Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Kuna watu mna akili za ajabu unaanzaje kununua hisa kwenye Kampuni ambayo Serikali ina udhibiti wa asilimia 💯.
Hizi ni akili au matope.
Hizi akili za matope na Mimi naitaji niwe nazo aise kama hayo matope yanaweza kufanya mambo makubwa namna hii amshapopo