Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Nyumba inajengwa kwa gharama ya tofali?
Kiwanja,cement,mchanga,usafiri,ufundi,mabati na mambo mengine umeyapotezea kabisa sio?
Hiyo ni bajet ya chini kabisa n haina ugumu. Kila tofali hspo litsjengwa kwa shlng 300, za juu 400 kuanzia kozi ya saba. Saruji 630/70. Zege na nondo...

Yani kifupi kw mm nimetoa njis fupi sana ya ujenzi. Mbao h
N bat hspo sio kitu cha kuumiza kixhwa sana mana hakuna tena kitaxhotumia hela nyingi zaidi ya hela ya tifali 630
 


Katika maisha acha kufata mawazo ya mitandaoni,

No wonder muandika uzi anakaa kwa shemji yake

Ila anatoa presha kwa watu wengine,

Kuishi ni hatua not the age
 

Kwa namna ya uandishi wako huu naomba niishie hapa
 
Kwa namna ya uandishi wako huu naomba niishie hapa
Karibu! Ila kama unatangaza na Emglish medium yano useme nimlete mwanangu umfundishe kuandka.

Mm niko field kabisa ujenzi ndo kazi yangu. Ubaya watu wa jamii forum hampo real, kwa hilo bora facebook kuliko wat wa hum.
 
Mtu akishajenga chumba na sebule chanika basi anaanza maneno ya kanga, katika hao unaowasema wanaishi maisha bora kukuzidi, watu wanalipa kodi mpaka milion, wana biashara na wamewekeza kwenye bonds, wewe unabaki kuimba kujenga kujenga!
 
Sisi akina kobe hatutishiki na maneno yenu hata tukifikisha miaka 64 kasarobo.Nafsi zetu tumezikabidhi kwa Baba aliye juu.
 
Mbona wapo wengi, hebu wape mbinu watoke vipi sababu kuu eti wanangoja mafao ndio wajenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…