Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Kama una flow nzuri ya pesa ujenzi siyo kipaumbele maana muda wowote tu unajenga ndani ya miezi mitatu(nyumba ya chini) au miezi mitano ghorofa ushahamia.


Uzuri wa nyumba utakuja kuonekana pale cashflow imekata halafu umepanga unalipa kodi Mlio au Box 7 na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi 6....Ukifikiria hapo ndiyo akili ya kujenga inakuja.

Mimi nilianza ujenzi nikiwa na 30 and at 35 tayari mjengo nikaumaliza ila kodi na kuhamahama majumba ni usumbufu sana.

Hapo 30 - 35, Ulipambana sana maana inaonesha cashflow ilikua bado haiko sawa.
 
Back
Top Bottom