Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,130
- 1,570
Ushawa invest 10M+ af mambo yakagomaMake saving and investment
Ushawa invest 10M+ af mambo yakagomaMake saving and investment
Mmeshaanza masimango!Nyumba siyo makebo "guys" kusema kila mtu atamiliki tu.
Nimepokea simu nyingi muda huu wanasema ni masimango upper levels!Wameongeza kwa kusema,kwanza kujenga ni kipaji ambacho wao hawajajaaliwa.Sio masimango
Kwani siku hizi mjumbe hufurushwa?Kaka kaka acha uzushi😅
Isiwe kwa wazazi/ndugu wa mke tu.Na ikiwa umejenga ila ni maeneo ya wazazi wako?
Kama hawapigwi na wake zao wapigiwe saluti hata za kimoyomoyo.Na wenye miaka 40 halafu wanaishi kwao?
Mimi nimepanga ! Na nipo 20's daraja la juu.
Kwa ya tathmini yangu ya kimyakimya hiki kizazi chetu tutapanga sana Hadi umri huo utafika.
Timiza wajibu wako pambana mengine muachie mungunguvu zinazidi kupungua kadri umri unavyosonga