Kama umewahi kutumia haya majani ya chai na bado upo kwenu unagombea rimoti ya tv na wadogo zako jitafakari

Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.

Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi.

Kipindi hicho bado nipo home, nyumbani kila kitu nilikuwa napata licha ya kupata kila nitakacho sikuridhika kukaa pale maana niliona nampa mzigo mkubwa mzazi wangu Mama baba alisha tangulia mbele za haki ( RIP)

Nikamwambia bi mkubwa mimi nataka nikajitegemee, akagoma akasena wewe bado sana kwanza tu kazi umeanza juzi hakuna kwenda kokote.

Baadae nilifanya maamuzi ya kuondoka nyumbani kwa nguvu japo bi mkubwa hakunipa baraka maana hakukubaliana na hatua niliyochukua.

Maisha ya kigheto gheto yakaanza bi mkubwa hakuta kuja hata kujua ninapo ishi 🤣🤣🤣 kasusa.

Aiseeh, nilikuwa najimeki siyo masihara ndani ya muda mfupi gheto likapendeza, Mungu siyo Athumani nikapata kazi sehemu nyingine kidogo masilahi mazuri mambo yakanoga, sasa Nina mke na mtoto mmoja, 🤣🤣🤣 sasaivi bi mkubwa anakuja home anacheza tu na mjuu wake asusi tena 🤣🤣🤣

View attachment 2126023
Hasusi. Asusi samahani kwa usumbufu.
 
Nmetumia .nasjaa hama nyumbani .nmejejenga hapa hapa nyumbani na Mimi ndo ninategemewa Kwa Sasa.
 
Kuhama home, inategemea na aina ya familia.wengine inabidi wabaki kutunza familia, mwingine ye ndio wa kiume inabidi aoe, amtunze bimkubwa, mie naona katika familia mtoto mmoja wa kiume inabidi abaki amtunze mzazi km bado yu hai
Mie wakat nataka kuhama home, ilikuwa kesi kubwa, bimkubwa mixer kuita masista zangu vikao, nikashinda kwa point, bimkubwa akakubali kinyooonge.

Ila mzee jitahidi kupiga mbuno toka enzi hizo mpaka leo una goli moja tu, mtoto mmoja sio mtoto, wachawi wanamtaka, ajali zinamngoja, maradhi n.k(joke)[emoji23]
 
Chai jaba mbona kama ni majani ya chai ya juzi tu hapo...

Ushawahi kusikiza hili tangazo...
Vipi Rambo ?...
Pancha bwana...
Pancha wakati kuna OKO...

Au

Omariiiiii kila nikikuona tu ni kujikuna ngwaraa ngwaraaa ngwaraaaa
 
kuna jamaa yangu mmoja ana umri wa miaka 48 anaishi nyumbani kwao..mzazi wake alimuambia asihame nyumbani ...majukumu yake ni kulipa bili ya maji na umeme na kumtunza mzazi wake..huyo jamaa ni mwalimu wa chuo cha ufundi veta
Watu wamekariri sana maisha, mtu anahama kwao ili apate kuwaonyesha watu kwamba nae amekua.

Wengine wazazi wao wamewajengea majumba, wengine unahama mzazi anabaki mwenyewe anaishi na houseboy pekee wakati dhana ya yeye kukuzaa ni umpe faraja.

Kuhama home inategemea pia Kama mpo wengi na nyumba mna shida itakulazimu uwapishe ili uweze kufanya maendeleo lakini unakuta mpo wawili na mmoja anaishi kwenye nyumba alipewa wakati wa harusi Sasa unahama ili iwe nini Kama sio kujiongezea gharama na stress za maisha za kujitakia?

Watoto wa sisi masikini wanapendaga sana kuchukulia kwamba akiwa ana geto basi amewin maisha, sasa life haipo hivyo kwa wote wengine mzazi amezaa watoto wawili tu na ana bonge ya kasri hata ukihama unaona unaenda kukaa kwenye uchafu tu.

Hata mie nikipata uwezo ningependa nijenge nyumba kubwa ambapo kijana wangu akibahatika kupata familia wakae hapo wanitunze nami nipate hata wa kupiga nae story nyumbani nizeeke kwa furaha sio unaishi kwa masononeko watoto wapo mbali kuja kukuona Mara moja kwa mwaka.

Wengine mnaanza nao kazi anakuja ofisini na gari ya home landcruiser imesimama wakati wewe unawaza ununue IST tena ya kulenga, anaishi kwenye apartment amepewa na mshua wake wewe umepanga chumba kimoja unakaa na ndio za maji, jiko, kila kitu na viatu vinavyonuka. Je hii ndio unataka na mwanao aishi hivyo???

Kukaa home pia wakati unajipanga ni jambo jema sana sio lazima ujistress kwenye haya maisha, wengine wanalazimika kukaa geto sababu unakuta amemaliza chuo na hapa town Hana ndugu wa kueleweka au wazazi Ila Sasa mwingine kwao kupo wazi wanalala mbu tu unakimbilia geto Lisa uonekane mwamba kajipange wenzio hawana pa kulala.
 
