Ha ha nipoAu tayari ndo ushadanja[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha nipoAu tayari ndo ushadanja[emoji23]
Jerry mouse sioJerry empire angemalizia kisa chake....angetisha sana
Wapi hao ?Mitume ya mwenyezi mungu ilipitia kashikashi ya nguvu ya giza, na waliisoma namba. Sembuse mwalimu wa shule X.[emoji848]
Me kuna kipindi naweza kulala nimevaa boxer nikiamka asubuhi niko uchi.
Mpaka sasa bado cjaelewa kitu, je ni nini hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimemuona Lisu anachangisha michango gari liwekwe makumbusho na alikua ulaya kwa wafadhili wake kitambo kidogo tuWakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao, kama na wewe unao ushuhuda usisahau kushea nasi.
1. Ushuhuda wangu unaanzia mwaka 1992 nikiwa nafundisha shule X wilaya ya Sengerema, kuna mwalimu nilikuwa nafundisha naye kituo kimoja.
Siku hiyo kuna kamvua kalinyesha sana, baada ya kupungua mwalimu mwenzangu alimuagiza mtoto wake wa kiume aliyekuwa akisoma darasa la kwanza kwenda kuchuma maharage shambani.
Bahati mbaya mtoto akiwa shambani aligongwa/aliumwa na nyoka na kupeleka kifo, tulifanya taratibu za mazishi na kumsitiri mtoto huyo.
Cha kushangaza mwaka 2008 mtoto huyo alionekana akiwa uchi na nywele ndefu sana alikuja moja kwa moja nyumbani na kupitiliza ndani nyumbani kwao, alikuwa ameshakuwa baba mzima, nywele zilikuwa ndefu sana pamoja na mikono iliyofikia usawa wa magoti.
Watu walistaajabu sana lakini hakudumu sana alifariki baada ya kukaa uraiani kwa wiki mbili.
2. Ushuhuda wangu bado unabaki huko huko Sengerema katika kijiji cha Bubandwamhela.
Nikiwa nafundisha shule X, kuna binti kijijini aliyekuwa akisoma darasa la saba aliugua ghafla baada ya kutoka shuleni.
Wazazi wake walipompeleka hospitali daktari aliwaambia mtoto hana ugonjwa, wazazi waliamua kujiongeza na kumpeleka kwa mganga wa jadi.
Cha kushangaza kesho yake shangazi ya binti alikutwa kwa mganga akiwa uchi, huku akiweweseka na akili zimemruka, shangazi mtu alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi lakini kwa kuwa serikali haiamini ushirikina aliachiwa huru, lakini hadi leo hii alishakuwa chizi. Binti yeye alipona kabisa.
3. Kisa cha tatu na mwisho ni hiki kilichotokea Liwale shule ya sekondari X nikiwa na walimu wenzangu ambao tulikuwa tunasoma chuo cha SAUT-Mtwara.
Tulipangiwa field katika wilaya ya Liwale ilikuwa mwaka 2009, mwanachuo mwenzetu akiwa zamu siku hiyo alikumbana na mtoto ambaye kwao iliaminika kuwa bibi yake alikuwa mtaalamu wa mambo ya giza.
Mwanafunzi huyo alichelewa kufika shule, mwalimu alipotaka kumuadhibu aligoma, wakasumbuana sana mwisho wa siku akamuadhibu yakaisha, jioni tukiwa uwanjani tunafanya mazoezi yule mwanachuo mwenzangu alianguka na kupoteza fahamu, ikawa jumla hadi kifo.
Kama na wewe umewahi kukutana/kushuhudia live ushirikina share nasi kisa chako watu tupate ilimu.
