Kama una date msichana wa Kichaga, kuna ujumbe wako hapa

Wakati nataka kuoa, ndo ujana umeshika kasi na nimeshamaliza "jiwe" langu chuo pendwa, enzi za JK awamu wa kwanza, unamaliza chuo unakula kitengo.

Hapo kitengoni, paah nakutana na Binti wa kichagga mrembo sio kidogo, wa kuitwa Lilian toka Old Moshi huko.

Nikakolea, manzi nae akakolea si kidogo, miezi kadhaa, nikahamasika kwamba nioe pale, hasa ndo ukizingatia nimeanza ajira na nakunja mkwanja wa kiasi. Mapenzi, mapenzi kweli mazee. Manzi yeye ndo akawa kama anataka sana pete mkononi, yaani sihemi, sipumui. Kutembezwa hakuishi, mara kwao, mara chuga kwa dada, mara kule. Aisee

Basi ikawa sio siri tena, masista wakija mjini wakaanza kujua, wifi.. wifii n.k

Stori hizo zikafika kwa bumkubwa, na bimkubwa akawa hana shida na mkwe wake mtarajiwa wala nini. Akatonywa mzee ndo upepo ukachange mazee. 😁

Likizo moja, nikatimba maskani na siju moja Mshua tumepoa wawili nje, Akanambia mama yako amenidokeza, unataka kuoa mwanamke wa Kichaga?

Nikamwambia ndio! Na nina mpango wa kumleta kumtambulisha Dec hii. Mshua akanambia, mimi sitokuwepo. 😳

Nikauliza Mzee kwanini, akanambia mwanamke wa kichaga kwa mujibu wa tamaduni zao, hana urithi kwao. Urithi wake upo kule anapoolewa. Na huo urithi wa huko anakoolewa, sharti urudi kwao. Anapolewa, anapewa kanuni 30:30:40.
Yaani achume 30 kwa ajili ya familia yake na mumewe, 30 achume kwa ajili yake na 40 nzima apeleke nyumbani (Hii ni lazima).

Ndio maana, mwanamke wa kichaga akiolewa na masikini anachekwa sana kwao, akienda na wanamuona mtu duni. Kwa iyo lazima apambane kuweka familia sawa, na familia ikikaa sawa kanuni ni hiyo hiyo.

Wao wachaga kamwe hawatoi mwanya kwa utajiri au mali, kutoka kwao uje kwako mkwe, sio waarabu wale. Ni tamaduni yao, tusiwalaumu.
Wachagga ndio kabila ambalo utu wako, unakuja kulingana na wewe ni nani na una nini. Wao wenyewe wanabaguana na kudhalauriana, mara huyu wa kule, mara hawa wa huku. N.k

Uchagga ni tamaduni, iliyojengwa katika kupambana ili kupata. Wao wenyewe walishapigana vita kali kwenye historia zao. Uchagga ni tamaduni.

Mwisho, Mzee wangu (Bado yupo hai) aliniambia, wachagga wanaweza vumiliana wakioana wao kwa wao, sio wa kuja uoe mchagga na huna kitu. Hakuna rangi utaacha kuona.

Basi, mimi niliomba uhamisho pale, kazini nikajiowea mke kabila lingine. Mpaka leo yule mama ni single mother of three.
 
Kuna mtu bado ataendelea kubishi. Anyway, watu wametoa ushuhuda wao. So kwa wale wenye vichwa vigumu kuelewa basi komaeni mtapata mnachokitafuta. Ahsante sana mkuu kwa Huu ushuhuda.
 
Mungu fundi!
wazuri wa rangi, sura, akili na uchakalikaji.
shida ipo kitandani, wa baridi sana.Not romantic kabisa.
Ukioa hao lazima uwe na support ya bi mdogo pembeni atakaye kukamilishia haja zako.
Ukioa hao uwezekano wa kuchanganywa na kuchanganyikiwa ni 99.9999%
 
100%
 
Kubabaake ...Mzee wako ni legendary [emoji3][emoji3][emoji3]

Adumu milele [emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kubabaake ...Mzee wako ni legendary [emoji3][emoji3][emoji3]

Adumu milele [emoji122][emoji122]

Ndio ukweli mzee. Wachagga hata wawe matajiri, usitegemee utapigwa tafu mkwe labda uwe kabila lao. Wachagga wanatakiwa waowane wao kwa wao, vinginevyo kama sio kabila lao, uwe na cheo, fedha au mamlaka watakushobokea japo kinafiki.
Wenyewe kwa wenyewe utawapenda mzee, na wawe na doo. Utapenda maisha yao.
 
Wewe ndo ulimzalisha watoto watatu kisha hujamuoa?
 
Mshukukuru mnyazi kwa kukunusuru na kifo,🤣🤣🤣🤣 we jamaa umenifanya kucheka kifala et manzi ilikuwa haitaki ndugu zako wajue kuwa unajenga ili nyumba ikikamilika akutangulize kwa baba muumba kisha amiliki nyumba kiulaini.
 
Mshukukuru mnyazi kwa kukunusuru na kifo,🤣🤣🤣🤣 we jamaa umenifanya kucheka kifala et manzi ilikuwa haitaki ndugu zako wajue kuwa unajenga ili nyumba ikikamilika akutangulize kwa baba muumba kisha amiliki nyumba kiulaini.
Alikua akupeleke kwa mnyazi mungu QMMK 🤣🤣🤣 half achukue jimbo kiulainiiii
 
Umewachambua vizuri kingine malizia hawajui mapenzi ni magogo PRO MAX labda uokote aliyekulia mahali tofauti na uchagani
 
Mzee wako aishi maisha marefu, ali kuokota na kamba ya shingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…