Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Kama una 40yrs+ na unaishi nyumba ya kupanga na uko na family, jitazame upya

Nyie wamatumbi kujenga sio ushujaaa

Chukua hela nunua apartment leo uza kesho kwa faida huku unaishi nyumba ya urithi utakuwa na mahela

Unasisitiza kujenga utasema nyumba zenyewe mnazijua mmetoka kwenye viota vya ngunja vya baba zenu huko ndichi mnakuja kujenga mabanda ya nguruwe mwisho wa mji mnaita nyumba wapuuzi nyie
 
Back
Top Bottom