Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

And we are living a life kuliko kizazi kilicho pita.

Hatusubiri tujenge kwanza ndo tuwe na gari nzuri, adventure and exposure.

Inshort we are living our life in better ways, thr rest comes with God blessings.
Kwa mtazamo wako huo, jitahidi uweke akiba kwa ajili ya watoto wako.Utawatengenezea mazingira magumu sana iwapo hautawaandalia makazi yao ya kudumu na akiba hukuwawekea.
NB:Kwa anayetarajia au mwenye watoto/familia yake.
 
61F1492A-4047-4CD1-A0E9-F2B46E28329E.jpeg
 
Kama una flow nzuri ya pesa ujenzi siyo kipaumbele maana muda wowote tu unajenga ndani ya miezi mitatu(nyumba ya chini) au miezi mitano ghorofa ushahamia.


Uzuri wa nyumba utakuja kuonekana pale cashflow imekata halafu umepanga unalipa kodi Mlio au Box 7 na mwenye nyumba anataka kodi ya miezi 6....Ukifikiria hapo ndiyo akili ya kujenga inakuja.

Mimi nilianza ujenzi nikiwa na 30 and at 35 tayari mjengo nikaumaliza ila kodi na kuhamahama majumba ni usumbufu sana.
 
Back
Top Bottom