Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Haya mambo ya hisa waachie WAHALIFU kama akina Wambura ambao wanawekeza mabilioni huko.
 
Kupanda na kushuka ndio hali halisi kuhusiana na hisa.
 
Kwahiyo mkuu mzigo umeweka wap sahv
 
We survived 2008 blackout, 2025 still holding the DIP.....shwaaaa🫡
 
Lazima kuwe na correction never buy high wait for lower price, kipindi cha uchaguzi hisa hushuka investor wengi husecure profits na kusubiri muda mzuri wa kununua so zishaprint all time high wait for correction
Asante mchambuzi, uko nondo naona hata mt4 & 5 unapasua tu hiviii📈📉
 
Wakuu,

Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa wawekezaji wapya.
Pia kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors wa kwenye hisa wanatoa hela zao kujiepusha na lolote kutokea wakati huu wa uchaguzi ili wasije kupoteza mitaji yao.

Kwaanzia week ijayo mtaanza kuona mporomoko mkali sana. Nawasanua mapema………., Uza mapema!View attachment 3443116
View attachment 3443112
View attachment 3443112

Siku njema!
CRDB Ni wezi nilijuta wamenikata hela jumla ya 23,000 Kwa kile wanaita VAT payable on commission,, commission gani ya Kukata hela siku 15 mfululizo na haieleweki ni za nini?

Hii benki Ina wizi sana najilaumu kuwa mteja wao tena wa Mkopo.

Wizi ndio unazifaidisha benki za Tanzania
Screenshot_20250816-101020.jpg
 
Usifanye makadirio mkuu. Je supply ikiwa kubwa kuliko demand kitatokea nn? Mara paaap 700 na ukumbuke hiki ni kipindi cha uchaguzi lolote laweza kutokea
Kipindi cha uchaguzi ni very risk...hata huko UTT ni hatar tupu
 
Back
Top Bottom