Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 1,297
- 860
Kawaida sana,ikiporomoka ndo muda wa kununua sasa,ndo mitaji ilivyo,inahama kutoka kwa huyu kwenda kwa huyu
Kawaida sana,ikiporomoka ndo muda wa kununua sasa,ndo mitaji ilivyo,inahama kutoka kwa huyu kwenda kwa huyu
Sasa mbona Mimi nimemaanisha hivyo hivyo kwamba ukitoa hizo pesa ukija kuanza kuweka inakua unaanza upya tofauti na yule aliyeweka mda mrefuUkiwa na Ml 1 na anayeweka Ml 1 leo mnakuwa sawa. Compound inatokea unapoacha pesa kwa mda mrefu ila mtu akiweka kiwango sawa na ulichokipata kwenye compound, faidi inakuwa sawa
Kwahiyo ikifika kiasi gani tununueWako vizuri sana sema watu walinunua hisa kwa kukurupuka sasa zimefikia bei ya juu kuliko thamani yake
amshapopo hukunijib swali langu hisa zako zote uliziuza kwa pamoja yaani zote zilipata mnunuzi mmoja au uliuza kwa awamu?Wako vizuri sana sema watu walinunua hisa kwa kukurupuka sasa zimefikia bei ya juu kuliko thamani yake
Kwahiyo tununue tu hata tukiona hisa zinaporomoka tununue tu kwa wakati huoKwa new investors usiwekeze kwakuwaza hisa itapanda tuh.. jiulize unataka nini kwenye hisa je unafocus na dividend au capital gain.
Umenunua kwa 1490 hisa ikifika 1800 after 2 years bado sio hela ya kukumake reach, usiwezekeze kwa muhemko weka ela ukiwa na target ya over 5 years plus otherwise utaona hisa haina utofauti na kubeti
Hivi hizi hisa za CRDB zinaweza kufika 500 ? Vipi kwa upande wa NMB sio overvalued nayo ?Nunua bei ikiwa stable kama una cash ya pamoja ila nunua kidogo kidogo kama una pesa ya ungaunga
huu ni uongo wa waziwazi,pia benki kuu ya tanzania ipo makini sana kulinda benki na dalili ikitokea tu,benki kuu huchukua hatua mapema mnoWakuu,
Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa Wawekezaji wapya.
Pia, kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors wa kwenye hisa wanatoa hela zao kujiepusha na lolote kutokea wakati huu wa uchaguzi ili wasije kupoteza mitaji yao.
Kwaanzia week ijayo mtaanza kuona mporomoko mkali sana. Nawasanua mapema., Uza mapema!
View attachment 3443116
View attachment 3443112
Siku njema!
Unaelewa lakini unachokizungumza?huu ni uongo wa waziwazi,pia benki kuu ya tanzania ipo makini sana kulinda benki na dalili ikitokea tu,benki kuu huchukua hatua mapema mno
Hamna kitu hapo huyo ni chawa wa serikali hii uchwara akili zake zimerukaUnaelewa lakini unachokizungumza?
Kuna kitabu cha Robert KIYOSAKI kinaitwa "INCREASE YOUR FINANCIAL IQ " anasema wafanyakazi kazi wote wanaoweka hela kwenye hizo liquid funds akili zao haziko sawa kwasababu mda wowote kina nuka kwenye kikotoo cha wastaafu tayari kilio kinakuja wale wa UTT AMIS mjiandae bora ununue kiwanja kuliko kuweka hela bank.