Ni kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Utakuwa na matatizo ya vichocheo vya mwiliNa kama hujawahi kbs kuwa kwenye mahusiano mpk kufikia umri huo inakuwaje?
Baada ya muda Anakuja kulia lia ndoa ngumu kumbe anaringia shape yakeWe shape unalo utaolewa tu
Ni kweli, mfano mimi najua tatizo langu. Msianze kuniuliza ni tatizo gani nalijua mwenyewe
Baada ya muda Anakuja kulia lia ndoa ngumu kumbe anaringia shape yake
Endelea kumpa kichwa
Na Wewe Endelea kuoa mwenye shape badala ya kuangalia tabia njema na akili njema
Unajuaje hajajichunguza?Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
ha ha ha haBado kwanza nna starehe zangu na malengo yangu
Inabidi watupe majibuUnajuaje hajajichunguza?
Unajuaje hajajichunguza?Inabidi watupe majibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada haujui kuwa mbongo ukimkataza kitu ndiyo anakifanya,, enhe niambie ni tatizo gani hilo??
Issue ambayo sijawahi ielewa, unakuta mtu analalamikia maisha yake ya ndoa yalivyo magumu au yanavyomrudisha nyuma kimaisha lakini ikifika mahali pa kuongelea ndoa anakusisitizia uoe !!!!.....
Je, ndoa ni kufuata tamaduni, dini, kutimiza wajibu , kujenga heshima au kufurahisha umma ??...
Na kwa nini mtu achukue hii Risk hadi wengine waishie kujiua na kufubaza future za watoto wao
Is marriage not for everyone or just overrated
NakutishajeTatizo gani?madame mbona watutisha
Relax, hakuna wa kukuibia...sijaona bado kama weweUsiseme kwa sauti kubwa hadi waharibifu wa hali ya hewa wakajaa pm na kuanza kukusumbua hadi wakaniibia tunda langu [emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe mbongo halisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada haujui kuwa mbongo ukimkataza kitu ndiyo anakifanya,, enhe niambie ni tatizo gani hilo??
Au labda nitakua na mkosi