Ni kweli. Lakini je kila mtu anataka kuwa kwenye mahusiano ya kudumu..Kweli mkuu,lakini unaelewa kuhusu choyo,ubinafsi,tamaa n.k hizi zinaweza kumchelewesha mtu kuwa katika mahusiano ya kudumu?
Liweke hapa mezani tulitatue mkuuNi kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Kila mtu anapenda kuwa na familia yake (mume,mke + watoto)Ni kweli. Lakini je kila mtu anataka kuwa kwenye mahusiano ya kudumu..
Kwa nini mkuuKwa hali ya sasa mbona kawaida tu mzee baba hio.
Wewe huwezi kulitatua wala, ungekuwa unaweza ningeshakuambiaLiweke hapa mezani tulitatue mkuu
ha ha ha liweke tu hapa jamvini,wataalamu wapo wengi.Wewe huwezi kulitatua wala, ungekuwa unaweza ningeshakuambia
Hali ya maisha ya sasa ni tofauti na hapo nyuma.Kwa nini mkuu
Achana na mimi mkuuha ha ha liweke tu hapa jamvini,wataalamu wapo wengi.
[emoji23] mkuuHili jiwe limelenga wengi hili
ngoja nijifiche chini ya muembe lisinipate
Hahaha Hawachi we si unajua mi nilivo kijana,sijafikisha hata 27Ukisema kwamba ni wewe kuna ubaya mpendwa [emoji16]
Anapenda sana mademuInawezekana hataki stress au ni mchoyo
We shape unalo utaolewa tuKwamba nijuchunguze na hii 35 yangu!!..[emoji848][emoji848]
hamna kutetereka na maneno ya viswaswadu[emoji23] mkuu
Msimamo wetu ni ule ule
Nilitolee wapi mkuu..mbona wanipa sifa sizistahili...We shape unalo utaolewa tu
Naanza kuchunguza kinachonichelewesha..ha ha ha inawezekana kuna kinachokuchelewesha mkuu
Nililionaa[emoji4]Nilitolee wapi mkuu..mbona wanipa sifa sizistahili...
[emoji4]hanitaki ,bora tuyajenge na wwBado mitatu kabla ya 30 oa kabisa yule bibie.