Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
🤣🤣🤣🤣🤣 huyu ni wewe mpenzi au kuna mtoto anachezea simu!?[emoji3][emoji3] haya bebi, ukikwama mahari niambie nikuongezee mpenzi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 huyu ni wewe mpenzi au kuna mtoto anachezea simu!?[emoji3][emoji3] haya bebi, ukikwama mahari niambie nikuongezee mpenzi wangu
Angalia furaha yako ndugu, acha kuishi kwa kusikilizia kutoka kwa watu wengine.Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
Ni mimi kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu niliwatambia naolewa mwaka huu kwa hiyo sitaki mwaka uishe kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni wewe mpenzi au kuna mtoto anachezea simu!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe mbongo halisi
Nilivyoangalia mwanzo I'd yako nilijua ni chilsukKwa iyo umeamua kutusema sisi madomo zege
Kuna masuala hayaangalii hiliKweli mkuu,ila wa miaka 50 si sawa na wa miaka 20
Nijibu nikete jibu.ha ha ha ha,leta majibu mkuu yaje yawe rejeo kwa kizazi kijacho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yan wewe,,, "Sitokuangusha" in Amiri jeshi voiceNi mimi kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu niliwatambia naolewa mwaka huu kwa hiyo sitaki mwaka uishe kabisa
Ndio huyo huyo Wala hujakosea mi nilikosea tu spelling kipindi hikoNilivyoangalia mwanzo I'd yako nilijua ni chilsuk
Kuna jamaa ana miaka 40 na hana mpenzi wa kutarajia kufunga naye ndoa,ukimuona utadhani ana miaka 23
Kupanga ni kuchagua
MkuuKuchagua ni kupanga.
Mwanaume bila mwanamke ni sawa gari ya abiria bila kondakta
Kama mim kanuni yangu nitafute kwanza ela alafu nikipata wanawake watanitafuta wenyewKama umri wako ni zaidi ya miaka 30,na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia,jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo. Kitaalamu wanasema, kujua tatizo ni nusu ya tiba...haya chukueni hatua.
[emoji12][emoji12] ahsante babe, changamka baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan wewe,,, "Sitokuangusha" in Amiri jeshi voice
Ahaa kumbe wewe ni Chilsuk wa SowhaNdio huyo huyo Wala hujakosea mi nilikosea tu spelling kipindi hiko
Mkuuu miaka 40 ahaaa ukizaa dogo akiitafuta miaka yako 40 uwezekano kuwepo dunian mdogo jokeKujenga nyumba ukiwa na miaka 35 haina shida..
Kuoa ukiwa na 40 pia ni vizuri pia
Kutokua na familia wala kujenga ni bora zaidi.
Cha maana ni wewe binafsi usimame katika malengo na misimamo yako..
Huna haja ya kuwahisha mambo kisa idea za watu fulani.. Hakuna aliye nje ya muda. Time is Relatively
Starehe na malengo hayana umri.... usifikiri kuna siku utasema sasa hapa nimemaliza acha nikae.Bado kwanza nna starehe zangu na malengo yangu
😂😂😂😂😂 muundo upi?Hili tatizo La kimuundo linanicost aisee, natimiza 39 yrs sasa na sina hata mchumba wa kusingiziwa[emoji30] [emoji30] , mleta Uzi umeshaanzisha familia?,naomba tuanzishe wote kama vipii
Relax, hakuna wa kukuibia...sijaona bado kama wewe