Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Hakuna uzima wa milele sifa ya kiumbe hai ni kuzaliwa na kufa.
Achaneni kudanganyana humo makanisani kwenye maswala ya imani kila mtu ana priority yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna uzima wa milele sifa ya kiumbe hai ni kuzaliwa na kufa.
Achaneni kudanganyana humo makanisani kwenye maswala ya imani kila mtu ana priority yake
YeeesssssVitamin music
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Stress achia wazungu.
Nakazia ✍️ ✍️Kuchakata mbususu
Stress na depression ni vitu tofauti? Naomba nieleze kwa undani nahitaji kufahamu, sorry but.Muwe mnawakumbuka wazazi kama wapo hai
Safari za mara kwa mara au kuongea nao na kupata Baraka zao ni tiba tosha
Hapo kama ni stress sio mbaya sana
Ila depression ndio mbaya zaidi na omba isiwapate
Hiyo ndio mbaya sana na kama unaongelea hiyo basi ni kuwa karibu na ndugu au hata holiday na rafiki inasaidia sana
Ila ulevi hautibu msongo wa mawazo bali unaongeza tu
Je kama hao wazazi ndio chanzo cha matatizo uliyonayo?Muwe mnawakumbuka wazazi kama wapo hai
Safari za mara kwa mara au kuongea nao na kupata Baraka zao ni tiba tosha
Hapo kama ni stress sio mbaya sana
Ila depression ndio mbaya zaidi na omba isiwapate
Hiyo ndio mbaya sana na kama unaongelea hiyo basi ni kuwa karibu na ndugu au hata holiday na rafiki inasaidia sana
Ila ulevi hautibu msongo wa mawazo bali unaongeza tu
Daa kwa kweli tunatofautiana sanaJe kama hao wazazi ndio chanzo cha matatizo uliyonayo?
Kumbuka, kuna wazazi wachawi, waganga na huenda wanataka kukukabidhi mikoba na ww hauko tayari! Utafanyaje?
Mbinu sahihi ya kushinda msongo wa mawazo ni kuamini tu kwamba kila kinachotokea kina kusudi maalum na ipo siku kitapita tu. Isitoshe duniani tunapita tu na matatizo humpata yeyote! Sisi binadamu ni kama tu viumbe wengine ambao huzaliana, huishi na kufa. Tusipende sana kujipa upekee kama kwamba dunia ni yetu siku zote!
Stress ina unafuu kidogo ila utapata headache, hasira kuwa mpweke, hutaki kuwa na watuStress na depression ni vitu tofauti? Naomba nieleze kwa undani nahitaji kufahamu, sorry but
Au Prof.HamoAmsikilize MCA Tricky