min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ndio hivyo bwasheeAcha basiii 😄
Ndio hivyo bwasheeAcha basiii 😄
🤣🤣🤣🤣Stori za vijiweni hizi! Ukute mtoa mada hana hata godoro! 😊
Fiber tena! loh! We chama lingine kabisa hilo!! Mambo ya ONT miye sijayazoea.Hakuna kitu nishawahama matapeli nyie, niko kwenye fiber!
Poa mkuuKabisa brother
Utazoea taratibu tu, acha uoga!Fiber tena! loh! We chama lingine kabisa hilo!! Mambo ya ONT miye sijayazoea.
Leo nimetoka nipo mwenge mkuu ila sijui nianzie wapiUshatoka bagamoyo kwanza?
Its easy to speak.... 😬😬😬Jichanganye na masela hutakosa mishe
Huoni kagari hapo ukafuta futa vioo uokote chochote? Michongo inaanzia popote!Leo nimetoka nipo mwenge mkuu ila sijui nianzie wapi
Kijana anajua tu kupasua kutembeza aaanh!!🙌🏾Hahaha au huwez kutembeza mayai😅
Lakin sio kubwa mkuu kias cha mtu ku kuchanganyikiwa. Vyumba viwili au chumba na sebule na choo ndani tofali 630 tu
Maisha hayana formula, acha kutisha watu. Hakuna kuchelewa au kuwahi katika haya maisha. Acha kila mtu aende kwa spidi yake.Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?