😅😅😅umenikumbuaha aisee RondoHapo kwenye usafiri kam haujaweka LAND ROVER a.k.a LONDO na ISUZU JOUNEY
ujakamilisha list ya usafiri wa gari mapafu ya mbwa anatumia babu mpk mjukuu
View attachment 2518752View attachment 2518753
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅umenikumbuaha aisee RondoHapo kwenye usafiri kam haujaweka LAND ROVER a.k.a LONDO na ISUZU JOUNEY
ujakamilisha list ya usafiri wa gari mapafu ya mbwa anatumia babu mpk mjukuu
View attachment 2518752View attachment 2518753
Vya Kiswahili vilikua na mada hizi;Kama ulisomea vitabu vya 'Mussa & Neema'.
Na ukasoma kitabu cha 'Manenge na Mandawa', ninakusalimu! [emoji23]
i can relate 99%Vyombo vya usafiri
1. DCM (Japo siku hizi bado chache zipo)
2. Mabasi ya Leyland
3. Chai maharage hii mnakaa mnatazamana Kama mnacheza draft
4. Peugeot
5. Datsun N.k
Nb: zilikua ndio luxury pindi hizo, nyingine ongeza.
Vyakula
1. Sambusa za ubwabwa ( shuleni)
2. Kachori za chachandu ya machicha ya Nazi
3. Koni za kwenye vikopo vya bati
Nyingine mtaongeza wadau.
Vinywaji
1. Juice ya kutengenezwa kutokana na unga wa kwenye vipakti, siku hz zipo jusi cola lakini hz zilikua noma pakti moja inatolewa ndoo mbili au tatu afu zinawekwa barafu...kumbuka hyo ni sikukuu wakubwa wanapiga soda watoto mnaishi na hzo ndude af mna enjoy sana.
2. Kuna soda flani ilikua ya njano inatengenezwa na kampuni ya coca nadhani jina nimeisahau
3. Chai ya chai jaba Nk.
Mavazi and accessories
1. Suruali za kodrai zikipigwa jua zinawakawaka Kama gold ya geita, sikuuu mnaeza jikuta mtaa mzima mmevaa Aina moja.
2. Magauni ya spesheli.
3. Njumu flani za mpira Kuna wajomba wameenda nazo Hadi shule zipo kama raba flani
4. Mifuko ya sports
5. Viroba vya unga kufanywa mfuko wa kubebea daftari
N.k
Matusi na matukano hasa ya wazazi
1. Nyau kasoro mkia ww
2. Nyambafu
3. Macho kumchuzi ww
4. Shenzi type
Ongezeeni na ya kwenu maana nimekumbuka nimecheka sana
TambazaKwenye kuchagua shule primary Mtihani starndard 7
Edhi hizo masomo matatu MAARIFA YA JAMII LUGHA na HESABU
Unachagua shule tatu uzipendazo
Forodhani chaguo la kwanza
Kibasira chaguo la pili
Kambangwa kipindi hicho ndo inaanza nikaiweka ya tatu
Asikwambie mtu edhi zetu DAR ES SALAAM nzima shure za SECONDARY ZA hazikuzidi 8
Na wanafunzi tulikuwa wengi balaa
kama kuna mtu humu kasoma JAMUHURI ya edhi hizo nakusalimu sana LEGEND mana ilikuwa shule ya MALEGEND wanasona lkn hawana uhakika kama watafanya paper ya TAIFA ya FORM 4 malegend wa edhi hizo watanielewa
Forodhani ni shule waliosoma BRO zangu wote nikawa naipenda sana hiyo SHULE
Unaikumbuka stendi ya mabasi KAMATA?Mabasi ya railway...kitambo sana!
Unaikumbuka stendi ya mabasi KAMATA?
Kuna raba flani za plastiki,ukivaa kuanzia saa 6 mchana,zinalainika na jua linachoma sana miguu...
Zilikua maarufu kwa jina la UTANIKOMA SAA NANE..
Ikarusi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo unayosema nishaijua
Hata mm nilikuwa naziogopa kupanda kwenye kona nahisi ni kama zigapindukq
Km wewe legend wa kkoo hiyo ISUZU ilipaki ilikuwa pale mtaa TANDAMTI karibu na msikiti wa idrisa pembezoni mwa OFISI YA STAR TIME miaka ya 2013 lilikuwa bovu lilikaa pale karibu miaka 3 au miwili hivi
Sema zile hazikuwa JOURNEY
zile nhisi zilikuwa modified kama unavyoona hizi TX hapa BODI ya kuchongaView attachment 2519106
Hata mimi juzi nimekuja kujua kwamba sio kila kituo cha mafuta kinaitwa sheli.Ndo juzi nakuja kujua Marlboro ni kampuni ya sigara
Hata mimi juzi nimekuja kujua kwamba sio kila kituo cha mafuta kinaitwa sheli.
Ndo juzi nakuja kujua Marlboro ni kampuni ya sigara
Hendeli.Kuna Land Rover zilikua hazina automatic ignition zinaingizwa chuma kama bpedal ya baiskeli kwenye fan ya rejeta inazungusha kwa nguvu ndio ziwake ...ukiwa mzembe zinaeza vunja mkono... Kama kick ya Honda 110 ilikua na tabia hiyo nayo
Bila Leyland Albion list haijakamilika.Vyombo vya usafiri
1. DCM (Japo siku hizi bado chache zipo)
2. Mabasi ya Leyland
3. Chai maharage hii mnakaa mnatazamana Kama mnacheza draft
4. Peugeot
5. Datsun N.k
Nb: zilikua ndio luxury pindi hizo, nyingine ongeza.
Vyakula
1. Sambusa za ubwabwa ( shuleni)
2. Kachori za chachandu ya machicha ya Nazi
3. Koni za kwenye vikopo vya bati
Nyingine mtaongeza wadau.
Vinywaji
1. Juice ya kutengenezwa kutokana na unga wa kwenye vipakti, siku hz zipo jusi cola lakini hz zilikua noma pakti moja inatolewa ndoo mbili au tatu afu zinawekwa barafu...kumbuka hyo ni sikukuu wakubwa wanapiga soda watoto mnaishi na hzo ndude af mna enjoy sana.
2. Kuna soda flani ilikua ya njano inatengenezwa na kampuni ya coca nadhani jina nimeisahau
3. Chai ya chai jaba Nk.
Mavazi and accessories
1. Suruali za kodrai zikipigwa jua zinawakawaka Kama gold ya geita, sikuuu mnaeza jikuta mtaa mzima mmevaa Aina moja.
2. Magauni ya spesheli.
3. Njumu flani za mpira Kuna wajomba wameenda nazo Hadi shule zipo kama raba flani
4. Mifuko ya sports
5. Viroba vya unga kufanywa mfuko wa kubebea daftari
N.k
Matusi na matukano hasa ya wazazi
1. Nyau kasoro mkia ww
2. Nyambafu
3. Macho kumchuzi ww
4. Shenzi type
Ongezeeni na ya kwenu maana nimekumbuka nimecheka sana
Hizo zilifaa Sana kutelezea darasani saa nne,ikianza mwanzo wa darasa mpaka mwisho unaserereka tuKuna raba flani za plastiki,ukivaa kuanzia saa 6 mchana,zinalainika na jua linachoma sana miguu...
Zilikua maarufu kwa jina la UTANIKOMA SAA NANE..
Hapana hilo sijalisoma kabisa ila najua malegend wapo wengi humu watakupa mwongozoUnalikumbuka gazeti la SANIFU[emoji1787]
Nakala zake ntazipataje nijikumbushe.