much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,592
Mimi juzi nmetoka kupiga chini mchaga wa sita au saba kwenye mahusiano kisa huu ujinga kwasababu wote tunafanya kazi moja sometimes kipato umemzidi kidogo lakini anataka kuwa tegemezi Kwa asilimia miaWalikuwa wanasema ni mimi tu ndio mwenye huu uzoefu. Kwa ufupi, huu ni ukweli mtupu