Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

Sikatai ila hisa zimekufanya umepta m 100 et uache ziporomoke zirudi zilipotoka then ziji-adjust tena😂😂😂😂 uza subiri zishuke then nunua tena
In long term hisa za CRDB zinaenda more higher maana bank inazidi kukua zaidi zitafanya retracement kidogo tu then boo haziweka kushuka zaidi ya 1000 believe me.
Hiyo faida uliiyopta ichukue acha zingine zitembee acha tamaa kuna watu waliuza Bitcoin zao zote ikiwa $3000 leo wanalia
 
Usifanye makadirio mkuu. Je supply ikiwa kubwa kuliko demand kitatokea nn? Mara paaap 700 na ukumbuke hiki ni kipindi cha uchaguzi lolote laweza kutokea
 
Kuna kitabu cha Robert KIYOSAKI kinaitwa "INCREASE YOUR FINANCIAL IQ " anasema wafanyakazi kazi wote wanaoweka hela kwenye hizo liquid funds akili zao haziko sawa kwasababu mda wowote kina nuka kwenye kikotoo cha wastaafu tayari kilio kinakuja wale wa UTT AMIS mjiandae bora ununue kiwanja kuliko kuweka hela bank.
 
Hisa hazihusiani na account za bank. Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni
 
Lazima kuwe na correction never buy high wait for lower price, kipindi cha uchaguzi hisa hushuka investor wengi husecure profits na kusubiri muda mzuri wa kununua so zishaprint all time high wait for correction
 
Safi umejipigia faida yako kiroho safi kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom