Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,049
Reaction score
4,301
Habari za wakati huu wakubwa
Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye hata mwezi. Wanapenda pesa kama tu walivyo wanawake wengine kitu ambacho sikioni kama kibaya sana maana hata mademu wa Kihaya, kisukuma na waha wanaomba pesa vile vile.

Watoto wa kike, yaani mabinti wa Kichaga sio watu ku date nao kimbumbumbu utaumia. Ukitaka kuwezana nao kwanza usiwapende sana alfu mbili Kaa mkao wa kula muda wowote unaweza kupigwa tukio na lakini Kingine mademu wote wa Kichaga ni mal**ya wa kimya kimya. Kwahiyo hawa mademu ukioa ujue kabisa umekaribisha kausha damu kwako.

Wanapenda ushindani kwenye mahusiano, kama wewe mwanaume unataka submissive wife basi achana na wachaga utanishukuru. Ni hayo tu, mtaopigwa kibuti na kuumizwa msije iusema sikuwashitua.
 
Ili utafiti ukamilike inatakiwa utembee na mabinti wa makabila mengine kwa 80% ili utafiti wako uitwe utafiti.

Tanzania kuna zaidi ya makabila 120, hivyo inaonekana ulitembea mabinti wa kichaga 96 alafu makabila mengine yaliyobaki hukuyamaliza.... Katika makabila 119 yaliyobaki ulitembea na binti mmoja mmoja na bado hukumaliza makabila yote, hivyo huu bado sio utafiti
 
Pia naskia ukimuoa ...then mkapata mali nyingi.....Ile trend ya maisha inakua hivi
.... The increase in family wealth is directly proportional to your death (father)

As the family wealth increase ....the men death become near

Mathematically

Kadri utajiri wenu unavokua .....ndipo kifo Cha mwanaume kinakaribia[emoji23].... salute wachaga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hawa sio wakukaa nao kindezi, hawashindwi kukutoa kafara. Anagalia mashangazi wengi wenye pesa mjini waume zao wameshatangulia. Kwahiyo ukiwa unakula hawa mademu, kula huku ukijua muda wowote kinawaka
 
Ili utafiti ukamilike inatakiwa utembee na mabinti wa makabila mengine kwa 80% ili utafiti wako uitwe utafiti.

Tanzania kuna zaidi ya makabila 120, hivyo inaonekana ulitembea mabinti wa kichaga 96 alafu makabila mengine yaliyobaki hukuyamaliza.... Katika makabila 119 yaliyobaki ulitembea na binti mmoja mmoja na bado hukumaliza makabila yote, hivyo huu bado sio utafiti
Utafiti huu ni mujibu wa uzoefu wangu na wachaga, yaani wadada wa kichaga. Sasa hiyo kufanya utafiti sehemu zingine za nini ?
 
Sasa kama ni hivi huwezi kusema ni utatiti juu ya mabinti wa kichaga bali ilitakiwa useme ni utafiti kwa mabinti uliotembea nao.

Unawezaje kusema umefanya utafiti bandani kwako kuku wanauzika kuliko bata wakati bandani kwako huuzi bata?
 
Huu uzoefu wajgu unaweza kuupuuza (Uje ulie huko mbeleni) au utilie maanani kwa ajili ya Afya ya Akili yako. Most of them are narcissist. Kimsingi hiki ninachokiweka hapa ni uhalisia. Exceptional hawakosekanagi lakini wengi wao sio kwenda nao kindezi, watakutoa kamasi.
 
Wachaga wanakuwa single mothers kwa vile vijana mnatisha kwamba mtauliwa🤣🤣fanyeni muoe na kama hauna malengo naye acha kumchezea ,akishtuka utaenda fupi 6 chini.
Hakuna cha kuchezewa, wale hata uwe na malengo naye vipi wanapenda kula hizo pesa wao kama wao. So ukijichanganya kabila jingine anakuvukilia mchume kwanza alfu anakutafutia ugonjwa. Wapo ambao hawafanyi haya ila ni wachache sana
 
Pia naskia ukimuoa ...then mkapata mali nyingi.....Ile trend ya maisha inakua hivi
.... The increase in family wealth is directly proportional to your death (father)

As the family wealth increase ....the men death become near

Mathematically

Kadri utajiri wenu unavokua .....ndipo kifo Cha mwanaume kinakaribia[emoji23].... salute wachaga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Toa takwimu: matajiri ambao wameuawa na wake wa kichaga vs matajiri ambao bado wamefanikiwa kuishi nao.
 
Kama unataka zije takwimu za namna hiyo hutazziona hadi unaingia kaburini. Hakuna mamlaka itakayoidhinisha tafiti inayolengakabila moja tu. Wewe puuza huu ujumbe alfu date demu wa kichaga uzame mazima utarudi kamasi zinakutoka.
 
Habari za wakati huu wakubwa
Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye hata mwezi. Wanapenda pesa kama tu walivyo wanawake wengine kitu ambacho sikioni kama kibaya sana maana hata mademu wa Kihaya, kisukuma na waha wanaomba pesa vile vile.
Watoto wa kike, yaani mabinti wa Kichaga sio watu ku date nao kimbumbumbu utaumia. Ukitaka kuwezana nao kwanza usiwapende sana alfu mbili Kaa mkao wa kula muda wowote unaweza kupigwa tukio na lakini Kingine mademu wote wa Kichaga ni Mal*ya wa kimya kimya. Kwahiyo hawa mademu ukioa ujue kabisa umekaribisha kausha damu kwako. Wanapenda ushindani kwenye mahusiano, kama wewe mwanaume unataka submissive wife basi achana na wachaga utanishukuru. Ni hayo tu, mtaopigwa kibuti na kuumizwa msije iusema sikuwashitua.
Baba na mama wamezeeshana/ ZEEKA PAMOJA.

Anniversary zaidi ya 45's kwao na wame kick life & odds
 
..ngoja nimwulize Mwijaku
 
Back
Top Bottom