Kuna mwana alikuwa anafanya kazi maliasili na ni msomi wa chuo lkn pia kipato kizuli sana na kwao hachangii hata mia maana wapo vizuli baba yake alimuitia mpaka wazee ahame kwao lkn wala hakuama akawa anajenga nyumba yake taratibu akafungua biashara yake na maisha yakaenda wataki anajiandaa kuhama baba yake akafariki ilisaidi sana uwepo wake pale home maaana kuna mikataba mingi ilikuwa haijakaa vizuli baba yake alikuwa na den nmb nk ,japo haikuwa inasumbua kulipa lkn uwepo wake pale home usabababisha walipe deni lote kwa mkupuo lkn pia wakaacha kukopa akapangilia vizuli biashara na hata alipoama yeye ndio alikuwa msimazi mkuu wa mali za baba yake mpka pale kaka yake alipoanza kuuza kimoja kimoja
 
Maisha yana safari ndefu sana usipofunga mkanda haswa unaweza zeekea nyumbani hasa kwa sisi tuliotoka kwenye familia masikini.

Nakumbuka wakati nimepata ajira kampuni Fulani ujira ulikuwa mdogo sana licha ya elimu niliyo nayo ilinibidi nifanye hivyo hivyo mshahara ulikuwa 200k kwa mwezi.

Kipindi hicho bado nipo home, nyumbani kila kitu nilikuwa napata licha ya kupata kila nitakacho sikuridhika kukaa pale maana niliona nampa mzigo mkubwa mzazi wangu Mama baba alisha tangulia mbele za haki ( RIP)

Nikamwambia bi mkubwa mimi nataka nikajitegemee, akagoma akasena wewe bado sana kwanza tu kazi umeanza juzi hakuna kwenda kokote.

Baadae nilifanya maamuzi ya kuondoka nyumbani kwa nguvu japo bi mkubwa hakunipa baraka maana hakukubaliana na hatua niliyochukua.

Maisha ya kigheto gheto yakaanza bi mkubwa hakuta kuja hata kujua ninapo ishi 🤣🤣🤣 kasusa.

Aiseeh, nilikuwa najimeki siyo masihara ndani ya muda mfupi gheto likapendeza, Mungu siyo Athumani nikapata kazi sehemu nyingine kidogo masilahi mazuri mambo yakanoga, sasa Nina mke na mtoto mmoja, 🤣🤣🤣 sasaivi bi mkubwa anakuja home anacheza tu na mjuu wake asusi tena 🤣🤣🤣

View attachment 2126023
Miaka yote hiyo katoto kamoja,fyatuafyatua acha ujinga
 
Watu wamekariri sana maisha, mtu anahama kwao ili apate kuwaonyesha watu kwamba nae amekua.

Wengine wazazi wao wamewajengea majumba, wengine unahama mzazi anabaki mwenyewe anaishi na houseboy pekee wakati dhana ya yeye kukuzaa ni umpe faraja.

Kuhama home inategemea pia Kama mpo wengi na nyumba mna shida itakulazimu uwapishe ili uweze kufanya maendeleo lakini unakuta mpo wawili na mmoja anaishi kwenye nyumba alipewa wakati wa harusi Sasa unahama ili iwe nini Kama sio kujiongezea gharama na stress za maisha za kujitakia?

Watoto wa sisi masikini wanapendaga sana kuchukulia kwamba akiwa ana geto basi amewin maisha, sasa life haipo hivyo kwa wote wengine mzazi amezaa watoto wawili tu na ana bonge ya kasri hata ukihama unaona unaenda kukaa kwenye uchafu tu.

Hata mie nikipata uwezo ningependa nijenge nyumba kubwa ambapo kijana wangu akibahatika kupata familia wakae hapo wanitunze nami nipate hata wa kupiga nae story nyumbani nizeeke kwa furaha sio unaishi kwa masononeko watoto wapo mbali kuja kukuona Mara moja kwa mwaka.

Wengine mnaanza nao kazi anakuja ofisini na gari ya home landcruiser imesimama wakati wewe unawaza ununue IST tena ya kulenga, anaishi kwenye apartment amepewa na mshua wake wewe umepanga chumba kimoja unakaa na ndio za maji, jiko, kila kitu na viatu vinavyonuka. Je hii ndio unataka na mwanao aishi hivyo???

Kukaa home pia wakati unajipanga ni jambo jema sana sio lazima ujistress kwenye haya maisha, wengine wanalazimika kukaa geto sababu unakuta amemaliza chuo na hapa town Hana ndugu wa kueleweka au wazazi Ila Sasa mwingine kwao kupo wazi wanalala mbu tu unakimbilia geto Lisa uonekane mwamba kajipange wenzio hawana pa kulala.
Binafsi nyumba yetu ingekuwa mkoa anakofanyia kazi kaka yangu ningemshauri yeye na mke wake wakakae home, matokeo yake amekabidhiwa kijana mmoja hivi anaiangalia na kuifuja tu.
 
Back
Top Bottom