Mungu ni mwema siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wanasema mwezi wa Ramadhani wachawi na majini huwa wanafungiwa ama kuwa likizo.
kisa cha kwanza ni mwezi huo huo wa Ramadhani, tulikuwa kijijini, kwa sasa ni mji, Morogoro wilaya ya Mvomero kwa sasa, ilikuwa ni kipindi cha likizo, Brother ameenda chooni, kujisaidia haja kubwa, choo hakikuwa na umeme akawa anatumia mwanga unaotokana na mbalamwezi, lakini baada ya kukata gogo, kabla hajachukua kopo, akasikia anatawazwa, yaan ghafla tu anasikia mkono pyaa umepita unamchambisha, Brother alitoka na mlango.
vipi mashine ilikuwa tight ya huyo jini.2010 nipo ndani ya fuso, natokea Ifakara kwenda dsm. Kufika Maseyu mida kama saa 8 usiku dereva akapaki, akasema amechoka anapumzika kidogo. Akatuambia saa 10 tumwamshe tuanze safari.
Sijui kama ni uchawi au ni nini, tulipitiwa na usingizi mzito, na wote, tulikuwa watatu tuliota ndoto ya aina moja. TUNAPIGA MECHI. tumejipiga mabao wote, kuangali saa ni dk 20 tu zimepita. Nilichowaeleza wenzangu ndio walichoota. Mwanamke niloyeota namgonga ndio huyo huyo wenzangu walikuwa wakiota wanamgona.
Niliota vipele vya baridi kwa uoga. Tukaondoka kuendelea na safari. Tangu siku hiyo sipandi tena malori ya mzigo yanayosafiri usiku.
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Amina best mwanzo nilikua naogopa sana ila sasa nina ujasiri siogopi chochote kwani mungu yu pamoja nasi. .mpaka wakati huu ni kwa upendo wake tu .
Pia kingine baba mtoto nae ( shemeji) anasali sana kuombea familia yake Kwani hataki michanganyo ya waganga mara kanisani. .kuna kipindi dogo alikata tamaa akataka kwenda kwa waganga mumewe akamwambia akikanyaga kwa waganga tu wamewapa nafasi maadui ... anasisitiza wasali sana . ..sasa huyo kijana anataka amchukue mkewe ndo balaa lililopo kwasasa je kama ndugu yenu mtafanyeje ? ? Ukoo hauelewi cha ndoa wala nini. ..mtatuulia mwanetu. . Huyo mtoto tutalea vizuri tu binti yetu Harudi ng'o ..
Ukweni wanataka mjukuu wao akakae kwao kwa bibiyao mzaa baba ambao wajukuu wengine wote wapo huko eti damu yao haiendi mbali. Mpaka mtoto alelewe kwao .baba mtoto hataki mtoto akakae kwao anaenda kinyume na wakwao. . Kama ndugu yenu mngefanyeje? ?
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingine Sumbawanga wakati wa Ujenzi wa shule za kata ile wananchi kuchangia nguvu kazi, mzee mmoja alikuwa haendi wala nini... Afisa Mtendaji wa kata akampa adhabu kuwa hadi kesho yake asubuhi wakute kasomba tanuru mbili za tofali na kusogeza site, vinginevyo atapelekwa polisi. Mzee akasema sawa nitafanya usiku.
Asubuhi wanaamka, tanuru halipo, ila Kijiji chote, wazee, watoto, watumishi kanisani hadi Mtendaji kata wapo hoi, wamechafuka umbi la tofali. Mzee hakuguswa tena na kazi za jamii...
Mwana mi nilikua sjjawahi kuloga.Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao, kama na wewe unao ushuhuda usisahau kushea nasi.
1. Ushuhuda wangu unaanzia mwaka 1992 nikiwa nafundisha shule X wilaya ya Sengerema, kuna mwalimu nilikuwa nafundisha naye kituo kimoja.
Siku hiyo kuna kamvua kalinyesha sana, baada ya kupungua mwalimu mwenzangu alimuagiza mtoto wake wa kiume aliyekuwa akisoma darasa la kwanza kwenda kuchuma maharage shambani.
Bahati mbaya mtoto akiwa shambani aligongwa/aliumwa na nyoka na kupeleka kifo, tulifanya taratibu za mazishi na kumsitiri mtoto huyo.
Cha kushangaza mwaka 2008 mtoto huyo alionekana akiwa uchi na nywele ndefu sana alikuja moja kwa moja nyumbani na kupitiliza ndani nyumbani kwao, alikuwa ameshakuwa baba mzima, nywele zilikuwa ndefu sana pamoja na mikono iliyofikia usawa wa magoti.
