Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
2,533
Reaction score
5,837
Wakuu,

Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa Wawekezaji wapya.

Pia, kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors wa kwenye hisa wanatoa hela zao kujiepusha na lolote kutokea wakati huu wa uchaguzi ili wasije kupoteza mitaji yao.

Kwaanzia week ijayo mtaanza kuona mporomoko mkali sana. Nawasanua mapema., Uza mapema!




Siku njema!
 
Lakini si.busara kuzitoa hisa zote unaweza ukaacha nusu for the next 5 years utakuja kunishukuru baadae we expect it to go 3000+
 
Umetumia factor ipi kuwa ipo over valued , umefanya consideration ya half year report
 
Hisa za CRDB zinaweza kuwa katika hali ya overvaluationkwa sasa, na ongezeko la hisa zilizobaki bila wanunuzi linaweza kuashiria mabadiliko ya mwelekeo wa soko...

Kama mwekezaji mwenye faida kubwa, ni bora angalau kuuza sehemu ya hisa zako kwa usalama zaid ... kwa wawekezaji wapya, siwashauri bora ukae pembeni ukifuatilia kwanza ....
 
Hisa bhana😀😀😀 zikiwa zinapanda bei ni furaha sana ila zikianza kuporomoka ni huzuni na mfadhaiko wa moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…