Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Habari za wakati huu wakubwa
Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye hata mwezi. Wanapenda pesa kama tu walivyo wanawake wengine kitu ambacho sikioni kama kibaya sana maana hata mademu wa Kihaya, kisukuma na waha wanaomba pesa vile vile.

Watoto wa kike, yaani mabinti wa Kichaga sio watu ku date nao kimbumbumbu utaumia. Ukitaka kuwezana nao kwanza usiwapende sana alfu mbili Kaa mkao wa kula muda wowote unaweza kupigwa tukio na lakini Kingine mademu wote wa Kichaga ni wa kimya kimya. Kwahiyo hawa mademu ukioa ujue kabisa umekaribisha kausha damu kwako.

Wanapenda ushindani kwenye mahusiano, kama wewe mwanaume unataka submissive wife basi achana na wachaga utanishukuru. Ni hayo tu, mtaopigwa kibuti na kuumizwa msije iusema sikuwashitua.
Mwanangwa mmoja alizaa nao.akalazimishwa akajitamburishe.mahusiono yameisha akalazimishwa akalipe faini kuzaa na Bint Manka wa Urashombo.
Ikaja huduma wazee wake wakawa smart kuliko Mount Kilimanjaro..Mtoto akapelekwa shule ya bording tena mbali,,,,,
 
Hawa watu sio wakujichanganya ..... Yaani ni kuishi nao kama unaishi na Nyoka. Muda wote inapaswa uwe na jiwe la nyoka pembeni au wakati mwingine umeze kabisa hilo jiwe la nyoka. Baba zao wana influence kwenye familia kuliko waume zao tena ukute kafika chuo hehe Watataka hela ya binti yao iwaendee wao
 
Habari za wakati huu wakubwa
Niende kwenye maada lengwa, mimi nina miaka 35 kwa sasa na katika mahusiano yangu nime date nao kwa 80% ni wachaga hata wale wa hit and run ..wengi ni wachaga. Wadada wa kichaga upstairs wako vizuri na wako sharp sana. Kimsingi kama wewe ni ndezi tu huwezi dumu naye hata mwezi. Wanapenda pesa kama tu walivyo wanawake wengine kitu ambacho sikioni kama kibaya sana maana hata mademu wa Kihaya, kisukuma na waha wanaomba pesa vile vile.

Watoto wa kike, yaani mabinti wa Kichaga sio watu ku date nao kimbumbumbu utaumia. Ukitaka kuwezana nao kwanza usiwapende sana alfu mbili Kaa mkao wa kula muda wowote unaweza kupigwa tukio na lakini Kingine mademu wote wa Kichaga ni wa kimya kimya. Kwahiyo hawa mademu ukioa ujue kabisa umekaribisha kausha damu kwako.

Wanapenda ushindani kwenye mahusiano, kama wewe mwanaume unataka submissive wife basi achana na wachaga utanishukuru. Ni hayo tu, mtaopigwa kibuti na kuumizwa msije iusema sikuwashitua.
Bro hiyo sio wachaga...ninhizi kenge zote zinazotembea barabarani na mbususu zao tamu🤣🤣🤣
 
Pia naskia ukimuoa ...then mkapata mali nyingi.....Ile trend ya maisha inakua hivi
.... The increase in family wealth is directly proportional to your death (father)

As the family wealth increase ....the men death become near

Mathematically

Kadri utajiri wenu unavokua .....ndipo kifo Cha mwanaume kinakaribia[emoji23].... salute wachaga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mwanamke wa Kichaga hata nipewe bure sitaki. Hata wale mabikra 72 wenye mizigo wanaohubiriwa na Sheikh Kipozeo huko peponi kama ni Wachaga acha tu niende motoni aisee 😂
 
Bro hiyo sio wachaga...ninhizi kenge zote zinazotembea barabarani na mbususu zao tamu🤣🤣🤣
Sawa kiongozi na hongera kuzijaribu kenge zote na ukagundua ni tamu. Mimi naongelea hawa ndugu zetu jinsi Ke. Kuna mtu huku hajui na amejikuta kapenda dada wa kichaga huu ujumbe ni muhimu sana kwake
 
Sawa kiongozi na hongera kuzijaribu kenge zote na ukagundua ni tamu. Mimi naongelea hawa ndugu zetu jinsi Ke. Kuna mtu huku hajui na amejikuta kapenda dada wa kichaga huu ujumbe ni muhimu sana kwake
Huo ujumbe ni muhimu kuhusu kenge yoyote aitwae mwanamke tribe aside.
As long as she got two legs and a mbususu btween her legs wewe hizo tabia ulizotaja hapo juu wote hawa kenge wanazo...damit ata wazungu wanazo ndio itakuwa hawa wanawake zetu wakiafrica🤣🤣🤣🤣
 
Kwa mwanaume yeyote mwenye akili timamu, hao ndio wanawake wa kuoa.
Kuoa ilibwakutoe kamasi, mmmh sishauri kwakweli. Ukioa awe mtu kuajiriwa basi wewe jua tu ndoa ya Bluetooth inakuhusu. Hawathamini ndoa, wao Pesa inapotajwa Ndoa kwao kichekesho. Mimi simshauri mtu yoyote aoe hao, acha tu wabaki masingle mother. Matukio mengi ya unyanyasaji ambayo yanayopelekea kuuuana wengi wao ni wachaga. Fanya tafiti zao, majina ni yale.
 
Sasa Tutafanya Nini ?
Umeshaoa Una Watoto Wakubwa Sana
Mtavunja Unyumba Wa Watu
Boma , Lawate, Fuka, Sanya Juu, Namwai
West Kilimanjaro

Yaani Oops
 
Sitaki kutaja makabila yanayozalisha wanawake wanaoheshimu na kuthamini ndoa. Ila ninazungumzia makabila ambayo ni kichomi na yamekua chanzo kikubwa cha maafa. Kiufupi hawa mademu wakichaga sio wakuoa, tafuna achana naye ila kama wewe wale wale wabishi oa alfu utaniambia. Nipo hapo nakungojea
 
Wanapenda Ushindani, Ni Mal*ya wa kimya kimya* Sikupingi Umeongea fact. Hizi ndo Sababu zinazofanya wanawake wengi wa kichaga kuwa single mothers.

Sijawahi kuona kabila lenye wanawake wabinafsi kama wachaga si kwa Ubaya ni mtazamo Tu.
Sasa Unavyokandamiza Point Kataa Ndoa Kombe Lao
 
Back
Top Bottom