Watu walistaajabu sana lakini hakudumu sana alifariki baada ya kukaa uraiani kwa wiki mbili.
2. Ushuhuda wangu bado unabaki huko huko Sengerema katika kijiji cha Bubandwamhela.
Nikiwa nafundisha shule X, kuna binti kijijini aliyekuwa akisoma darasa la saba aliugua ghafla baada ya kutoka shuleni.
Wazazi wake walipompeleka hospitali daktari aliwaambia mtoto hana ugonjwa, wazazi waliamua kujiongeza na kumpeleka kwa mganga wa jadi.
Cha kushangaza kesho yake shangazi ya binti alikutwa kwa mganga akiwa uchi, huku akiweweseka na akili zimemruka, shangazi mtu alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi lakini kwa kuwa serikali haiamini ushirikina aliachiwa huru, lakini hadi leo hii alishakuwa chizi. Binti yeye alipona kabisa.
3. Kisa cha tatu na mwisho ni hiki kilichotokea Liwale shule ya sekondari X nikiwa na walimu wenzangu ambao tulikuwa tunasoma chuo cha SAUT-Mtwara.
Tulipangiwa field katika wilaya ya Liwale ilikuwa mwaka 2009, mwanachuo mwenzetu akiwa zamu siku hiyo alikumbana na mtoto ambaye kwao iliaminika kuwa bibi yake alikuwa mtaalamu wa mambo ya giza.
Mwanafunzi huyo alichelewa kufika shule, mwalimu alipotaka kumuadhibu aligoma, wakasumbuana sana mwisho wa siku akamuadhibu yakaisha, jioni tukiwa uwanjani tunafanya mazoezi yule mwanachuo mwenzangu alianguka na kupoteza fahamu, ikawa jumla hadi kifo.
Kama na wewe umewahi kukutana/kushuhudia live ushirikina share nasi kisa chako watu tupate ilimu.
Mungu ni mwema siku zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew hebu acha kunitisha bhanPOPO BAWA KAZINI.
Masikini wee kaguswa kinyeowanasema mwezi wa Ramadhani wachawi na majini huwa wanafungiwa ama kuwa likizo.
kisa cha kwanza ni mwezi huo huo wa Ramadhani, tulikuwa kijijini, kwa sasa ni mji, Morogoro wilaya ya Mvomero kwa sasa, ilikuwa ni kipindi cha likizo, Brother ameenda chooni, kujisaidia haja kubwa, choo hakikuwa na umeme akawa anatumia mwanga unaotokana na mbalamwezi, lakini baada ya kukata gogo, kabla hajachukua kopo, akasikia anatawazwa, yaan ghafla tu anasikia mkono pyaa umepita unamchambisha, Brother alitoka na mlango.
Sio nyoka alikuwa anataka kuingia kwenye tundu la tako?wanasema mwezi wa Ramadhani wachawi na majini huwa wanafungiwa ama kuwa likizo.
kisa cha kwanza ni mwezi huo huo wa Ramadhani, tulikuwa kijijini, kwa sasa ni mji, Morogoro wilaya ya Mvomero kwa sasa, ilikuwa ni kipindi cha likizo, Brother ameenda chooni, kujisaidia haja kubwa, choo hakikuwa na umeme akawa anatumia mwanga unaotokana na mbalamwezi, lakini baada ya kukata gogo, kabla hajachukua kopo, akasikia anatawazwa, yaan ghafla tu anasikia mkono pyaa umepita unamchambisha, Brother alitoka na mlango.
Usiku ndio una mzuka sasa kuusoma.Halafu humu hakuna visa vikali kaishi magu utakuja kusimuliaHuu Uzi ikishafikaga saa5 usiku huwa siusomagi kbsa na najua wapo wengi tuu kama Mimi umu.
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba na mmi connectionlabda nikupe connection ya fundi tu jamaa fundi amefanikiwa hadi kumpa mmoja wa mawaziri uwaziri ni noma huyo alafu hana tamaa ukifanikiwa ndio unaenda kumshukuru