Kama umewahi kutumia hivi vitu, wewe ni legend

i can relate 99%
 
Tambaza
Azania
Forodhani
Kibasira
Zanaki
Jangwani.
 
Unaikumbuka stendi ya mabasi KAMATA?

Miaka hiyo nilikuwa 'mrugaruga' mkoani huko...😁

KAMATA nimekuja ijua baada ya kuloea jijini na hayo mabasi hayakuwepo tena...
 
Ikarusi

FIATI 682

504 pegiot

Scania 117,,,,(mwanamboka)
 
Hata mimi juzi nimekuja kujua kwamba sio kila kituo cha mafuta kinaitwa sheli.



Ndo juzi nakuja kujua Marlboro ni kampuni ya sigara

Sasa mkuu mmejua lini kuwa
BUKTA ni SPORT CLOTHING BLAND

BUKTA ni kampuni ya kutengeneza NGUO
Sio kila ukiona mtu kavaa KAPUTURA we unaita BUKTA tu

Tuulizeni sie malegend
 
Kuna Land Rover zilikua hazina automatic ignition zinaingizwa chuma kama bpedal ya baiskeli kwenye fan ya rejeta inazungusha kwa nguvu ndio ziwake ...ukiwa mzembe zinaeza vunja mkono... Kama kick ya Honda 110 ilikua na tabia hiyo nayo
Hendeli.
 
Bila Leyland Albion list haijakamilika.
 
Kuna raba flani za plastiki,ukivaa kuanzia saa 6 mchana,zinalainika na jua linachoma sana miguu...

Zilikua maarufu kwa jina la UTANIKOMA SAA NANE..
Hizo zilifaa Sana kutelezea darasani saa nne,ikianza mwanzo wa darasa mpaka mwisho unaserereka tu
 
Legendaries...
 

Attachments

  • Screenshot_20230216-151159_Chrome.jpg
    48.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-154123_Chrome.jpg
    17.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-145915_Chrome.jpg
    69.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-144751_Chrome.jpg
    32.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-150741_Chrome.jpg
    28.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-145712_Chrome.jpg
    29.4 KB · Views: 3
Kwa upishi wa madikodiko na ulajinwa boflo....
 

Attachments

  • Screenshot_20230216-165123_Chrome.jpg
    19.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230216-165232_Chrome.jpg
    24.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230216-165310_Chrome.jpg
    27.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-165341_Chrome.jpg
    47.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-165417_Chrome.jpg
    34.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230216-165515_Chrome.jpg
    52.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…