Mkuu una stress, tafuta helaFamilia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu, Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
BILA SHAKAHivi ni kweli? Maana mshahara wa kwanza ushaingia muda huu mwingine tarehe 1, stresss.
Wenzio hawawazi kuishi miaka yote hiyo ukishazaa akimaliza shule akomae na yeye kivyakeFamilia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
Upo sahihi, ila tunazungumzia chances, chance za kutoboa ukiwa na watoto wawili ni kubwa kuliko ukiwa na watoto 16,Dah! SISI tumezliwa 16 kwa Mama Mmoja, na wala Mzee hakuna hela sana, rather commitment.
Wote, narudia wote, mwenye elimu ndogo ni 1 degree, alisomesha, wengine tumesomeshana, na hali nzuri.
Kuna walizaliwa 2 wenye millions of money, wote dropped out of school, wengine walitumia madawa ya kulevya.
Upo sahihi, ila tunazungumzia chances, chance za kutoboa ukiwa na watoto wawili ni kubwa kuliko ukiwa na watoto 16,
Haujakosea bro, ni ukweli mtupu. I experience the realityMkuu una stress, tafuta hela
Huu ni Ukweli mimi sitapinga kabisa.Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
Pia ni ukosefu wa elimu tu.Umenena vema. Kufyatua watoto wengi sio sifa. Ni kukaribisha umasikini.
Single maza wengi wako kwenye hili group.Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
Kama huna pesa sawa, Nina watoto name, wake wawili,Familia nyingi zenye watoto wengi zinastruggle sana kiuchumi hata uwe na hela vipi roho ya umaskini itasumbua sana uzao wenu kama sio wazazi basi watoto yatawakuta mambo ya umaskini umaskini tu.
Baada ya kufuatilia haya mambo kwa muda mrefu nahitimisha kwa kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya kuwa na watoto wengi na umaskini, the more kids you brings to world the more poor you become ukiachana na malezi yatakayokugharimu kwa hao watoto uliowazaa pia kusimamisha uchumi wa familia ulio na nguvu za kuishi miaka 100 mbele ni shughuli pevu sana kwa watu wenye watoto wengi.
Kwaherini.
Mlikua wa kishua .Dah! SISI tumezliwa 16 kwa Mama Mmoja, na wala Mzee hakuna hela sana, rather commitment.
Wote, narudia wote, mwenye elimu ndogo ni 1 degree, alisomesha, wengine tumesomeshana, na hali nzuri.
Kuna walizaliwa 2 wenye millions of money, wote dropped out of school, wengine walitumia madawa ya kulevya.
Watanzania kama ilivyo kwa wafrika wote ni watu wanaopenda Ngono.Pia ni ukosefu wa elimu tu.
Nimefatilia nimeona wengi ni ukosefu wa elimu.
Mtu unakuta ki uchumi yupo hovyo ila yeye anajua kufyatua tuu.
Eti kila mtu na ridhiki yake. Hovyo sana
Yaaah kwa mwenye uchumi hata ukiwa na watoto mia ni wewe tu..Kama huna pesa sawa, Nina watoto name, wake wawili,
Watoto kila mmoja anasoma kwa milioni 3 kwa mwaka,Nina kampuni, nimeajili watu 40! Turnover kwa mwaka bilioni 3.4!
Nina assets, apartments 5,zinaingiza 2.5 milioni kwa mwezi! Huo, umaskini utatoka wapi? May be Li Maggufuri lingine lije,liniweke jera.