Tulieni hivyohivyo!Ambao hatujafika 40's tufanye nini?
Gharama za kila siku mtu kajenga nje ya mji akipiga mahesabu ya daladala kila siku na matumizi mengine anaona bora apange kusave pesamadness
Toa madini kabla hujawaka!
Kama yapo ndani yako mkuu nakubaliana nawe, upo sahihi but umri 40 plus ukiwa bado una hewa usikate tamaa unaweza timiza kujenga hata ukiwa na 60 up to 75 umri si kigezo cha kusema sijui ukiwa na miaka fulani sahau kuhusu vilekuna mambo yako ndani ya uwezo wako,
Maisha yanatofautiana sn
Swadakta sikuhizi wanapenda sana kutumia kama una miaka kadha wa kadha kwenda juu sijui sahau kuhusu jambo fulani ,wewe ni nani mpaka useme hivyo who are you #noMaisha yanatofautiana sn
Ht walioko kwenye hali hiyo naamini wengi sio wanapenda
Km umevuka hapo,Shukuru Mungu,maisha hayana formula..
nguvu zinazidi kupungua kadri umri unavyosongaKama yapo ndani yako mkuu nakubaliana nawe, upo sahihi but umri 40 plus ukiwa bado una hewa usikate tamaa unaweza timiza kujenga hata ukiwa na 60 up to 75 umri si kigezo cha kusema sijui ukiwa na miaka fulani sahau kuhusu vile
😃😃 acha utotoKula bia
Ndio, nipe hoja ya kunijenga mkuu.Kula bia ni utoto
Acha wivu mkuu