Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha naye familia jaribu kujichunguza

Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Angalia furaha yako ndugu, acha kuishi kwa kusikilizia kutoka kwa watu wengine.
 
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.

Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Kama mim kanuni yangu nitafute kwanza ela alafu nikipata wanawake watanitafuta wenyew
 
Kujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
Mkuuu miaka 40 ahaaa ukizaa dogo akiitafuta miaka yako 40 uwezekano kuwepo dunian mdogo joke
 
Back
Top Bottom