Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Nusu ya wanaomiliki uchumi nchi hii ambao wanaishi kariakoo, posta, upanga, osterbay, Masaki, Mikocheni wamepanga nyumba

Kwa watu wa kipato cha chini wenye maisha yasiyo na uhakika ushauri wako mzuri Sana
Lakini kwa wenye kipato cha juu ushauri wako hauna maana yoyote
 
Kwamba wanamiliki $45b,use facts bro
Hao wahindi wa upanga na kkoo hizo nyumba za NHC ni za Babu zao, siku yoyote watarejeshewa
Bakhresa alihama kkoo miaka 20 iliyopita,alihamia mbezi/o bay huko,rostam hajapanga,mo dewj kwa hapa tz huishi Hilo ghorofa mbele kushoto ya salenda ukiwa unatoka mjini,la familia yake,fida Hussein ana nyumba nchi hii kuliko mbwa yoyote, GSM anaishi kwenye nyumba yake
 
Watarejeshewa?😂😂
Nafikiri dunia hujui inaelekea wapi.

Kila mtu abaki/arudi kwao ndio tunaelekea huko.
 
Back
Top Bottom