Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kuna watu mna akili za ajabu unaanzaje kununua hisa kwenye Kampuni ambayo Serikali ina udhibiti wa asilimia 💯.
Hizi ni akili au matope.
Hizi ni akili au matope.
Halafu serikali iliyojaa majizi. Acha waziweke ipo siku wataliaKuna watu mna akili za ajabu unaanzaje kununua hisa kwenye Kampuni ambayo Serikali ina udhibiti wa asilimia 💯.
Hizi ni akili au matope.
Wewe zako uliuza zote kwa pamoja yaani at once? Au uliuza kidogo kidogoUza subiri upepo upite
Trader vs investorWewe zako uliuza zote kwa pamoja yaani at once? Au uliuza kidogo kidogo
Am a trader at heartTrader vs investor
Zimezhaanza kuporomoka?Wakuu mnaona mporomoko?
Halafu haziuziki sasa tangu jana nimeweka order ya kuuza ila hadi leo hamna kituWakuu mnaona mporomoko?
Ni bora ukatoa na baada ya uchaguzi ununue hisa upya, ambapo utanunua za thamani ndogoLakini si.busara kuzitoa hisa zote unaweza ukaacha nusu for the next 5 years utakuja kunishukuru baadae we expect it to go 3000+
Kwa sisi wa UTT unashauri niniHiki kipindi cha uchaguzi sio cha kununua hisa ovyo, unaweza kufilisika bure
Yaan nimewaza mara mbili aise na hiki kipindi cha uchaguzi mhh sjui nitoe pesa zangu sept then after uchaguz nirudishe dahKwa sisi wa UTT unashauri nini
Na ukitoa compound interest umeiua unaanza upya😂😂😂😂😂Yaan nimewaza mara mbili aise na hiki kipindi cha uchaguzi mhh sjui nitoe pesa zangu sept then after uchaguz nirudishe dah
Tulia kijana kula maishaKwa sisi wa UTT unashauri nini
Sasa ukitoa si umeua mzunguko utakuaje kwenye compound interest wakati umetoa pesaHamna kitu kama hicho
Ukiwa na Ml 1 na anayeweka Ml 1 leo mnakuwa sawa. Compound inatokea unapoacha pesa kwa mda mrefu ila mtu akiweka kiwango sawa na ulichokipata kwenye compound, faidi inakuwa sawaSasa ukitoa si umeua mzunguko utakuaje kwenye compound interest wakati umetoa pesa