Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Siwezi kuwa siriazi na mahusiano ya mtu mmoja uku bado sjakamilisha mambo angu 🤣 🤣 🤣
 
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Unajuaje hajajichunguza?
 
I think marriage is not for everyone tho there's someone for everyone
Issue ambayo sijawahi ielewa, unakuta mtu analalamikia maisha yake ya ndoa yalivyo magumu au yanavyomrudisha nyuma kimaisha lakini ikifika mahali pa kuongelea ndoa anakusisitizia uoe !!!!.....

Je, ndoa ni kufuata tamaduni, dini, kutimiza wajibu , kujenga heshima au kufurahisha umma ??...

Na kwa nini mtu achukue hii Risk hadi wengine waishie kujiua na kufubaza future za watoto wao

Is marriage not for everyone or just overrated
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dada haujui kuwa mbongo ukimkataza kitu ndiyo anakifanya,, enhe niambie ni tatizo gani hilo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe mbongo halisi
 
Back
Top Bottom