Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

kuoa / kuolewa siyo lazima Mungu aliagiza kuzaliana siyo kuoana
 
Wazungu walisema lakini ndiyo wanaoongoza kwa kutokuoa wala kuzaa tena wanajibadilsha na jinsia na kujidunga masindano wawe matasa.
 
Denvers,
Theory law of relativity by Einstein Albert
Wazee wetu wanachojua msemo wa Aliyejenga mwanaume asiye na nyumba mwanaume zaidi
 
Theory law of relativity by Einstein Albert
Wazee wetu wanachojua msemo wa Aliyejenga mwanaume asiye na nyumba mwanaume zaidi
For sure..nilikua najaribu kuonyesha effect ya muda kwenye maisha kwa kitumia hiyo theory
 
Unadanganya, I can tell. Hata hiyo 39 bado sana, usidanganye maana huenda kuna vijana wanaweza kutupia maneno yenye utamu. Narudia, usidanganye tena[emoji23]
39 Kweli mkuu jua lishazama hilii, hivi ni kweli naweza poteza bahati ya maneno yenye utamu eeh[emoji3] [emoji3] ,sirudii kudanganya ,and vijanaa mimi ni kabinti kabichi kabisa 18 years, hapo vipi mkuu Eli ,ntatoboa maisha?[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…