Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Ni kweli. Lakini je kila mtu anataka kuwa kwenye mahusiano ya kudumu..Kweli mkuu,lakini unaelewa kuhusu choyo,ubinafsi,tamaa n.k hizi zinaweza kumchelewesha mtu kuwa katika mahusiano ya kudumu?