapema tu niligundua ndugu zangu wanaharakati na siasa za upinzani wanaongea uongo.

Hakuna mkataba uliokamilika kama maslahi ya upande mmoja hayaja ainishwa.

Nigg*s run with a part of contract, probably leaked one, then started to make unnecessary noises. Ndio maana hata ktk mauchaguzi tunaibiwa kura na vitu vingine kiurahisi.
hakuna kipengele kilichobadilika? vipi, ile kugusia bandari zingine za bahari na maziwa mbona wamebadilisha, au hujaona? au unajitoa tu ufahamu.
 
kuna mtu ameizuia serikali kufanya kazi? si tumesema tumefurahi jinsi walivyobadili bipengele na kusikiliza maoni yetu? mbona kichwa chako kimejaa upumbavu au unajiona wewe ndio mwenye hii nchi sana kuliko wengine?
Mimi napingana na waropokaji km wewe.
Unajifanya unajua kuliko serikali wakati huna lolote.

Kuna mtu anaiombea nchi yake mabaya?
Au nyie ndio wazalendo kuliko RAIS wa nchi?

Tumia akili kwenye kujenga hoja hizo hazba mpelekee unaeishi nae.
Sio hapa.
Nicompoop
 
nimeropika nini?
nimejifanya najua kwenye nini hadi ukakereka?
mimi nimeiombea nchi yangu mabaya lini?
kuhusu uzalendo kuliko rais, inawezekana. rais ni mwanadamu kama wewe, hata wewe unaweza kuwa rais. nijibu hayo maswali, ama la, ni kweli huna akili.
 
Nadhani wewe utakuwa miongoni mwa wale¹ walokole ambao wanadhani wao wana uchungu na nchi kuliko wengine.
Mmevamia suala la bandari mpk mkaitisha mkutano nchi nzima kwenye zile paroko zenu na kudai ati mmetoa kauli moja.

Shida yote hio mmeona waarabu ndio watafaidi kumbe ni ukosefu wa elimu tu

Waarabu ni wawekezaji km wengine tu. Hio kabila yao au imani yao haihusiani kabisa na uwekezaji hapa Nchini.
Sasa mnadai mkataba umebadilishwa na kufutwa vipengele mnavyotaka.

Nakuuliza kipengele kipi kimefutwa? Au basi Jazba tu za kiparoko?
 
kwanza kabisa, kwenye ulokole hakuna parokia, na walokole hawakutoa tamko lolote. pili, nashindwa kuelewa wapo pagumu kwako kuelewa.

hatukupinga mkataba wala waarabu, TULIPINGA VIPENGELE VYA MKATABA na tukapendekeza virekebishwe,Rais ametusikia, amerekebisha. wewe kinakuuma nini sasa? tatizo liko wapi hadi useme sipendi dini yako? kwa taarifa yako, kama mkataba umerekebishwa, DP WORLD wapo kwenye nafasi nzuri zaidi kutusaidia kwenye uwekezaji na tutapata nafuu kuliko hata wazungu wangekuja hapo, wao meli nyingi zinapita pale dubai, wakiwa na wakala wao hapa manake zile za dubai zitakuja kushusha hapa na patakuwa busy. tulichokuwa tunapinga sio uislam, wala uarabu, tulipinga vipengele vya mkataba, tunashukru vimerekebishwa, sasa tunasema KARIBU DP WORLD TUFANYE KAZI.
 
Tunamshukuru Rais kama amesikia maoni yetu, sasa karibuni dp world tufanye kazi, waarabu mna pesa nyingi,mnao uwezo kuwekeza kwasababu mpunga mnao, itakuwa rahisi sana sasahivi kufikisha mizigo kwa usalama kwasababu dp world wapo vizuri na meli itatoka moja kwa moja dubai hadi dsm. tuwashukuru pia waliopaza sauti na kumshauri Rais, baada ya wale walio karibu naye kumpoteza. Samia msikivu sana, na ni muungwana, kama dini yao kweli uwa inasaidia basi yeye ni mtu wa dini, ni muwazi, akiona amekosa huwa anarekebisha hataki lawama, ndio uzuri wa wanawake. angekuwa mwanaume hapo angeng'ang'ania hadi mwisho.na tungeingia shimoni. kiukweli nampongeza Rais Samia sana kwa kuzingatia maoni ya wananchi, na kuyaacha yale ya wabunge na wengine wa ajabuajabu kaam kina faizafoxy.
 
Back
Top Bottom